Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Hajiju mtu hapa wewe,kunyonyesha ndo fani yangu......hata Amyner akishindwa kunyonyesha wale vifaranga wenu wapaishe tu kwangu:baby:

Eti my wife wangu Yummy njoo hapa achana na Erickb52 anajua kukagua tuu kujibu mashambulizi hawezi akimaliza kukagua matokeo hajui

Ndo hayo ya kuwa na mapacha kila kona halafu kulea hajui
Huko meatu vitoto vyake vinazurura mtaani peku havina chakula wakati yeye anaendekeza starehe sweetlady mwambie huyo Erickb52 aende akachukue watoto wake bana wanapata shida sana
My wife wangu Yummy njoo hapa bana nina kiss zako kama milioni za kukupa
 
Last edited by a moderator:

Halafu Mr Rocky hizi taarifa mbona zinanishtua sana aisee?
Umezipata wapi wakati sikukupa hata namba ya mama yao?
We nawe umekuwa kama mwandishi wa habari wa BBC lol unapekua mwishowe univunjie ndoa yangu wakati bibie kasahau ya nyuma anakula raha sasa hivi
 
Last edited by a moderator:
Tumsute Kama alivyosutwa Bishanga. Ila huyu tutaenda na mdundiko.
Mi mkija kunisuta msije na mdundiko..njoooni na wimbo wa AT wa Hao Hao huo ndio wenyewe na nitakupeni kampani sana tu
 
Halafu Mr Rocky hizi taarifa mbona zinanishtua sana aisee?
Umezipata wapi wakati sikukupa hata namba ya mama yao?
We nawe umekuwa kama mwandishi wa habari wa BBC lol unapekua mwishowe univunjie ndoa yangu wakati bibie kasahau ya nyuma anakula raha sasa hivi

We kuchokonoa ndoa za wenzio wasikia raha haswaaa....sasa umeguswa kunako,ukomeee!
 
Last edited by a moderator:
We kuchokonoa ndoa za wenzio wasikia raha haswaaa....sasa umeguswa kunako,ukomeee!
Heheheee hao ni watoto wa mke mwenzio.... Mr Rocky anawarusha upande wangu ila ni wakwake ndio mana alikwenda kuwasalimia
Usilolijua ni kama usiku wa Giza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom