Najua we ni dogo Janja
Siulinambia asubuhi unadhani nimesahau eeeh?
Oh! We ni mjukuu mwema, hebu come this way....
Halafu Mr Rocky hizi taarifa mbona zinanishtua sana aisee?
Umezipata wapi wakati sikukupa hata namba ya mama yao?
We nawe umekuwa kama mwandishi wa habari wa BBC lol unapekua mwishowe univunjie ndoa yangu wakati bibie kasahau ya nyuma anakula raha sasa hivi
We kuchokonoa ndoa za wenzio wasikia raha haswaaa....sasa umeguswa kunako,ukomeee!
Heheheee hao ni watoto wa mke mwenzio.... Mr Rocky anawarusha upande wangu ila ni wakwake ndio mana alikwenda kuwasalimia
Usilolijua ni kama usiku wa Giza
Erickb52 ujue sasa namna ya kukwepa mashambulizi
Hahahaaa hayo macho yako tu
Kamata Dola mia ya Erickb52 ukanywe bia zako chap uache maneno
View attachment 58971
Hahahaaa Mr Rocky naomba niuze hili dude langu nikupe ukawawezehe maana moyo umenisuta lolErickb52 ujue sasa namna ya kukwepa mashambulizi
Nilishangaa nashuka tuu stand nikaviona vitoto vitatu kuviangalia mhhh mbona vinafanana na Erickb52
Kuviuliza vikasema wazi bana baba yetu tunasikia anakula raha yuko huko mjini wala hatujali
Sisi tunauza machungwa na ndizi ndo mama apate pesa ya kutulisha
Kuviluza vinakaa wapi vikasema vinalala pale pale stand kwani nyumba yao iliezuliwa na upepo na hawana sehem ya kukaa
Nikamfikiria Erickb52 anatembelea vogue mjini na anakaa kwenye jumba la kifahari wakati watoto wanalala stand aise
My wife Yummy ni lazima Erickb52 aipate hapa maana amezidi kutanua wakati watoto wake wanapata shida
Njoo home my wife wangu wewe achana na huyo jamaa sharobaro wa mjini asiyejua malezi ya watoto

Mkuu nakuona unavyouza sura...........................Hahahaaaa ushapika aisee lol
Hahahaaaa ushapika aisee lol
Dah hebu pokea hilo kwanza
Mwaaaaaaah
yale mambo matamu ntakupatia badae nikirudi eeeeh
Get prepared mama!