Yummy
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,796
- 1,337
Hahahaaaa Yummy na ungejua masharobaro fani yao ni kutoa raha na burudani na kuwaza starehe ungejileta mwenyewe unadhani sisi ndio wale wanaowaza mamashine ya kupandisha maji yammegoma mara Kuna watu wamefumaniana maraa oooh mtoto kafukuzwa ada lol
Hapa hakuna mawazo zaidi ya kuwaza ntamtosherezaje sweetlady nikimkamata vizuri lol
Hahahaaaaa Erickb52 mbavu zanguuuuuu
Last edited by a moderator: