Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Lazima nivunje MIC na Makeybord acha kwa Preta sijui kaninywesha nini huyu mwanamke nampenda kupitiliza mpaka mimi najigundua kama sijiwezi juu ya Preta.........mimi naomba iwe hivi mpaka mwisho wa uhai wetu!!!
..hivi unajua tuko wapi sasa hivi mimi na Preta...halafu kwanini wewe na TANMO mnaniingilia sana..wakati totoz kibao tu mtaa huu
 
Last edited by a moderator:
Lazima nivunje MIC na Makeybord acha kwa Preta sijui kaninywesha nini huyu mwanamke nampenda kupitiliza mpaka mimi najigundua kama sijiwezi juu ya Preta.........mimi naomba iwe hivi mpaka mwisho wa uhai wetu!!!
Heheheheheeeee KakaKiiza nimecheka sana hapo kwenye Bold Lol
Unamuona mtu chake anavyosema?
Teh utageuza show kama inavyokuwaga kwenye mieleka eeeh lol
Ukigeuka TRIPle H mabaunsa wanakudeal
 
Last edited by a moderator:
nikipewa show mimi siwezi kuiendesha ki chit chat. Itakua ni live broadcast kwenye skypegroup au tunatafuta namna nyingine ya kuwakutanisha live. Tenda ya kuuza popcorn na vinywaji atapewa Bishanga, na kama kuna mpango wa kitihot basi Preta atatununulia kwa askofu. Ikiwa nitapewa kuendesha show, nadhani nitawaalika
  1. zomba na Matola kwa review ya miaka 7 ya utawala wa Kikwete na what to expect in 2015 (refa:EMT)
  2. AshaDii na Gaijin kwa mazungumzo kuhusu mila na tamaduni za Africa (Refa bht)
  3. Mekatilili na Askari Kanzu kuhusu viwango mbali mbali vya maendeleao katika nchi za EAC (Refa Satta)
  4. Dr Riwa na MziziMkavu kuhusu tiba za asili vs tiba za kisasa (Refa King'asti)
  5. Kiranga na William Malecela kuhusu nafasi ya vijana katika siasa na uendeshaji wa nchi (refa: FJM)
  6. Naweza pia kuwaalika Kiranga na H1N1 kujadili suala la kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu (Refa NN)
  7. Bishanga na Nyani Ngabu kuhusu... well, kuhusu Bishanga na NN. They are a show by themselves (refa Lizzy)
  8. Nikimwalika Invisible nitamwalika alone coz mimi na yeye tunatofautiana sana kimawazo. (Refa: X-PASTER)
  9. Another good combination ni Excellent na T Bag Hatari washindishane ku-crack jokes (refa: Jaguar)
  10. Mwisho kabisa naweza kuwajadilisha Zinduna mwenyewe na Kimbweka kuhusu picha gani zinafaa na zipi hazifai kuwekwa lile jukwaa la watu wazima (refa: Boflo)
 
Last edited by a moderator:
nikipewa show mimi siwezi kuiendesha ki chit chat. Itakua ni live broadcast kwenye skypegroup au tunatafuta namna nyingine ya kuwakutanisha live. Tenda ya kuuza popcorn na vinywaji atapewa Bishanga, na kama kuna mpango wa kitihot basi Preta atatununulia kwa askofu. Ikiwa nitapewa kuendesha show, nadhani nitawaalika
  1. Zomba na Matola kwa review ya miaka 7 ya utawala wa Kikwete na what to expect in 2015 (refa:EMT)
  2. AshaDii na Gaijin kwa mazungumzo kuhusu mila na tamaduni za Africa (Refa bht)
  3. Mekatilili na Askari Kanzu kuhusu viwango mbali mbali vya maendeleao katika nchi za EAC (Refa Satta)
  4. Dr Riwa na Mzizi Mkavu kuhusu tiba za asili vs tiba za kisasa (Refa King'asti)
  5. Kiranga na William Malecela kuhusu nafasi ya vijana katika siana na uendeshaji wa nchi (refa: FJM)
  6. Naweza pia kuwaalika Kiranga na H1N1 kujadili suala la kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu (Refa NN)
  7. Bishanga na Nyani Ngabu kuhusu... well, kuhusu Bishanga na NN. They are a show by themselves (refa Lizzy)
  8. Nikimwalika Invisible nitamwalika alone coz mimi na yeye tunatofautiana sana kimawazo. (Refa: X-PASTER)
  9. Another good combination ni Excellent na T Bag Hatari washindishane ku-crack jokes (refa: Jaguar)
  10. Mwisho kabisa naweza kuwajadilisha Zinduna mwenyewe na Kimbweka kuhusu picha gani zinafaa na zipi hazifai kuwekwa lile jukwaa la watu wazima (refa: Boflo)

Roulette Show yako imenifurisha sana coz naamini hakuna hata show moja itakayoisha salama
Dah una hatari sana
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa tangu Cantalisia awekwe kinyumba na nitonye Rejao kaamua kukimbia jukwaaa lol
Wangepeana hadi viwake moto lol
52 hapo mbona unan'changanya ? Kwanza mi sijajua kama Nity amejitwisha Canta?
Ni lini hiyo? Na huyo Nity mi ndo nimeona ame'back leo?
Ok how abt SL ?
Back to mada nakumbuka Rejao na Canta wakizozana tu kidogo, ile wakipatana tu hapohapo wanapeana "cha mediation" khaa!
 
Last edited by a moderator:
Dah hope jumamosi ntakuwa uwanjani na wewe wakati show inaendelea hewani
Duh ntapata mauzoefu ya kutosha toka kwa Erotica

Hilo neno zuri sana kulisikia Siku ya Leo, limefurahisha moyo wangu.
Sina Shaka Erotica atatupa maujuzi ya uhakika.
Na natumai hakutakuwa Na kuangalia upepo tena.
 
Last edited by a moderator:
Inabidi nianze kutafuta number ya Ultimate security ili walete ambulance mapema maana sina hakika sana hali ya afya ya Willim Malecela anahema sana huyu kijana:)
 
Inabidi nianze kutafuta number ya Ultimate security ili walete ambulance mapema maana sina hakika sana hali ya afya ya Willim Malecela anahema sana huyu kijana:)

Umeshaanza kupendelea... wewe naona utafaa kujadili ha Dr, MA, MBA, MSc, PhD, Hon, Mhe Hamisi Kigwangalla kuhusu mchango wake katika maendeleo ya sekta ya afya Tanzania. Refa: Freema Agyeman
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom