kwa hisani ya watu wa marecani, BAK plizzzzzz popote ulipo, naomba uniwekee ile taarab ya maneno ya mkosaji by LEILA RASHID! Young_Master goodmorning!
we nawe kila mtu hebu pitia hapa, pitia hapa! we uliweka kimaandishi, mi nilianza kabla moyoni mwangu, haya wahanga wote wa ushahidi njooni pitieni moyoni mwangu muone talaka niliitoa kitambooooooooo! Asprin mi luv u bana kha!
:A S-confused1:N bado shosti mwaka huu unalo tena limekuganda.
Hehehee Remmy nilishakuachia huyu tangu jana
Nasisitiza kuwa Bishanga ni wako na utakuwa nyumba ndogo kwa The secretary
Sawa?
kukuota wewe labda mpaka nitishiwe kuulimbokwa.Remmy come on please mume anakuhitaji
Roulette naunga mkono hoja.
Mada yangu uliyonichagulia, kwanza nikupe heko kwa kuwa on Bulls-eye, nipo tayari ligi ianzie hapahapa JF. Nna uhakika hakuna aliyeweka rekodi ya utendaji uliotukuka katika nyanja zote zaidi ya Kikwete kwa Marais wote wa kabla yake.
Namshukuru Allah kuwa nilikuwepo a bit before and during all of them from the beginning, ni mmoja kati ya wana JF wachache sana anaeweza kujivunia hilo. Wengi humu wanasikia Nyerere, Mwinyi, Mkapa lakini kuna ambao hawakuwepo katika tawala hizo au walikuwa ni wadogo sana wa kuweza kujuwa zuri na baya.
Asante sana mkuu. I hope Matola kakupata, na ikiwa he is willing (or capable) to take the challenge basi on Saturday the 21st or Sunday the 22 of July tunaweza kuweka hoja hii jukwaa la siasa na tukawaacha wewe na Matola kujadili hayo, moderator wa mahojiano akiwa FJM kama tulivo panga. Nadhani itapendeza sana na vijana watajifunza namna gani watu wazima wana-debate. Michango ya member wengine wote itahamishwa kwenye thread maalum ili hoja hiyo ibaki kati ya watatu hawa.
Shem, kumbe Remmy ni mwanamke?