Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Oh my sugar........... lets go dancing huuu lalala!! Hapa hakuna cha nani sijui.......... Ambia kina The secretary na CUTE waje waone navokupa maraha. Hapo Yummy na BADILI TABIA wako bench wanasubiri zamu yao. Najua Bishanga, Erickb52 na Kaizer watakuwa wananionea wivu sana....


PIC%2BOF%2BTHE%2BDAY.JPG
kwa raha zetu babu yangu! ila tukitoka hapo ukapime pressure kwanza hossy, sina imani sanaaaaa na wewe, kha!
 
Last edited by a moderator:
Hajui nlikowatoeni? Hebu angalia alivokukondesha,
ATT47282.jpg


Kaona mtoto wa watu umejinenepea anataka kula matapishi yake? Come this way baby... Tule raha zetu!!

attachment.php
Naona Asprin unaniua kwa mrembo
Heheheheeee usitupe mbachao kwa msala upitao oooooh
 
Last edited by a moderator:
Kaona mtoto wa watu umejinenepea anataka kula matapishi yake? Come this way baby... Tule raha zetu!!




umeonaeeee bby wangu! wivu tu! leo ndio weekend hubby wangu, wanipeleka wapi mie?
 
Back
Top Bottom