CUTE unakunywa kinywaji gani??? my Asprin nakupendaje sasa??? mwahhhhhh!Young_Master wewe mwanaume mlalamishi sana mbona mwenzako cacico katulia halalamiki kama wewe jamani kha! jichunguze
Akukuletea za kuleta nistue nikukabizi charminglady au Catherine. Au unamtaka The secretary? Haiwezekani wikiendi ipite bila kukagua bana, usije ukapata kutu mdogo wangu.
Wewe mbona pia umewajaza? Na bado unaendelea kuwatafuta. Nimeona unavomtongoza The Secretary.
Ulikagua vizuri? hebu cheki jicho hilo..Dah Ila Asprin kama The secretary anapatikana ntafurahi sana kwa kuwa tangu nimkague wakati ulee sijabahatika kurudia ukaguzi na kila nikimuona huwa viungo vinajinyoosha kwa furaha lol
Dah Ila Asprin kama The secretary anapatikana ntafurahi sana kwa kuwa tangu nimkague wakati ulee sijabahatika kurudia ukaguzi na kila nikimuona huwa viungo vinajinyoosha kwa furaha lol
Ulikagua vizuri? hebu cheki jicho hilo..
![]()
Na guu lake ulilifaidi? Ila kiukweli halifikii la my sugar cacico. Nakuonyesha kwa muda tu, usije ukamtamani shemejio
![]()
Bishanga njoo ujionee mwenyewe achana na siasa kwako imekaa mguu pande
Mzima kooote ispokuwa nanii ndio inanisumbua sana aisee lol sijui ina matatizo
Mzima kooote ispokuwa nanii ndio inanisumbua sana aisee lol sijui ina matatizo