Nianze kwa kumshukuru ndugu Erick kwa kunipa fursa ya kumkaimu bi Zinduna ambaye anasumbuliwa na ujauzito wa bishanga abashaija.
Pia nichukue fursa hii kumshukuru bi The secretary kwa kuitikia wito wa kuwa mgeni kwenye kipindi chetu adhimu.
Ndugu wasikilizaji radio yenu inaandaa Lear jet kwa ajili ya kumpeleka The Secretary huko Nassau,The Bahamas kwa mahojiano. Msishangae naye akirudi na katumbo maana ukimhoji au kuhojiwa na bishanga unapata automatic mhemuko na bishanga hajui kondome zinauzwa wapi.
Heheheeeee cacico ndo unataka kusema Young_Master chaliiii
amelazwa pembeni ya yule waziri wa israiel nikumbushe jina, wanapumulia mashine wote! nimekolea kwa babu tatizo ndio hilo, ila sa babu hanitungii threads, na mi nimezoea kubembelezwa kha!
We mtoto funga macho. Haya mambo ni rated 18!
Unaniota eh?
Remmy hajambo? Naomba namba zake za cm.
sio kondome ni kifudusi
Nianze kwa kumshukuru ndugu Erick kwa kunipa fursa ya kumkaimu bi Zinduna ambaye anasumbuliwa na ujauzito wa bishanga abashaija.
Pia nichukue fursa hii kumshukuru bi The secretary kwa kuitikia wito wa kuwa mgeni kwenye kipindi chetu adhimu.
Ndugu wasikilizaji radio yenu inaandaa Lear jet kwa ajili ya kumpeleka The Secretary huko Nassau,The Bahamas kwa mahojiano. Msishangae naye akirudi na katumbo maana ukimhoji au kuhojiwa na bishanga unapata automatic mhemuko na bishanga hajui kondome zinauzwa wapi.
Asprin mhanga wa mabwepande anasema amehisi utaning'oa kucha na meno! khaaaaaaaaaaa! YM hivi kumbe kuna wanaume wafukunyuku eeeee, lol!Hiyo inaitwa imekula kwake na sio kwangu mkuu. Anajiona amewini kwenda kwa kizee kumbe ndo anajizika mwenyewe. Mie mwenzako tayari nimeshaanza kusikia harufu ya damu.
unauliza dawa ya usingizi theatre????Kwa hiyo kumbe ulinizimia kwa sababu nilikuwa nakutungua mistari?
Asprin mhanga wa mabwepande anasema amehisi utaning'oa kucha na meno! khaaaaaaaaaaa! YM hivi kumbe kuna wanaume wafukunyuku eeeee, lol!