Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Oh my sugar........... lets go dancing huuu lalala!!

Hapa hakuna cha nani sijui.......... Ambia kina The secretary na CUTE waje waone navokupa maraha. Hapo Yummy na BADILI TABIA wako bench wanasubiri zamu yao. Najua Bishanga, Erickb52 na Kaizer watakuwa wananionea wivu sana....


PIC%2BOF%2BTHE%2BDAY.JPG
we mkali nakukubali endelea kumpatia miraha
 
ni utoto unamsumbua, akikua ataachaje sasa, ni side effects za upekuzi! lol! CUTE mzima wewe??
miw waafya kabisa....ila huyu young master kiboko khaa! itabidi kumtafutia zinduna ampatie suto la haja zaidi ya lile la Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Khaa!! FYI cacico yuko chini ya himaya yangu na yangu peke yangu. Mtoto kafika, nampa yote anayohitaji kupewa mwanamke. Karidhika nami kanridhisha.... cacico come this way honey.....

Umeona eh CUTE, Ganda la mua la jana, chungu kaona nini? Jibu kivuno bathi LOL
young master inabidi kufundishwa ya kua "Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"
 
Uliko Preta nisikilize kilio changu!!kama umeamua niugue ghafla nitaugua ila fahamu Madakitari hawapo na wameishafukuzwa...!!!Please... Erickb52 unatetesi za huyu kiumbe mimi humu naona like sijui computer anayoitumia keybord zimegoma anatumia mouse...only kwa ku like!!hata sijui!!
 
Last edited by a moderator:
Nikiangalia hizo ndefu zake Na hiyo mindizi, sina hamu. Baki nae mwaya.

ooh! Bishanga come this way baby,handsome la kihaya kutoka katerero lililoibukia jijini tandale fataki la ukweli lenye uchuro na wanawake only me penda wewe wapi wewe bado upo kwa fundi unahangaikia kurekebisha kibajaji chako njoo ubebe warembo wote wa jf uwapeleke weekend PARAGUAY watakupenda tu.
 
Uliko Preta nisikilize kilio changu!!kama umeamua niugue ghafla nitaugua ila fahamu Madakitari hawapo na wameishafukuzwa...!!!Please... Erickb52 unatetesi za huyu kiumbe mimi humu naona like sijui computer anayoitumia keybord zimegoma anatumia mouse...only kwa ku like!!hata sijui!!

Hahahahaaaaa KakaKiiza umenifanya nicheke sana aisee lol
Nimejaribu kuimagine namna keyoard inapogoma na inabaki mouse kazi inavyokuwaga ngumu dah
Niko nacheka mwenyewe hapa
 
Last edited by a moderator:
ooh! Bishanga come this way baby,handsome la kihaya kutoka katerero lililoibukia jijini tandale fataki la ukweli lenye uchuro na wanawake only me penda wewe wapi wewe bado upo kwa fundi unahangaikia kurekebisha kibajaji chako njoo ubebe warembo wote wa jf uwapeleke weekend PARAGUAY watakupenda tu.

Dah kweli wagombanao ndio wapendanao Bishanga njoo upewe mahaba huku
 
Last edited by a moderator:
we mkali nakukubali endelea kumpatia miraha

Umeona eeeh Asprin kama kawaida naomba uniruhusu nikamkague CUTE nimpe na ile picha tuloiweka maalumu kwa ajili yake baada ya kukaguliwa!
 
Last edited by a moderator:
Usijifanye Kova kutufanya watz mafala. Mie sie wa kunichezea Erickb52 ujue.
Mara sikutaki, Mara wee wangu
Do not make me fool.

Dah yan unanifananisha na Kova?
Siamini aisee kweli umenichoka ma dia lol
 
Umeona eeeh Asprin kama kawaida naomba uniruhusu nikamkague CUTE nimpe na ile picha tuloiweka maalumu kwa ajili yake baada ya kukaguliwa!
Kagua baba.... Kagua!........ bibie CUTE popote ulipo please go that way......:director:
 
Last edited by a moderator:
Kagua baba.... Kagua!........ bibie CUTE popote ulipo please go that way......:director:

Dah afadhali sana aisee maana nilikuwa nafikiria weekend hii inanipita bila ukaguzi wakati babu Upo
Sawa ngoja nimtafute CUTE aje tufanye mchakato fatser
Asante Asprin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom