Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Last edited by a moderator:
hahahaha!! Sasa ulitaka anilambe ban? cacico hebu njoo huku kuna mtu anataka nipelekwe lupango......utanimisije?? Khaa!! Fyi mamods wote isipokuwa mmoja ni marafiki na mashemeji zangu........ Hawana roho mbaya kiviiiiiile!
khaaaaa! Achana naye huyo mod, kwanza tunamujua na roho yake ya kwanini??? Lolest, morning ma luv, mi luv u thooooooo much! Mwahhhhhhh!
 
sizitaki mbichi hizi....
Kwikwikwi
mkemwenza njoo uone
huyo ni mfa maji haachi kutapa, nimemsamehe bureeeeeeeeeeeee! Hapo alipo roho yampaaaaaa kama paaa mbugani, na mi ndio yuleeeeee kwa babu nadekezwaje sasa??
 
khaaaaa! Achana naye huyo mod, kwanza tunamujua na roho yake ya kwanini??? Lolest, morning ma luv, mi luv u thooooooo much! Mwahhhhhhh!

Habari za asubuhi cacico?
 
Last edited by a moderator:
Khaa!! FYI cacico yuko chini ya himaya yangu na yangu peke yangu. Mtoto kafika, nampa yote anayohitaji kupewa mwanamke. Karidhika nami kanridhisha.... cacico come this way honey.....

Umeona eh CUTE, Ganda la mua la jana, chungu kaona nini? Jibu kivuno bathi LOL
apewe, apewe dozi yake huyo wa jinsia ya kiume, lol! bby wangu leo nije saa ngapi job kwako?? jana nilikungoja sana nje n u were busy, wanted to surprize u! achana naye huyo mfa maji, asiyemjua nani kuwa donge limemkaba moyoni yu ataka burst! lolest, bby nakupendaje Asprin wangu??? lol! mwahhhhh!
 
Back
Top Bottom