Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

52 hapo mbona unan'changanya ? Kwanza mi sijajua kama Nity amejitwisha Canta?
Ni lini hiyo? Na huyo Nity mi ndo nimeona ame'back leo?
Ok how abt SL ?
Back to mada nakumbuka Rejao na Canta wakizozana tu kidogo, ile wakipatana tu hapohapo wanapeana "cha mediation" khaa!
Teh wangepeana na kusahau show
Ila mrithi wao yupo cacico na Asprin
Walijua hilo?
 
Last edited by a moderator:
Inabidi nianze kutafuta number ya Ultimate security ili walete ambulance mapema maana sina hakika sana hali ya afya ya Willim Malecela anahema sana huyu kijana:)
Hehehee tena kama show ingefanyika wakati wa uchaguzi wa wabunge wa EA lol angeua mtu
 
Hilo neno zuri sana kulisikia Siku ya Leo, limefurahisha moyo wangu.
Sina Shaka Erotica atatupa maujuzi ya uhakika.
Na natumai hakutakuwa Na kuangalia upepo tena.
Teh hata upepo ukiwepo hakabadiliki kitu
 
Umeshaanza kupendelea... wewe naona utafaa kujadili ha Dr, MA, MBA, MSc, PhD, Hon, Mhe Hamisi Kigwangalla kuhusu mchango wake katika maendeleo ya sekta ya afya Tanzania. Refa: Freema Agyeman

ha ha ha nimetoa tahadhari hata kama atakuwepo refa mwingine ni bora akajiandaa, mtu anaweza kudondoka ghafla ikawa tafrani kubwa!
 
Jamani picha zingine ni too much! Asprin ungetupa warning.
Samahani mkuu, ngoja nikazidelete.....

Nimeiondoa, it is not fit. Asprin you are being a bad boy, you will be whipped! :whip:
Oups!! Ahsante sana Roulette naahidi kuwa a good boy. We ni mod mwema sana, angekuwa yule mwingine (siyo, Paw tafazali)... ana roho mbaya kama kiatu cha Mugabe, ungekuta nshalambwa ban muda huu ningekuwa natesa na ID nyingine kati ya zile tisa nazomiliki.

Eee Mungu, msamehe Roulette zambi zake zote alizotenda na atakazotenda kesho uzihamishie kwa yule mod aliyenilamba ban.

Wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA semeni AMINA.
 
Last edited by a moderator:
Samahani mkuu, ngoja nikazidelete.....

Oups!! Ahsante sana Roulette naahidi kuwa a good boy. We ni mod mwema sana, angekuwa yule mwingine (siyo, Paw tafazali)... ana roho mbaya kama kiatu cha Mugabe, ungekuta nshalambwa ban muda huu ningekuwa natesa na ID nyingine kati ya zile tisa nazomiliki.

Eee Mungu, msamehe Roulette zambi zake zote alizotenda na atakazotenda kesho uzihamishie kwa yule mod aliyenilamba ban.

Wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA semeni AMINA.
Hahhaaaaaa Asprin umenichekesha kweli hapa aisee lol
Nadhani yule Mod amesikia na madame Roulette amezipokea baraka kwa mikono miwili lol
 
Last edited by a moderator:
Samahani mkuu, ngoja nikazidelete.....

Oups!! Ahsante sana Roulette naahidi kuwa a good boy. We ni mod mwema sana, angekuwa yule mwingine (siyo, Paw tafazali)... ana roho mbaya kama kiatu cha Mugabe, ungekuta nshalambwa ban muda huu ningekuwa natesa na ID nyingine kati ya zile tisa nazomiliki.

Eee Mungu, msamehe Roulette zambi zake zote alizotenda na atakazotenda kesho uzihamishie kwa yule mod aliyenilamba ban.

Wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA semeni AMINA.
Amina. Sasa ngoja nikatende lile dhambi ninalo shindwa kuresist. Si watalihamisha kwa yule mod mbaya (hata simjui mimi).
Dah nimeimiss aisee nilikuwa lunch
Bora umeimiss, ilikua ni migongo ya watu walokatwa na mapanga, unaona hadi ndani. tena watu wenyewe weupe so it looks like in a haram butchery, if you know what I mean...
 
Amina. Sasa ngoja nikatende lile dhambi ninalo shindwa kuresist. Si watalihamisha kwa yule mod mbaya (hata simjui mimi).

Bora umeimiss, ilikua ni migongo ya watu walokatwa na mapanga, unaona hadi ndani. tena watu wenyewe weupe so it looks like in a haram butchery, if you know what I mean...
Hahahaha!!! ili mradi tu usiende mzulumu shem wangu. Msamaha huu wa zambi hauhusiani na zinaa.... Huyu mod mwenye roho mbaya humjui? Mtakapokaa kwenye kikao chenu cha baraza la mamods, angalia mamod wote usoni, utakayemwona ana macho yenye aibu kama pasi ya mkaa ndio huyohuyo! Nlimwendea Botswana kwa anko wake klorokwini ili amloge macho yahamie kisogoni lakini bahati mbaya kumbe alikuwa ameenda Ukraine.

Ukimwona mwambie siku nyingine akinilamba ban, atatumia mdomo kuachia ushuzzi wallah!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom