Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Nilimpa penzi ambalo hatokuja kusahau....sasa hivi anauguza madonda ya kumoyo

Teh siku ya show mtazungumzia zaidi maisha ya shule coz nasikia we ulikuwa Monitor na charminglady kilanja lol
 
Last edited by a moderator:
kalikuwa kadogo sana....nakaogesha mtoni, nakavesha chupi....sasa hivi eti anatunisha misuli we ngoja tu!!
Hehehee kakague katashika adabu lol
Tatizo lako hukagui unapekua dogo lol
 
Heheheee kwa hapa nafuta kauli nilikuwa namtania tu Remmy coz hajaweza kuficha siri lol

Daaaaaa......
Sikuiona hii kitu
Inshalah Erickb52 kweli umejua kucheza Na hisia zangu.
Narudi Jukwaa la siasa where I deserve.
 
Last edited by a moderator:
mi sitoweza kuendesha kipindi YM. Endesha na cacico upate kachance ka kuunganisha moyo.

Jamani my dear Catherine wewe si uliniambia kuwa unataka kuunganisha moyo wangu? Mbona unanifanyia hivyo mie jamani?
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeeee? Huyu cacico hafai...kila mwanaume anamtaka yeye...bora nibaki na Catherine wangu nisije kuokota yasiyofaa kuokotwa.
Khaa!! FYI cacico yuko chini ya himaya yangu na yangu peke yangu. Mtoto kafika, nampa yote anayohitaji kupewa mwanamke. Karidhika nami kanridhisha.... cacico come this way honey.....

yamekua hayo leo
Umeona eh CUTE, Ganda la mua la jana, chungu kaona nini? Jibu kivuno bathi LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom