Pointless. Mbona Mawaziri waliosimamiwa na Mzee Lowasa wako kazini? Mama nae yuko ziarani kikazi?
Huu ndiyo ujinga ambao mnatufanya watanzania wasituamini kwa kutupigia kula ili tuongoze nchi. TUPUNGUZE UJINGA TUNAWEZA KUAMINIWA
 
Msiba ni jambo la Mungu na maandamano nayo ni ya Mungu
Ndugu wakati mwingine kusema ukweli ni vizuri sana.Tunaro tatizo moja ambalo linazidi kukididimiza chama naro ni kuamiani kua CHADEMA we are always perfect and right...hii ilikua kanuni ya Adolf Hitler. Tunapo kua mbele kuikosoa CCM basi nasi tukubali kukosolewa maana we are not smart like that way kamanda.
 
Wakati mwili wa Lowwassa ukipelekwa Longido,

Bunge liko live, wakati huo huo sa100 Yuko ziara Nchi za nje!!

Fafanua Hilo pia.
Kwamba ukikosea basi nasi tukosee....ujinga huo. Bunge na Rais wapo sawa maana huyo ni mstaafu kwahiyo protocol ipo hivyo. Huyu alikua mgombea wetu urais 2015 lakini tumefanya jogging na matembezi wakati wa msiba.
 
Huu ndiyo ujinga ambao mnatufanya watanzania wasituamini kwa kutupigia kula ili tuongoze nchi. TUPUNGUZE UJINGA TUNAWEZA KUAMINIWA
Usipende kuishi kwa kujihisi umekosea! Jiamini. Maandamano yalifana, na msibani tulijaa pia na msg ya Mbowe ilifunika. Ndiye mtu pekee aliyepigiwa makofi ya nguvu kwa kauli yake pale msibani kuliko wote!
 
Kwahiyo unatka kusema kua CHADEMA tulifanya yote hayo ili tufunike matukio? Makofi mengi yalikua nguvu kiasi gani? Lets be serious bhana
 
Usipende kuishi kwa kujihisi umekosea! Jiamini. Maandamano yalifana, na msibani tulijaa pia na msg ya Mbowe ilifunika. Ndiye mtu pekee aliyepigiwa makofi ya nguvu kwa kauli yake pale msibani kuliko wote!
Sema mimi nilifurai Mh.Mbowe alivyokua ana kura nyama choma basi
 
Ndugu wakati mwingine kusema ukweli ni vizuri sana.Tunaro tatizo moja ambalo linazidi kukididimiza chama naro ni kuamiani kua CHADEMA we are always perfect and right...hii ilikua kanuni ya Adolf Hitler. Tunapo kua mbele kuikosoa CCM basi nasi tukubali kukosolewa maana we are not smart like that way kamanda.
Ni hivi Msiba ni wa Mungu na Maandamano haya ni ya Mungu , hii ni kwa sababu tukiandamana na bei za vitu zikishuka basi ni lazima tutanusuru wenye njaa waliotarajiwa kufa kwa njaa

Kwa Waislam siku ikipangwa harusi hata kama baba mkwe akifa siku hiyo , ndoa itafungwa na marehemu atazikwa , hii ni kwa vile Msiba ni wa Mungu na Ndoa ni ya Mungu
 
Maandamano yanaweza kushusha bei ya vitu? Kama ni kweli andamaeni kila siku ili vitu visiwe na bei kabisa- vitolewe bure
 
Back
Top Bottom