Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

wakristo tukimaliza kuchinja kama tunavotaka basi....tuwe na dala dala zetu kwani dereva muislam asubuhi akishika usukani husema bismillahi kama anavosema wakati wa kuchinja, pia tuwe na maduka yetu kwani pia hawa waislam wafunguao maduka husema bismillahi kama wanapo chinja
na pia tusipande taxi zao, tusikodi nyumba zao....tusimalizie hapo tu ...bali tukialikwa na waislam tusinde....akifa muislam tusiende pia kwani tunashiriki ibada ya mazishi ya kiislam....na ikiwezakana tusiajiriwe na makampuni ama ofisi za kiislam kwani humo ndani waanabandika picha za Quraan na hufungua offisi zao wkisema bismillahi
Ama baada ya hapo tutakuwa tumeokoka na bwana yesu atatupokea na kutusamehe dhambi zetu..aleluyaaa
Lazima ajipendekeze kwa shekh kikwete. Chezea njaa wewe...!
nakumbuka padre nyerere hamkutubutu kumhoji mambo haya ..kwani japo...aliwapedelea basi ...hakutaka kulishwa nyama za maiti....anawajua jamaa zake sio waaminifu ...na alijua alaiyakuta tangu wazungu...na hayakua na matatizo..na pia hakuwapenda walokole...kwani ni vibaraka wa marekani..na ndo wanaoleta hizi fitina ..huko geita kulikua na wazungu wakifatana na huyo padiri alie kufa...na wao ndo walio kua wakitoa maelekezo ya kuwambia musikubali...na walokole hao ...wanataka misaada sasa watafanya nini ? uzalendo baadae.....
 
Hivi nyie maotaka kuchinja mnajua maana ya kuchinja. nyie mnataka kukata sio kuchinja. Sababu Mkirsto Yeyote wajui kuchinja sasa nataka kila anae lalamika atuambie ana semaje katika kuchinja na akitokea mimi naingia katika ukrsto hata leo. nyie hamjui chochote .

Wanaishia kutukana tu wanapo kata mnyama, kwa mfano nguruwe hupewa kipondo huku anatukanwa !
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

una bonge la avatar, laiti kama ungekuwa na busara ungeheshimika. lakini nachelea kukwambia unakaribia kuwa tahira, na nakushaur ubadilishe avatar uweke inayoendana na jina lako, FIXER from the word fix.

maandiko uyatakayo haya hapa

Matendo 10:12 Ndani yake walikuwepo aina zote za wanyama wenye miguu minne, nao watambaao na ndege wa angani. 13 Ndipo sauti ikamwambia “Petro, ondoka, uchinje na ule.” 14 Petro akajibu, “La Bwana! Sijakula kamwe kitu cho chote kilicho najisi.”15 ile sauti ikasema naye tena mara ya pili, “Usikiite najisi kitu cho chote alichokitakasa Bwana.”

tena

Mwanzo 9:3 Kila kitu chenye uhai kiendacho kitakuwa chakula chenu. Kama vile nilivyowapa mimea mbalimbali, sasa nawapa kila kitu. 4“Lakini kamwe msile nyama ambayo bado ina damu ya uhai wake, kwa maana damu ni uhai.

haya unataka nini sasa hapo? umesema biblia haijasema kuchinja, nimekupa vifungu.
 
Mkuu Pokofame,
Nakushauri na nnakushauri tena ukiitafuta INJILI na kuisoma yoote kama vile una mtihani kwa mwezi mzima ukipata mahala hata pa sentesi 1 tu palipoandikwa kuwa YESU NI MKRISTO mimi ntakwenda kulibusu Sanamu la YESU pale kanisani kwenu mitaa ya Posta.

Ntaanza kuyaabudu masanamu kuanzia siku hiyo utakayo nipa ushahidi huo
Kumbe na wewe ni mpagani !!! Unataka kubusu sanamu??? Hata usipobusu bado tunasema kama waislamu wanakataa kula nyama iliyochinjwa na Mkristo kwa masuala ya imani kwa nini Mkristo asilimishwe??? Tunataka hoja??? Hapa hakuna Jihadi ??
 
kama kuchinja mnatoa sadaka kwa majini yenu, sie kuchinja ni kukata shingo la mnyama au ndege ili dmu iliyokatazwa kuliwa imwagik. full stop. halafu kama hatuchinji si mtuuache?
 
Si muda mrefu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemaliza kikao chake na Masheikh pamoja na Maaskofu hapa Mwanza katika ukumbi wa BoT kuhusu nani achinje kitowe.

Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari waliotaka kujua msimamo wa Serikali kuhusu nani hasa mwenye uhalali wa kuchinja wanyama kati ya Wakiristo na Waislam, Waziri Mkuu, Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale yanayowaruhusu Waislamu kuchinja yaendelee hadi hapo maamuzi mengine yatapofikiwa na Serikali.

Ameagiza pia kuundwa kamati maalumu itakayohusisha pande zote mbili za Waislamu na Wakiristo, ambayo itashughulikia mgogoro huo, na kamati hiyo iundwe na kufanyakazi zake na kukamilisha haraka sana!.

Muislaam akila anamtaja Mungu, akishtuka anamtaja Mungu, akishangaa ana mtaja Mungu, akishukuru ana mtaja Mungu, akiistajabia uzuri ana mtaja Mungu (angalia Karikoo Magorofa ya Waislaam yanayojengwa yameandikwa 'Masha'Allah')
Kila kitu cha muumin ni ibada !
 
kama kuchinja mnatoa sadaka kwa majini yenu, sie kuchinja ni kukata shingo la mnyama au ndege ili dmu iliyokatazwa kuliwa imwagik. full stop. halafu kama hatuchinji si mtuuache?

Huku una mtukana mnyama !
 
Haaa haa haaaaah,Kwa akili zako Nabii Issa ( Yesu ) alikuwa Mkristo ? Umesoma Injili ya Barnaba. Endelea kutoka povu tu......Soma vitabu weweee, Achana na avatar kwani avatar ni nini ? Ina faida gani kwako ?


Yaani Watu Imani Inawapanda Vichwani? Matokeo Yake ndo Hayo. Hivi Huyu Mohamedi si alikuwa msanii tu alifanya biashara na bi adija na kuukuta ukristo maeneo yale ya mashariki ya kati, then kijamii alokuwa anatokea uwepo wake ulikuwa ni wakutisha ndo akaja na usanii wa kumeditate na kuanza kunukuu vitabu vya Musa in the context of Quran na kuongeza maneno yake ya kizushi. Nothing is new in the quran, ni usanii mtupu.

Ni Dini ya Mungu gani inayoshawisi watu kuuana? Ni shetani pekee ndo mwenye dini ya namna hii
Ni Dini ya Mungu gani inayoendekeza chuki kwa wasio wa imani hiyo badala ya upendo? Ni shetani pekee ndo mwenye dini hiyo.
Ni Dini ya Mungu gani ati Inayompigania Mungu (Mwenge mwenye uweza aloumba mbingu na nchi tena kwa kunena) Ni mashetani pekee ndo wanaofanya hivy.

Sisi Wapagani Hatuwaelewi nyie.
 
Ameagiza pia kuundwa kamati maalumu itakayohusisha pande zote mbili za Waislamu na Wakiristo, ambayo itashughulikia mgogoro huo, na kamati hiyo iundwe na kufanyakazi zake na kukamilisha haraka sana!.
sasa jaman waziri amekoroga nini hapo? Mimi ni mkristo na katika hili ningewaomba wenzangu kuwa na hofu ya mungu maana kwetu kuchinja hakuna maana yeyote mpaka kupigana uvumulivu uko wapi? Kama tukiachana na huu mtindo wa jino kwa jino naamin tukirudi ktk vitabu vyetu vinavyotutaka kutoa na shavu langine baada ya kupigwa kofi lilotangulia![/QUOTE]

Tumeonywa kwa ajili ya chakula tusijiingize katika ibada za miungu!! Na waislamu tayari wamesema wao wanapochinja wanakuwa wakimfanyia ibada muungu wao. Kama ni mkristo basi unaijua amri ya kwanza.
 
Kumbe na wewe ni mpagani !!! Unataka kubusu sanamu??? Hata usipobusu bado tunasema kama waislamu wanakataa kula nyama iliyochinjwa na Mkristo kwa masuala ya imani kwa nini Mkristo asilimishwe??? Tunataka hoja??? Hapa hakuna Jihadi ??

Kwani mmeyatundika ya nini pale mjini kati ? Kama mle ndani ya Kibanda kuna mwanamke ana hijabu ndo mnadai kamzaa mungu !?
 
Mkuu Pokofame,
Nakushauri na nnakushauri tena ukiitafuta INJILI na kuisoma yoote kama vile una mtihani kwa mwezi mzima ukipata mahala hata pa sentesi 1 tu palipoandikwa kuwa YESU NI MKRISTO mimi ntakwenda kulibusu Sanamu la YESU pale kanisani kwenu mitaa ya Posta.

Ntaanza kuyaabudu masanamu kuanzia siku hiyo utakayo nipa ushahidi huo

Sasa ni kwenye Injili gani pameandikwa Yesu Ni muislam? Acha Ujuwa wewe. Dini ni Imani tu. Its like mtu akakwambia yeye Mungu wake ni Mungu then ukaanza kubisha. Amini Unachoamini and don't criticize others.
 
sasa jaman waziri amekoroga nini hapo? Mimi ni mkristo na katika hili ningewaomba wenzangu kuwa na hofu ya mungu maana kwetu kuchinja hakuna maana yeyote mpaka kupigana uvumulivu uko wapi? Kama tukiachana na huu mtindo wa jino kwa jino naamin tukirudi ktk vitabu vyetu vinavyotutaka kutoa na shavu langine baada ya kupigwa kofi lilotangulia!

Tumeonywa kwa ajili ya chakula tusijiingize katika ibada za miungu!! Na waislamu tayari wamesema wao wanapochinja wanakuwa wakimfanyia ibada muungu wao. Kama ni mkristo basi unaijua amri ya kwanza.[/QUOTE]

Na Paulo alipowaambia mle msiulize ulize umekuwaje !?
 
''kimsingi kuchinja ni kmuua mnyama''hivyo ndivyo nielewavyo mimi sasa swali la msingi kwa yeyote yule,mnyama akichinjwa na mkristo au muislam kuna radha yeyote inabadilika?kwa wale wanaokula nyama za kopo wamewahi kujiuliza nani anchinja??inakoelekea watu wataanza kuuliza mnyama huyu alifugwa na mkristo au muislam???tunaelekea wapi watanzania wakati hizi dini zote tumeletewa na watu wa nje ya tanzania????tunaacha kufanya kazi za kimaendeleo au kujadili maendeleo leo tunaanza kuhoji nani achinje mnyama!!!!!!!!!kwangu mimi sioni haja ya kupoteza mda mrefu kujadili nani achinje mnyama tunawapatia matatizo viongozi wa serikali kuyajadili mambo ambayo tunayapatia uzito sisi wenyewe...........................tuache kubaguana wabongo hakuna mtz ambaye hana jamaa mkristo au muislam sasa kuna haja gani ya kupigana mapanga kisa kuchinja???tusicompliketishe imani kiac hiki ni mtazamo wangu tu.

Unahoja nzuri sana ila ni kukumbushe jambo moja kunatofauti kati ya kutenda dhambi na kufanya makosa.
Ila dhambi ni makosa lakini makosa si lazima yawe dhambi. Kwa upande wa serikali huwa tunafanya makosa na kushitakiwa.
Mfano mzuri ni suala la wizi wa EPA . Watu wameiba na hivyo kufanya dhambi na makosa kwa serikali lakini Kikwete anafumbia macho wakati Mungu anawaweka hao katika jehanamu ya moto.
Wakati wa Uchaguzi Mwigulu alizini na mke wa mtu na serikali haikuona haja ya kushughulikia lakini Mungu amehesabu !!!
Kumbe ni bora tukawa na hofu na Mungu na si Serikali kwani viongozi wengi wa serikali wana abudi miungu kwa ushahidi wa Kikombe cha Babu. Hao akina Wasira ndio walikuwa mashuhuri kunywa Kikombe kwa kuwa hawana Mungu wa Kweli wala hawana hofu!!!
Kinacho Wakataza Waislamu kula nyama iliyochinjwa na Wakristo ni mizimu yao iliyowapa miiko hiyo!!! Imewapa Mashart magumu kwa miaka 50 sasa Wakristo wanavumilia.
Sasa leo hii wewe unaonekana mubaguzi ni kwa nini usihoji sababu za Waislamu kukataa nyama iliyochinjwa na Wakristo???
Kama serikali itasimama na mungu wa Waislam subili moto wa Elia najua upo kule ndani !!!!
 
[h=5]1 Wakorintho 10:27-29; Na mtu aisiyeamini (katika Kristo) akiwaalika, nanyi mnataka kwenda, kuleni kila kitu kiwekwacho mbele yenu bila kuulizauliza, kwa ajili ya dhamiri.

28 Lakini mtu akiwaambia, "Kitu hiki kimetolewa kiwe sadaka", msile kwa ajili yake yeye aliyeonyesha na kwa ajili ya dhamiri.

29 Nasema dhamiri, lakini si yako, bali ya yule mwingine. Maana kwa nini uhuru wangu uhukumiwe na dhamiri ya mtu mwingine?[/h]
 
Sasa ni kwenye Injili gani pameandikwa Yesu Ni muislam? Acha Ujuwa wewe. Dini ni Imani tu. Its like mtu akakwambia yeye Mungu wake ni Mungu then ukaanza kubisha. Amini Unachoamini and don't criticize others.

Yesu hakuwahi kuwa Mkristo wala hakuwa kusulubiwa !
Hata kama roho itakuuma !
 
Wakuu Nyenyere na Tiba,
Sisi kwa imani yetu haturuhusiwi kuwatukana Manabii wa MUNGU.
Kumuita Allah ni pepo na matusi mengine haitasaidia loloote katika mjadala huu na wala mimi kwa imani yangu siwezi kuvitusi vitabu vya MUNGU kwa kuita kwamba ni aya za shetani kwetu sisi ni DHAMBI kubwa sanaaa

Mjadala ni mkubwa sana juu ya MTUME MUHAMMAD kutajwa kwenye INJILI laiti kama ninyi mngejua kwa undani juu ya nini kimeandikwa kwenye INJILI hasa AGANO LA KALE .

Nawashauri someni sanaaa INJILI YA BARNABA kama mtaipata maana imefichwa sanaaa na Wahuni ili kuoopotosha Ulimwengu ama walau hata AGANO LA KALE tu lakini mimi pia siwezi kumtukana YEHOVA kwani najua kwa wengine wana maana gani kwao !

Tumefundishwa kuwaheshimu MANABII woote wa MUNGU

Watu wanafikiria namna gani watarusha rockets to the outer space nyie mnabishana nani achinje? Kweli ukitaka kuiua jamii ya wendawazimu hakikisha unawafanya kuwa wajinga na masikini wa kutupwa. Kwisha Kazi Yao.
 
Muislaam akila anamtaja Mungu, akishtuka anamtaja Mungu, akishangaa ana mtaja Mungu, akishukuru ana mtaja Mungu, akiistajabia uzuri ana mtaja Mungu (angalia Karikoo Magorofa ya Waislaam yanayojengwa yameandikwa 'Masha'Allah')
Kila kitu cha muumin ni ibada !
Hata akizini bado anamtaja Allaha. Akioa mke wa pili na wa tatu bado anamtaja Allah. Akiua mchungaji bado anamtaja allah
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

Chinjeni bhana, I can imagine idadi ya watu ambao wangekuwa thrown out of employment may the relations be reversed
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
Kweli nimeamini hapa duniani kuna watu na viatu!
 
una bonge la avatar, laiti kama ungekuwa na busara ungeheshimika. lakini nachelea kukwambia unakaribia kuwa tahira, na nakushaur ubadilishe avatar uweke inayoendana na jina lako, FIXER from the word fix.

maandiko uyatakayo haya hapa

Matendo 10:12 Ndani yake walikuwepo aina zote za wanyama wenye miguu minne, nao watambaao na ndege wa angani. 13 Ndipo sauti ikamwambia “Petro, ondoka, uchinje na ule.” 14 Petro akajibu, “La Bwana! Sijakula kamwe kitu cho chote kilicho najisi.”15 ile sauti ikasema naye tena mara ya pili, “Usikiite najisi kitu cho chote alichokitakasa Bwana.”

tena

Mwanzo 9:3 Kila kitu chenye uhai kiendacho kitakuwa chakula chenu. Kama vile nilivyowapa mimea mbalimbali, sasa nawapa kila kitu. 4“Lakini kamwe msile nyama ambayo bado ina damu ya uhai wake, kwa maana damu ni uhai.

haya unataka nini sasa hapo? umesema biblia haijasema kuchinja, nimekupa vifungu.

Eeenh ! Unasemaje wakati wa kuchinja kibiblia ? Au kimya kimya ?
 
Back
Top Bottom