Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
Wewe fixter unaonekana hujui hata maana ya neno dini ndio maana mnakaa na kuuliza maswali ya kijinga.Kasome kwenye kamusi ni maana ya dini ndio uje uulize hapa.Muache kukariri maandishi ya kiarabu,ndio maaana mnakuwa vihiyo.
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

Picha ya Mandela inadhalilishwa
 
tatizo waislamu mnamuabudu binadamu aliyeumbwa na MUNGU kama mimi tu ambaye mnamuita Mtume mohamed nadhani, lakini Wakristo tunaabudu MUngu aliyehai..........na mtoto wa nje wa Baba Ibrahim aliyezaa na kijakazi wake ambaye baadae alifukuzwa ndio nyie mnamuabudu, lakini kumbuka huyo mtoto (ismail) ndio haswa chimbuko la waislamu
 
Wakuu Nyenyere na Tiba,
Sisi kwa imani yetu haturuhusiwi kuwatukana Manabii wa MUNGU.
Kumuita Allah ni pepo na matusi mengine haitasaidia loloote katika mjadala huu na wala mimi kwa imani yangu siwezi kuvitusi vitabu vya MUNGU kwa kuita kwamba ni aya za shetani kwetu sisi ni DHAMBI kubwa sanaaa

Mjadala ni mkubwa sana juu ya MTUME MUHAMMAD kutajwa kwenye INJILI laiti kama ninyi mngejua kwa undani juu ya nini kimeandikwa kwenye INJILI hasa AGANO LA KALE .

Nawashauri someni sanaaa INJILI YA BARNABA kama mtaipata maana imefichwa sanaaa na Wahuni ili kuoopotosha Ulimwengu ama walau hata AGANO LA KALE tu lakini mimi pia siwezi kumtukana YEHOVA kwani najua kwa wengine wana maana gani kwao !

Tumefundishwa kuwaheshimu MANABII woote wa MUNGU
 
Si muda mrefu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemaliza kikao chake na Masheikh pamoja na Maaskofu hapa Mwanza katika ukumbi wa BoT kuhusu nani achinje kitowe.

Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari waliotaka kujua msimamo wa Serikali kuhusu nani hasa mwenye uhalali wa kuchinja wanyama kati ya Wakiristo na Waislam, Waziri Mkuu, Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale yanayowaruhusu Waislamu kuchinja yaendelee hadi hapo maamuzi mengine yatapofikiwa na Serikali.

Ameagiza pia kuundwa kamati maalumu itakayohusisha pande zote mbili za Waislamu na Wakiristo, ambayo itashughulikia mgogoro huo, na kamati hiyo iundwe na kufanyakazi zake na kukamilisha haraka sana!.

kama hicho ndiyo kilichompeleka mwanza si angeweza kuyasema atakiwa dodoma?mazoea yasifanywe sheria
 
Haaa haa haaaaah,Kwa akili zako Nabii Issa ( Yesu ) alikuwa Mkristo ? Umesoma Injili ya Barnaba. Endelea kutoka povu tu......Soma vitabu weweee, Achana na avatar kwani avatar ni nini ? Ina faida gani kwako ?

eti Yesu KRISTO alikuwa muislamu, wewe wanakugeuza waarabu? Mbona una akili za kunguni hvyo?

hz thread za udini mods muwe mnazitoa, otherwise msitupige BAN tunapopatwa na hasira kwa upuuzi wa wachache
 
Wewe unaota? Dini ya kiislamu imekuwepo baada ya Yesu kristo. Ina maana kabla ya dini ya kiislamu kuwepo ilikuwa hakuna uchinjaji? Acha kuiiaibisha hiyo avatar yako!!!

Tiba

Mkuu ni mjinga tu atakaetamka maneno kama hayo na unaonyesha ni jinsi gani usivyopenda kujifunza!!
 

Kwani wee mkuu !
Kwa imani yako Mzee Ibrahim alikuwa mkristo ? Kuanzia Nabii Adamu mpaka kwa Mtume Muhammad . Manabii woote walikuwa ni Waislamu, Rejea Injili ya Barnaba na Injili yenyewe kwani kwenye vitabu vya MUNGU hakuna kitabu kinachoitwa BIBLIA (Biblia) ni mkusanyiko wa mkusanyiko wa maandiko ya Injili nzima na ambayo kwa 99% yamechakachuliwa ili kukidhi mahitaji yao hao wahuni. Kumbuka vitabu vya MUNGU ni TORATI, ZABURI,INJILI na QURAN[/QUOTE]
Kama wewe kama ni mwenye koran baada ya kifo cha Muhamad wote waliokua wanaamini na kuijua hio koran waliuawa je waliobaki je ni akina nani. Na koran haukushushwa ni simulizi tu kutoka kwa wale waliokua karibu na Mohamad. Kama korani ingeshushwa basi wanaotumia au kugusa kitabu hicho wangeondokewa na matatizo yao au kwa ubaya wao wangelikufa. Neno Takatifu sio kitu cha mzaha. SOMA kitabu chako kielewe na kisha usome na vingine ili kumjua Mungu na sio utafute vijineno kutoka kwa kitabu cha wengine ili kuwakashifu, hiyo ni mbinu ya mwovu na watumishi wake., je utakubali ya kuwa imani unayoisimamia haijui? Tafuteni kweli kisha hiyo kweli itawaweka huru
 
Mkristu hafungwi kwa habari ya vyakula-mambo ya kimwili. Hata akichinja asiyeamini mkristu atakula tena kwa moyo wa shukurani. KATAZO PEKEE kwa habari ya vyakula ni kama vimetolewa kwa MAPEPO. Mkristu haruhusiwi kula chakula kilichotolewa kwa ibada za sanamu. Katika ukristu Allah ni pepo, huo ndio ukweli. Kwa hiyo nyama yoyote iliyochinjwa kwa jina na Allah - mambo ya rohoni - ni chukizo mbele za Yehova.

Natafuta kitufe cha LIKE
 
eti Yesu KRISTO alikuwa muislamu, wewe wanakugeuza waarabu? Mbona una akili za kunguni hvyo?

hz thread za udini mods muwe mnazitoa, otherwise msitupige BAN tunapopatwa na hasira kwa upuuzi wa wachache

Kwa mtu mstaarabu angeomba uthibitisho wa hiyo hoja ya Yesu kuwa muislamu matusi inaonyesha ni jinsi gani ulivyo.
 
Heri tusio na dini, tunakula bila kuuliza; nani kachinja?

Dini inageuka kuwa hatari kiasi cha kuua watu! Ni upuuzi ambao mwenye dini hasitahili kujiita ni wa Mungu.

Heri kipi, kuua au kula kama alavyo asiye na dini?

Ukijiita ni wa Mungu ktk dini fulani, tekeleza yanayofanana na ya Mungu. Vinginevyo, hooooooooovyo!

Yaani hawa waumini wa mungu au sijui dini...ni wapumbavu sana.

Ni wapumbavu kwa sababu wanatoana roho kisa imani za dini ambazo wameletewa na wageni.

Sasa kama huo siyo upumbavu ni nini sasa?

Wengine hatujali kabisa nyama kachinja nani. Eti nianze kujali hii kuku choma au hii mishikaki nani alichinja...halafu nichukue panga niende nikamkate kate aliyechinja kisa yeye kwa mujibu wa dini yangu hastahili kuchinja?

Ukisikia uduni, ujinga, ujuha, upumbavu, na kila neno la dhihaka linalomaanisha ukosefu wa akili, ndiyo huo sasa.

Haya acha na waendelee kuuana. Si wameamua wenyewe kuwa wajinga bana. Na wauane wamalizani kabisa.
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

Uislam ni nin? Kabla kuja uislam nan alikuwa anachinja? Siwez kuchinjiwa na mwislam il nitimize ibada yake ambayo mimi siitambui. Ni uroho tu unawasumbua maana mshazoe mkichinja mnapewa hela na nyama.
 
Wassira ni Waziri Mbumbumbu zaidi kuwahi kutokea ktk Historia ya Tanzania..!.
 
Wewe unaota? Dini ya kiislamu imekuwepo baada ya Yesu kristo. Ina maana kabla ya dini ya kiislamu kuwepo ilikuwa hakuna uchinjaji? Acha kuiiaibisha hiyo avatar yako!!!

Tiba

sio kosa lake, amesoma ilm ya madrasa history hajui msamehe bure
 
tatizo waislamu mnamuabudu binadamu aliyeumbwa na MUNGU kama mimi tu ambaye mnamuita Mtume mohamed nadhani, lakini Wakristo tunaabudu MUngu aliyehai..........na mtoto wa nje wa Baba Ibrahim aliyezaa na kijakazi wake ambaye baadae alifukuzwa ndio nyie mnamuabudu, lakini kumbuka huyo mtoto (ismail) ndio haswa chimbuko la waislamu

Soma Agano la kale vizuri, Soma tenaa. Isome Injili kwa makini sanaaa kama alikuwa mtoto wa nje maana ya haramu hilo jina lake alipewa na nani ?

Soma Injili muda woote uijue vizuri sio jumapili mpaka jumapili tena kwa kuambiwa fungua mahala flani

YESU hakubatizwaa, YESU hakutundikwa msalabani na wala YESU hakuingia kanisani ! Dunia imejaa upotoshwaji mkubwa sana hasa kutoka Israel ili kukidhi matakwa yao lakini mwenye akili hurudi kwenye Kitabu alichoelekezwa na kujifunza upya

Nawaagiza mkasome kwa makini tena kwa makini sana INJILI hasa AGANO LA KALE. Mkibahatika kuiona INJILI YA BARNABA mtafaidi sanaaa maana ile ni " the world untold stories "
 
Kwa mtu mstaarabu angeomba uthibitisho wa hiyo hoja ya Yesu kuwa muislamu matusi inaonyesha ni jinsi gani ulivyo.

unajua inakera sana, hawa wenzetu ukweli wanaujua ila wanaupindisha kwa makusudi, ndo maana unakuta watu matus yanawatoka. Sasa suala la kuchinja nyama, ndo mkamchinje na binadamu? Huu si upumbavu uliokithiri, mimi ndo maana huwa naishia kusema ...(BAN)... na msipoacha huu ujinga, waislam mtateketea kwa upumbavu wenu, hebu nendeni darasan mkatolewe tongotongo muuone na kuukubali ukweli,
 
Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!

Soma Agano la kale utapata majibu
Sio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !

wachinje vyote wakianzia na nguruwe..
 
Hivi nyie maotaka kuchinja mnajua maana ya kuchinja. nyie mnataka kukata sio kuchinja. Sababu Mkirsto Yeyote wajui kuchinja sasa nataka kila anae lalamika atuambie ana semaje katika kuchinja na akitokea mimi naingia katika ukrsto hata leo. nyie hamjui chochote .
 
Je uislamu kama ni dini una mgogoro gani na nguruwe!!

waislamu msigeuze kuchinja na kulipwa shs 500 na kipande cha nyama kuwa ajira; go to school mjipaitie ajira za maana, lau kama mnakomalia kuchinja mbona hamjawahi kuwa wafugaji wa kiwango?!

Kuwa mgonjwa sio lazima uwe umelazwa hospitali: yaani mazoea kama alivyosema Pinda sasa waislamu wamegeuza kuwa ni sheria. mnyama nifuge mimi uje uniambie eti kuchinja nimwite muslamu; bora mbaya iwe mbaya; ndio watagundua kuwa wakristu huwa ni wengi sana kuliko hawa wala kiti moto kwa kificho!! wagonjwa sana hawa!!

Waslamu waaagalie sana ustaarabu sio woga la hasha!!

Tuwapuuze tena kwa dharau ya hali ya juu sana kama wanavyostahili;

Mkuu! Kama ni kitoweo kinachokuhusu wewe na familia yako,huna haja ya kumuita muislamu akuchinjie. Ila kama una hafla nyumbani kwako na hafla ile una ndugu,jamaa au marafiki wa kiisilamu ni busara kama kutakuwa na kitoweo kuita muislamu akichinje ili kuleta fursa kwa watu wengine kujumuika pamoja nawe. Nadhani ni hivyo tu waislamu wanachohitaji na si vinginevyo kama nitakuwa sahihi.
 
Back
Top Bottom