Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Si muda mrefu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemaliza kikao chake na Masheikh pamoja na Maaskofu hapa Mwanza katika ukumbi wa BoT kuhusu nani achinje kitoweo.

Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari waliotaka kujua msimamo wa Serikali kuhusu nani hasa mwenye uhalali wa kuchinja wanyama kati ya Wakiristo na Waislam, Waziri Mkuu, Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale yanayowaruhusu Waislamu kuchinja yaendelee hadi hapo maamuzi mengine yatapofikiwa na Serikali.

Ameagiza pia kuundwa kamati maalumu itakayohusisha pande zote mbili za Waislamu na Wakiristo, ambayo itashughulikia mgogoro huo, na kamati hiyo iundwe na kufanyakazi zake na kukamilisha haraka sana!.

Zaidi soma -> Pinda ‘aelemewa’ mgogoro wa nani achinje nyama | Fikra Pevu
alichoongea Pinda Mwanza kwamba,waislam waendelee kuchinja Je? Kikwete nae ataongea kama Pinda?au atakuja na gia nyingine
 
Hivi ndugu unatumia ubongo wako na kuufikirisha kweli au ni ulimbukeni wa kushabikia udini? Hivi siku zote hizi nakula nyama unafikiri nahitaji hiyo yenye udhu au ibada ya mtu mwingine? Kwa mimi binafsi hakuna wa kuniamulia kuwa nyumbani mwako ule nini lakini nilichozungumza au kujadili ni kuwa hoja ya nani achinje ni kuwa na mawazo mgando kwa kuwa hujaanza leo kula nyama, namna gani unakula na inatoka wapi ni juu yako. Hivi hujiulizi kuna waislamu wangapi wanaoita nyama zinazoliwa na wakristo haramu lakini na wao wanakula? ebu fanya utafiti kujua waislamu wangapi wanashiriki kula kiti moto ndio ulete hoja yako isiyo na mashiko. Hata hivyo hapa hatutafuti eti dini gani au dhehebu gani lipo juu kuliko jingine, nao huo ni ujinga lakini tunachojadili nini mustakabali wa Taifa letu katika kuondoa mbegu hii ya udini, siku zote wakristo ulishaowahi kuona wamekataa kula nyama iliyochinjwa na waislamu? Tatizo wenzetu waislamu wachache hawajifunzi kuwa na uvumilivu kwani masuala ya imani yanahitaji kuvumiliana, kupendana na kuheshimiana; hakuna mtu ambaye anaweza kusimama na kudai kuwa dini yangu imechaguliwa na mwenyezi Mungu na kujihesabia haki, huyo ameshapata thawabu yake lakini sisi sote tunaamini katika Mungu ila kama una wasiwasi na Mungu unayemwabudu hapo ndio utaanza kujipigania wewe na nafsi yako

Jadili hoja wewe...... Unaongea maneno meeeengi ili kuhalalisha kutulisha vibudu.... Hatukubali!!!!!
 
Ndo maana wanachinja watu kwa kuwa ni ibada mmh maamuzi ya Waziri mkubwa yanatia shaka
 
Nionavyo mimi issue si nani achinje bali nani ni nani Tanzania?kwakweli alieleta chokochoko hizi kwa sasa ipo siku tutamjua tu time will tell!nachowaomba tupunguze jazba mlango huu mnaolazimishwa kuufungua na mchochezi huyu wimbi lake ni baya hatutolieza sote tutaangamia hata hao wanyama tunogombania kuchinja hatutoweza kuwachinja.tuache mshauo jamani tumasikini mno tufanyeni kazi tunapoteza muda wakati wa masika!ni aibu kwa taifa!hivi tumerogwa?
 
Hao wanaokimbilia kuchinja mifugo ni wa roho wa vitoweo tu hawana maana yoyote kama wanaijua vizuri dini yao wakasome
suratul al meida 5:5 na ufafanuzi wake.
 
eti maandiko yetu yanachapishwa dodoma na ya kwenu yanachapishwa pemba eti ukristo sio dini pia uislam sio din heshim din za watu wewe kwetu hapahapa tz kuna mabucha ya kikristo na ya kiislam ni uamuzi wako ununue wap chezea dini za watu wewe
 
The minimum we may compromise is kuacha free palipo waislamu (unlegislated ili kuendeleza upendo au zawadi kwa waislamu) wachinje for commercial uses so long as mkristo yeyote kuchinja for other uses ni ruksa (god given) and if by muislamu shall be at no charges. Kwa kweli nia ya kuwaachia waislamu kuchinja hatuichukii (kama wao wakiona tunachinja) kwa sababu tuna marafiki na ndugu wanakuja nyumbani, tunapenda kuwakaribisha kushiriki nasi kitakachokuwa mezani kama desturi ya kiafrika. Tatizo wanapenda kukoroga mambo. Wakiendelea iwe huru kila mtu kuchinja apendavyo maana hata huyo atakayekuja nyumbani ni ndugu au rafiki, sitakuwa na faida yoyote kumficha.
 
majini na Mashetani chakula chao kikuu ni damu za wanyama ndy maana hawa jamaa wanang'ang'ania kuchinja, coz ni moja ya ibada zao . ukifanya utafiti wa kuifuatilia hii dini ya islam ina mambo mengi ya kuogofya sana. kikubwa ni kuombea amani inchi yetu haya yote kuna watu wanapandikiza chuki za kijinga kwenye vichwa wajinga wachache, ukikaa na wanao jua dini ya kiislam vzr huwezi kukuta wanasupport ujinga.

God bless Tanzania!!
 
Wewe ndio hujadili hoja, pia vibudu umeshakula sana pamoja na kuwa wanachinja waislamu. Labda ishauri serikali yako iweke mabucha ya kwenu msiopenda kula vibudu na wale wanaokula vibudu ili uone raha.
Jadili hoja wewe...... Unaongea maneno meeeengi ili kuhalalisha kutulisha vibudu.... Hatukubali!!!!!
 
Kazi kwelikweli ni lazma afanye ivo awezi pingana na bosi wake! Binafsi sina haja ya kushiriki ibada kwa kula nyama
 
siamini kama pinda ni mpuuzi hivi? yaani wakristu tuendelee kula nyama zilizochinjwa kwa ibada ya kishetani?? no way tusirudi nyuma wakristu tusimame kwenye imani yetu hata ijapobidi kufa tufe ndimi zetu zikimkiri Bwana na sio vinginevyo!
 
Pinda anajikomba kwa Waislamu. Hakuna haja ya kumlazimisha mkristo kununua nyama ilichinjwa na mwislamu kwa kuwa hakuna sheria yoyote inayohalalisha uchinjaji kwa waislamu pekee. Mazoea siyo sheria kwa hiyo tusilazimishane. Mimi ntakuwa nachinja mwenyewe kwa ibada yangu ya kikiristo
Wewe mleta mada ni mchochezi na una matatizo, alipoharibu Pinda ni wapi? Mwanzoni alilaumiwa Wassira kwa kuwa alisema kuchinja ni Ibada kwa waislam, hivyo sio rahisi kwa Wakristo kushiriki ibada isiyowahusu. Mizengo amesema ni mazoea na utaratibu uliopo hadi hapo Serikali itakapo badirisha, sasa alipoharibu ni wapi? Mbona nyie Wakristo hamueleweki mnataka nini
 
Nyie wakristo wenye msimamo mksli mmevurugwa, mlikua wapi mnakula nyama ZA kuchijwa na waislam, Leo hii ndio mnakurupuka oooh wao wanafanya ibada oooh hatuwezi Kula Mata oooh ajita ZA kuchinja wanapata waislam na sisi tunataka. Hoja ZA kuchinja hazina mantiki kwa mkristu wa kweli. Tatizo mnachanganya dini na siasa mpaka wengine wakafikia hatua YA kutishia kukiacha chama tawala huko mbea. Sasa hyo ni dini AU siasa? KWA KUWASAIDIA MAANA BIBLIA HAMZISOMI SKUIZI. NENDENI MKASOME WARUMI 14 YOOOTE KUANZIA MSTARI WA 1 HADI 38'
 
Nyie wakristo wenye msimamo mksli mmevurugwa, mlikua wapi mnakula nyama ZA kuchijwa na waislam, Leo hii ndio mnakurupuka oooh wao wanafanya ibada oooh hatuwezi Kula Mata oooh ajita ZA kuchinja wanapata waislam na sisi tunataka. Hoja ZA kuchinja hazina mantiki kwa mkristu wa kweli. Tatizo mnachanganya dini na siasa mpaka wengine wakafikia hatua YA kutishia kukiacha chama tawala huko mbea. Sasa hyo ni dini AU siasa? KWA KUWASAIDIA MAANA BIBLIA HAMZISOMI SKUIZI. NENDENI MKASOME WARUMI 14 YOOOTE KUANZIA MSTARI WA 1 HADI 38'

What business have you reading the bible? Hivi utaenda dunia ya kwanza, nchi kama marekani ukawaletea suala la kuchinja kibra? Inaelekea tunapoelekea ktk space exploration age waarabu wakienda mwezini watakua wanaelekeza kibra. kwanza tunapoenda tz suala la kuchinja litakua automated kwa machines mambo ya kuelekeza kibra yanatupotezea muda tu, ni ya nyakati za mtume. kuhusu bible na quran. quran imekua derived from the bible. Bible ni superset ya quran hata mtume analijua hilo ambalo alikua hajui ni hatima yake tu.
 
Dini hii inayoamini kuwa ni ibada kutoa uhai wa viumbe vingine ndio maana huko mashariki ya kati wanamalizana wao kwa wao. kutoa uhai kwao sio tatizo
 
TIBA wewe ndiye unayeota! nani kakudanganya kuwa dini ya kiislam imekuja baada ya kristo? dini ya uislam ilianza tangu kipindi cha nabii adam, nabii idrisa, nuh, hood, nabii swaleh, ukaendelea kwa nabii ibrahim, is-hak, yakubu, ukaendelea kwa nabii issah [jesus], mbaka kwa nabii muhammad [saw] ambapo yeye ni mtume wa ishirini na tano na ndiyo mtume wa mwisho, na nyakati zote waislam walikuwa na utaratibu wa kuchinja mbaka kufika leo hii. umeelewa sasa!
 
TIBA wewe ndiye unayeota! nani kakudanganya kuwa dini ya kiislam imekuja baada ya kristo? dini ya uislam ilianza tangu kipindi cha nabii adam, nabii idrisa, nuh, hood, nabii swaleh, ukaendelea kwa nabii ibrahim, is-hak, yakubu, ukaendelea kwa nabii issah [jesus], mbaka kwa nabii muhammad [saw] ambapo yeye ni mtume wa ishirini na tano na ndiyo mtume wa mwisho, na nyakati zote waislam walikuwa na utaratibu wa kuchinja mbaka kufika leo hii. umeelewa sasa!
 
Back
Top Bottom