Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

Mod please hamishia thread hii kenye forum ya dini, haifai kuwa ya kisiasa. Si unaona wameshafungua mihadhara humu ndani!!!
 
Uwe na uelewa mpana mkuu. Mbona wakristo huwa mnasema mmesoma sana lakini likija suala la uelewa mnakuwa nyuma sana? au mnafanya makusudi ili kuhalalisha ukandamizaji kwa waislamu? Tuje kwenye hoja yako.... Umesema kuwa wewe au mke wako huwa mnachinja nyumbani kwenu mnakula..... Hilo halina tatizo maana unakula wewe na familia yako. Lakini kitendo cha kuweka nyama kibudu iliyochinjwa na mtu asiye na udhu kisha ukaiweka buchani hilo ndo kosa maana uwezekano wa kuwalisha nyamafu watu wasiohusika ni mkubwa. Tatizo ndo liko hapo na si pengine. Mfano, unaweza kumlala mkeo nyumbani na lisitokee jambo baya maana ni mkeo.... Lakini ukimlala mkeo hadharani ni kosa!!!! Unaweza kukamatwa na ukafungwa jela. Umeelewa hapo au bado unajifanya huelewi ili uendelee kutukandamiza waislamu? Usiku mwema.

Inaelekea kisa kilichotokea Buseresere hujakijua vizuri. Wakristo walijitengea bucha lile kwa ajili ya kuuziana nyama iliyochinjwa kanisani kwenye harambee. Bucha la mkristo, wala si la serikali au waislamu. Na ilitangazwa wazi kuwa nyama imechinjwa kanisani ili asiyeitaka asinunue. Wislamu waliposikia hivyo, badala ya kuhimizana kuwa wasinunue nyama ile 'kibudu', wao wakahimizana kwenda kumchinja mchungaji. Wakaja na mapanga wakakuta wakristo wamepanga foleni ya kununua nyama. Waislamu wakavamia wakamwagia ile nyama kitu kinachodhaniwa kuwa ni sumu, na kuendelea kukata watu mapanga.
Baada ya taarifa hii niliyokuongezea, karibu kwa maoni.
 
Wewe mleta mada ni mchochezi na una matatizo, alipoharibu Pinda ni wapi? Mwanzoni alilaumiwa Wassira kwa kuwa alisema kuchinja ni Ibada kwa waislam, hivyo sio rahisi kwa Wakristo kushiriki ibada isiyowahusu. Mizengo amesema ni mazoea na utaratibu uliopo hadi hapo Serikali itakapo badirisha, sasa alipoharibu ni wapi? Mbona nyie Wakristo hamueleweki mnataka nini

Tunataka kuchinja wenyewe vitoweo vyetu.Kama nyie ndiyo wenye uhalali wa kuchinja mtuchinjie na kitimoto basi ebeoo
 
wacheni achinje yeyote yule. kwani kabla ya uislam na ukristo nani alikuwa anachinja? tatizo kuna watu wanaona watakosa kipato.
kila kitu lazima kiwe huru nchi hii ilimradi huvunji sheria na huingilii uhuru wa mwenzio. ikiwepo sheria ya kusema mtayarishaji wa chakula changu lazima awe mwislamu itakuwa maajabu ya mwaka.
 
Inaelekea kisa kilichotokea Buseresere hujakijua vizuri. Wakristo walijitengea bucha lile kwa ajili ya kuuziana nyama iliyochinjwa kanisani kwenye harambee. Bucha la mkristo, wala si la serikali au waislamu. Na ilitangazwa wazi kuwa nyama imechinjwa kanisani ili asiyeitaka asinunue. Wislamu waliposikia hivyo, badala ya kuhimizana kuwa wasinunue nyama ile 'kibudu', wao wakahimizana kwenda kumchinja mchungaji. Wakaja na mapanga wakakuta wakristo wamepanga foleni ya kununua nyama. Waislamu wakavamia wakamwagia ile nyama kitu kinachodhaniwa kuwa ni sumu, na kuendelea kukata watu mapanga.
Baada ya taarifa hii niliyokuongezea, karibu kwa maoni.

Hii ni taarifa..... wewe hukuwapo na mimi sikuwapo. Tusijadili la kuuwana si jambo jema, tujadili dhihaka ya uchinjaji. mabezo ya concept ya kuchinja ndo nayajadili hapa maana wengine wanadai hakuna maandiko kabisa ya elimu nzima ya uchinjaji...... Eti mnyama ukitaka kumla unamuua tu bila utaratibu wa Mungu... Hapo ndo napajadili mimi. Wanaodai hakuna maandiko ndo nawakandamiza na ma aya sasa ingawa hakuna aliyejitokeza kutoa aya hata moja inayohalalisha mnyama kuchinjwa bila utaratibu wa Mungu. Hata huko kanisani walikochinja nyama kama ningetaka kuwauliza yule aliyechinja alifanya hivyo kwa kulitaja jina la Mungu yupi? Na alipomchinja alikuwa na udhu? Ila kwa kuwa kumetokea mauaji sitaki kujadili maana nitaonekana nafurahia wakristo kuuawa.
 
Sasa nyie kama mnang'ang'ania kuchinja chinjeni mle nyie na wanaotaka kula watawafata ni sie acha tuchinje vyetu wanaotaka watakula yanini mtulazimishe kula nyama yenu ya mapepo?acha tujichinjie na tule vyetu na nyie mle vyenu mlivyochinja na sadaka zenu za mapepo.

hapo umemaliza..akiuliza ntakua na wasiwas na I.Q YAKE
 
Nani aliwadanganya kuwa Pinda ni kiongozi? huyu siyo kiongozi mwenye maamuzi bali ni spika ya JK, kile anachoamua rais ndicho pinda anachosema, hatufai tena ni mchonganishi mkubwa sana na anastahili kuchinjwa yeye na siyo wanyama.

wewe kweli ni ng'ombe
 
Watanzania mjilaumu wenyewe kwa matukio mabaya yanayoendelea nchini kwa sasa!! Serikali ya ccm haikuingia mstuni na kutwaa madaraka bali mliipa kura kwa ushabiki wenu wenyewe!!! Hiyo ndiyo kasi mpya... na ndiyo madhara ya kupiga kura kama vipofu!!

acha siasa kwenye critical matters
 
Hilo si kweli. Kijijini ninakotoka hakuna waislamu, na miaka yote hadi leo hii tunachinja wenyewe. Nyumbani kwangu kuku wangu nachinja mwenyewe na wakati mwingine mke wangu anachinja tunakula. Nikiwa na sherehe ndipo namkaribisha mwislamu achinje ili wageni wangu waislamu waweze kula. Na zile ninazonunua sokoni nadhani zinakuwa zimechinjwa na waislamu ili nao waweze kununua. Kwa hiyo sahihisha usemi wako. Waislamu katu hawawachinjii wakristo wanyama maana mkristo hahitaji huduma ya kuchinjiwa. Waislamu wanachinja kwa ajili yao wenyewe maana sharti la utaratibu wa kuchinja linawahusu wao.
Unauliza uvumilivu huu kwa nini umeisha? Mbona jibu unalijua? Hivi mchungaji akitaka kuchinja kwa ajili ya matumizi ya waumini wake anahitaji ruhusa ya waislamu kwa sababu gani? Uvumilivu tumevumilia lakini sasa naona wenzetu mnatutaka tufanye zaidi ya uvumilivu, na hapo ndipo kamba ilipokatikia.
Ya Zanzibar tumeyaona, na kama ndiyo unayosherehekea kwa kusema "Makafiri mambo haya yatawatokea puani", sawa, kama na wewe huna pua basi yatakutokea popote kwingine.

blind minded personnel...unasherekea mtu kuuwawa...kweli ukistaajabu ya musa hautayaona ya firauni.
 
Uwe na uelewa mpana mkuu. Mbona wakristo huwa mnasema mmesoma sana lakini likija suala la uelewa mnakuwa nyuma sana? au mnafanya makusudi ili kuhalalisha ukandamizaji kwa waislamu? Tuje kwenye hoja yako.... Umesema kuwa wewe au mke wako huwa mnachinja nyumbani kwenu mnakula..... Hilo halina tatizo maana unakula wewe na familia yako. Lakini kitendo cha kuweka nyama kibudu iliyochinjwa na mtu asiye na udhu kisha ukaiweka buchani hilo ndo kosa maana uwezekano wa kuwalisha nyamafu watu wasiohusika ni mkubwa. Tatizo ndo liko hapo na si pengine. Mfano, unaweza kumlala mkeo nyumbani na lisitokee jambo baya maana ni mkeo.... Lakini ukimlala mkeo hadharani ni kosa!!!! Unaweza kukamatwa na ukafungwa jela. Umeelewa hapo au bado unajifanya huelewi ili uendelee kutukandamiza waislamu? Usiku mwema.

ww ndo unaonekana hauna ata uelewa....sisi ni wakristo tunataka kula nyama zetu..even if ni nyamafu haziwahusu...kuleni nyama majini zenu...sisi tuache na nyamafu zetu
 
Hii ni taarifa..... wewe hukuwapo na mimi sikuwapo. Tusijadili la kuuwana si jambo jema, tujadili dhihaka ya uchinjaji. mabezo ya concept ya kuchinja ndo nayajadili hapa maana wengine wanadai hakuna maandiko kabisa ya elimu nzima ya uchinjaji...... Eti mnyama ukitaka kumla unamuua tu bila utaratibu wa Mungu... Hapo ndo napajadili mimi. Wanaodai hakuna maandiko ndo nawakandamiza na ma aya sasa ingawa hakuna aliyejitokeza kutoa aya hata moja inayohalalisha mnyama kuchinjwa bila utaratibu wa Mungu. Hata huko kanisani walikochinja nyama kama ningetaka kuwauliza yule aliyechinja alifanya hivyo kwa kulitaja jina la Mungu yupi? Na alipomchinja alikuwa na udhu? Ila kwa kuwa kumetokea mauaji sitaki kujadili maana nitaonekana nafurahia wakristo kuuawa.

Hivi ninyi kama mnajifanya mnamwogopa sana Mwenyezi Mungu na kufuata taratibu zote, kwa nini mnakuwa wepesi wa fujo na kuuwa?

Kama kweli wakristo wao hawafuati taratibu za kuchinja na kwako kinakuwa haramu kwa nini msihimizane msile kilichochinjwa na Mkristo badala ya kuhimizana kufanya fujo na mauaji. Hakuna sehemu inayomlazimisha Mkristo kula kilichochinjwa na Mwislamu bali busara tu inayotumika. Sasa hawa waislamu wasitumie mabavu.
 
Nadhani iko haja ya kuangalia chimbuko la tatizo maana tukigeneralise kwa kutumia maandiko tutaingilia ibada za watu na baadae watu watachelea kula kwenye dhifa za kitaifa,misiba na shughuli mbalimbali hata kujumuika majumbani mwa watu kwani hakuna uhakika nani amechinja...tusifike huko na tusipuuzie hizi cheche ndogo za udini tayari maisha yamepotea....unanikumbusha wimbo flani 'wauguuuzi, daktari na manesi wauguzi....taratibu jamani haya! Tutaonana wabaya haya !'
Dada nimependa comment zako. Ningekupa uwaziri wa kinamama ila sina uwezo!!!
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

Uelewa wako mdogo sana na inawezekana una ubongo wa mende!
 
agano la kale ni kubwa haya tupe ni kitabu gani na mstari ulotamka hayo, halafu hayo maandiko yanayoandikwa dodoma ni yapi hayo, na je hakuna agano la kale humo?
Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!Soma Agano la kale utapata majibuSio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !
 
Hivi ninyi kama mnajifanya mnamwogopa sana Mwenyezi Mungu na kufuata taratibu zote, kwa nini mnakuwa wepesi wa fujo na kuuwa?

Kama kweli wakristo wao hawafuati taratibu za kuchinja na kwako kinakuwa haramu kwa nini msihimizane msile kilichochinjwa na Mkristo badala ya kuhimizana kufanya fujo na mauaji. Hakuna sehemu inayomlazimisha Mkristo kula kilichochinjwa na Mwislamu bali busara tu inayotumika. Sasa hawa waislamu wasitumie mabavu.

Mimi ni Mkristo na hiyo hoja yao ya kulilia kuchinja ntakubaliana nayo tu pale watakapokuwa tayari kuchinja mnyama yeyote INCLUDING NGURUWE (KITIMOTO)!! Kama hawawezi basi watuache tuchinje wenyewe bhana kwani kuna tatzo gani? Tumechoka kula nyama zilizofanyiwa ibada tusizozifahamu bwana!
 
Inaelekea kisa kilichotokea Buseresere hujakijua vizuri. Wakristo walijitengea bucha lile kwa ajili ya kuuziana nyama iliyochinjwa kanisani kwenye harambee. Bucha la mkristo, wala si la serikali au waislamu. Na ilitangazwa wazi kuwa nyama imechinjwa kanisani ili asiyeitaka asinunue. Wislamu waliposikia hivyo, badala ya kuhimizana kuwa wasinunue nyama ile 'kibudu', wao wakahimizana kwenda kumchinja mchungaji. Wakaja na mapanga wakakuta wakristo wamepanga foleni ya kununua nyama. Waislamu wakavamia wakamwagia ile nyama kitu kinachodhaniwa kuwa ni sumu, na kuendelea kukata watu mapanga.
Baada ya taarifa hii niliyokuongezea, karibu kwa maoni.
Sasa ndugu yangu hao wakristo hawana ndugu, jamaa na marafiki wa dini ya kiislam ambao wanaweza kukaribishwa chakula majumbani?? au hakuna mmoja kati ya wakristo wasio waaminifu kupeleka nyama hiyo kwenye mahoteli??.......
 
Back
Top Bottom