Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Si muda mrefu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemaliza kikao chake na Masheikh pamoja na Maaskofu hapa Mwanza katika ukumbi wa BoT kuhusu nani achinje kitoweo.

Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari waliotaka kujua msimamo wa Serikali kuhusu nani hasa mwenye uhalali wa kuchinja wanyama kati ya Wakiristo na Waislam, Waziri Mkuu, Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale yanayowaruhusu Waislamu kuchinja yaendelee hadi hapo maamuzi mengine yatapofikiwa na Serikali.

Ameagiza pia kuundwa kamati maalumu itakayohusisha pande zote mbili za Waislamu na Wakiristo, ambayo itashughulikia mgogoro huo, na kamati hiyo iundwe na kufanyakazi zake na kukamilisha haraka sana!.

Zaidi soma -> Pinda ‘aelemewa’ mgogoro wa nani achinje nyama | Fikra Pevu
alichoonge Pinda kuhusu nani achinje ndicho kinachotakiwa kusemwa kutoka serikalini, alichokusea ni kuunda tume yakuangalia muafaka zaidi.kinachotakiwa kama serikali itoe msimamo wake isitegemee tume inapoleta hadithi ya tume bado inaonekana kwamba haina maamuzi
 
Ni kweli hata kitimoto mmeagizwa kuchinja.Unaishi wapi nikutafute uje nichinjia nguruwe wangu?hayo uliyoandika ni upuzi wa hali ya juu.Tunatakiwa kutafuta solution ya matatizo na sio ujinga uliouandika.Pinda yupo right mi ni mkristu na tulishazoea hivyo na kuvumiliana inatupasa tuendelee kuvumiliana.

Umbumbumbu wa wakristo ndo upo hapo..... Kwani Mungu wetu aliposema tuchinje sisi waislamu alisema ni kwa wanyama wote au alisema na kwa wanyama tuliohalalishiwa tu? mijitu mingine huwa inakurupuka hata bila kufanya utafiti. Uhovyohovyo huo ndo maana waislamu tunalalamika hatutendewi haki. Maana kama mtu anadhihaki kuchinja wakati neno kuchinja lina maana pevu kushinda uelewa wake ni yumkini kwamba akipewa kazi ya kutoa maamuzi hataweza kutenda haki. Watu wanasema Ibrahim alichinja katika biblia bila kujua kuwa alichinja kiislamu!!!! Na alikuwa muislamu!!!! Toa andiko kipindi cha agano jipya nani alichinja na kwa kutaja jina la mungu gani ili uhalalishe kutulisha mizoga!!!! Maana mkristo akichinja na nyama yake yote huwa ni nyamafu (Mzoga, kibudu sawa nba kinyesi tu).
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
Kwani wapi ambapo pameandikwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya dini hadi wakristo waambiwe waislamu wachinje,angalia pinda amesema kwa MAZOEA na si sheria ,unajua kufanya kitu kwa mazoea na kufanya kiatu kwa kufuata sheria ni tofauti,hakuna mahala popote kuhusu sheria za kuchinja wanyama hapa Tanzania pameandikwa waislamu peke yao ndio wanaruhusiwa kuchinja wanyama,na je ndugu kwenye biblia pale walipoandika wakristo walichinja wanyama ikiwa ni moja ywapo ya maangano na mungu je walichinjiwa na waislamu,acheni ushabiki,Tanzania si nchi ya kidini,hayo ya akina Pinda ni mambo ya kisiasa na si kisheria
 
Kuna haja ya serikali kujenga uwezo wa watu wa kuweza kutatua migogoro ya ndani kwa maono zaidi kuliko kuendelea na hii hali ya kutoa maelekezo bila kuangalia undani wa tatizo ili kuweza kutoa suluhisho la kudumu. Wahusika wote katika sakata hilo wanaelewa fika kuwa waislam wamekuwa wakichinja nyama tangu zamani lakini pia wasiowaumini na waumini wa madhehebu mengine wamekuwa wakichinja katika maeneo yao na hapakuwa na migogoro hii. Hapa kunakilichojificha zaidi ya kuchinja na ndicho kiliochotakiwa kutafutiwa ufumbuzi. Kwenda na kuelezea historia ya nani anaruhusiwa kuchinja ni kutuliza tu tatizo kwa muda. Upo uwezekano mkubwa pande zote mbili zikaridhika kwa sasa kwa kuwa tu kikao kimeendeshwa na waziri mkuu, lakini mtaani kukaendelea na chuki. Je wali ambao wamepoteza ndugu, na wengine kuachwa na majeraha wameridhika na maamuzi hayo?

Ndiyo maana nasema unaweza kuwa raisi au waziri mkuu na ukawa na mamlaka ya kuamuru lakini hauna uwezo wa kumalizi mgogoro cha njia ambayo itatoa ufumbuzi wa kudumu. Kama ilivyo kwa vitengo kama vya maafa kuwepo na kitengo cha utatuzi wa migogoro wa ndani ambacho kitakuwa na watu wenye weledi wa masuala ya migogoro na uwezo wa kusoma mazingira ili kutoa majibu na suluhu za kudumu kuliko kuendelea kutuliza tu.Tumetuliza Mtwara, sasa huko usukumani, hali hii ikiendelea upo uwezekano wa kulipuka kwa wakati mmoja sehemu zote zilizotulizwa na madhara yatakuwa makubwa.
 
Lete fungu hata moja la agano la kale inayotaja uislamu achilia mbali mwislamu kuchinja.
Hapo kale wakristu wenyewe walikuwa wanachinja wanyama kama agano na Mungu na usilamu umekuja nyuma ya Ukristu
 
Maagizo kwamba waislam ndio wachinje na kwamba waislam wamefundishwa yako kiatbu gani kama sio Quran ambayo mimi siamini kwayo????? Mbona hata Biblia inasema msile nyama iliyochinjwa/ iliyosogolewa damu kwa imani zingine. Mimi iweje nile iliyochinjwa na muislam. hapa ulikuwa ustaarabu wa kikristo tu na mazoea kama alivyosema pinda.

Imani iliyotajwa hapo ni ile unachinja kwa ajili ya kutolea sadaka ya mizimu ama uganga acha umbumbumbu wewe!!! Tofautisha imani na dini ni vitu viwili tofauti!!!!! Hivi ninyi wakristo kwa nini Mungu aliwanyima uwezo wa kuyaelewa maandiko matakatifu?
 
Kuna haja ya serikali kujenga uwezo wa watu wa kuweza kutatua migogoro ya ndani kwa maono zaidi kuliko kuendelea na hii hali ya kutoa maelekezo bila kuangalia undani wa tatizo ili kuweza kutoa suluhisho la kudumu. Wahusika wote katika sakata hilo wanaelewa fika kuwa waislam wamekuwa wakichinja nyama tangu zamani lakini pia wasiowaumini na waumini wa madhehebu mengine wamekuwa wakichinja katika maeneo yao na hapakuwa na migogoro hii. Hapa kunakilichojificha zaidi ya kuchinja na ndicho kiliochotakiwa kutafutiwa ufumbuzi. Kwenda na kuelezea historia ya nani anaruhusiwa kuchinja ni kutuliza tu tatizo kwa muda. Upo uwezekano mkubwa pande zote mbili zikaridhika kwa sasa kwa kuwa tu kikao kimeendeshwa na waziri mkuu, lakini mtaani kukaendelea na chuki. Je wali ambao wamepoteza ndugu, na wengine kuachwa na majeraha wameridhika na maamuzi hayo?

Ndiyo maana nasema unaweza kuwa raisi au waziri mkuu na ukawa na mamlaka ya kuamuru lakini hauna uwezo wa kumalizi mgogoro cha njia ambayo itatoa ufumbuzi wa kudumu. Kama ilivyo kwa vitengo kama vya maafa kuwepo na kitengo cha utatuzi wa migogoro wa ndani ambacho kitakuwa na watu wenye weledi wa masuala ya migogoro na uwezo wa kusoma mazingira ili kutoa majibu na suluhu za kudumu kuliko kuendelea kutuliza tu.Tumetuliza Mtwara, sasa huko usukumani, hali hii ikiendelea upo uwezekano wa kulipuka kwa wakati mmoja sehemu zote zilizotulizwa na madhara yatakuwa makubwa.

Msijaribu kuhalalisha kutulisha mizoga ee ninyi wakristo. Maneno yote uliyoyaandika na mbinu ya kuhalalisha waislamu tukubali kula mizoga (nyama iliyochinjwa kikristo bila kufuata utaratibu wa mungu). Hatuli ng'o na waislamu ndo watakaokuwa wanachinja na si vinginevyo. Maana nyama ikichinjwa na mkristo italiwa na wakristo lakini nyama ikichinjwa na waislamu dunia nzima watakula!!!!! Kwa hiyo mnachukia kuona waislamu wanakuwa dominant of the world?
 
Hapo kale wakristu wenyewe walikuwa wanachinja wanyama kama agano na Mungu na usilamu umekuja nyuma ya Ukristu

Mbona maandiko ni mengi tu yanayoonesha Uislamu ni dini iliyoletwa na Yesu?
 
Serikali ilitakiwa kutekeleza kile inachokiamini kwa vitendo...kwamba Serikali haina dini. Kitendo cha serikali kuamua ni nani achinje ni kupingana na kile inachokiamini na hili ni jambo la hatari.

Serikali ilitakiwa kujenga mazingira ya wahusika (wakristo na Waislamu) kukutana kulizungumzia suala hili na wao wenyewe waamue kulimaliza kwa sharti la kuhakikisha kuwa maamuzi yote yatakayofikiwa yazingatie mshikamano wa watanzania wote.

Rais Dr. J. M. Kikwete bado anayo nafasi ya kulitatua hili kwa kulihutubia taifa na kuwaeleza watanzania kuwa matamko yote yaliyotolewa na viongozi wa serikali (Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Wassira, na sasa Pinda) ni batili. Hivyo serikali sasa itawakutanisha watanzania hawa wanaopingana juu ya kuchinja na mambo mengine yanayowahusu wayazungumze na kuyapatia muafaka kwa sharti la kuimarisha amani, umoja na maendeleo ya watanzania wote bila kujali tofauti zao. Akiweza kutekeleza hili nina imani kuwa watanzania hawa watajiona wote wako sawa mbele ya serikali na maamuzi watakayoyatoa kweli yatajenga umoja wa kitaifa kuliko hali ilivyo sasa ambapo kundi moja la watanzania kujiona lina nyimwa fursa na serikali.

--MpigaKelele
 
You got me wrong. Nilichosema ni kuwa ni vyema kuangalia undani wa tatizo kama siku zote waislam wamekuwa wakichinja kwa nini leo imekuwa hivyo? bila kuliangalia hilo ni vigumu kupata suluhu tutatuliza tu, na litaibuka baadaye kwa kasi kubwa kuliko ya leo. Besides, nyama ikiwa buchani haina alama ya kuonyeshwa imechinjwa na nani, kwa hiyo kama ni kula mizogo tumeishakula sana tu bila kujua na hatukupata madhara.
Msijaribu kuhalalisha kutulisha mizoga ee ninyi wakristo. Maneno yote uliyoyaandika na mbinu ya kuhalalisha waislamu tukubali kula mizoga (nyama iliyochinjwa kikristo bila kufuata utaratibu wa mungu). Hatuli ng'o na waislamu ndo watakaokuwa wanachinja na si vinginevyo. Maana nyama ikichinjwa na mkristo italiwa na wakristo lakini nyama ikichinjwa na waislamu dunia nzima watakula!!!!! Kwa hiyo mnachukia kuona waislamu wanakuwa dominant of the world?
 
Wewe mleta mada ni mchochezi na una matatizo, alipoharibu Pinda ni wapi? Mwanzoni alilaumiwa Wassira kwa kuwa alisema kuchinja ni Ibada kwa waislam, hivyo sio rahisi kwa Wakristo kushiriki ibada isiyowahusu. Mizengo amesema ni mazoea na utaratibu uliopo hadi hapo Serikali itakapo badirisha, sasa alipoharibu ni wapi? Mbona nyie Wakristo hamueleweki mnataka nini

Acha kugeneralise mambo, hayo ni maoni binanfsi ya mtu mmoja na si wakristo wote.
 
ndugu zangu waislamu sasa hapa hoja kubwa ni ipi, mambo ya imani haya tutabishana mpaka kesho na tutakufa tutayaacha. sisi waislamu tunapenda kubishania vitu vidogo sana ndio maana hata wenzetu wakristu wanatupuuzia tu! wakristu wanachinja kama kawa huko majumbani kwao na tunakula kama kawa! tubishanie hoja za msingi kama mashule, mahospitali n.k! sasa hata kama tumeruhusiwa na serikali kuchinja SO! yaani sisi tutaendelea kuchekwa mpaka milee kwa kubishania vitu vidogo!

Kwa imani yako hapo na ulichoandika unajiita Muislam. Hujui kama kuchinja ni Ibada ?

Nachelea kusema wewe hata kutia udhu hujui.
 
Hivi kweli hii kuchinja ni issue hii tu au wanapitia huko lakini kuna jambo nyuma ya pazia,huko kuchinja tunakokupigania ni kwa kujisafishia njia ya kwenda mbinguni? basi wachinje na KITIMOTO
 
Kuna watu wana akili finyu sana humu,wanadhani kuchinja ni dili kwao,vyakula vingi vya viwandani tunavyokula ni machine zinachinja sasa hapo jitu linakuja na kusema mimi ndio mchinjaji ambaye nimetumwa na Mungu kuwachinjia watu,tuseme hawali hivyo vyakula toka viwandani,haya makuku yanayotoka Brazili na ambayo tunashupalia kula kila siku unadhani kuna Mwislamu alipitisha mkono wake pale?
Imani nyingine zimekaa hovyo tu maana hata umaana wake huuoni.
 
Ukifuatilia nyama huko mabuchani utachanganyikiwa. Kuna wakati mizoga huwa ni ya kutosha tu.
 
Kama ukristo sio dini ni nini?
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
 
Inakuwaje, woga wa nini? serikali inakuza jambo hili. Jambo hili kama hakuna nia nyingine nyuma yake ni dogo sana. ikumbukwr kule kwa waasisi wenyewe wa dini ya kiislamu, yaani uarabuni siku nyingi wanautaratibu wa kutia muhuri nyama wenye maandishi 'Halal' kuumanisha imrchinjwa kwa taratibu yao inayokubalika. Hivyo mnunuzi. aamue kununua au kuacha. Maana ya utratibu huu wakristo nao wachinje kwa ibada yao. Atakae kosa biashara kwa vile yeye kachinja basi ataomba mwenzake mwenye wanunuzi wengi amuchinjie baasi!
Kumbuka ndani ya ukristo sio wote wanajali nani kachinja, na hata katika uislamu pia, tena wengine hata kitimoto wanashiriki. Serikali isitie msimamo bali waachiewe wenye kula ndipo wachinjaji watapatikana
 
Uislam ni dini ya Kuzimu full stop. Quran si kitabu cha Mungu wa kweli YEHOVA, ni usanii wa kubumba. YESU sio Mkristo ila YESU NI KRISTO. Wafuasi wake ndio WAKRISTO. Poleni Waislam na Allah wenu asiyefanana na kitu chochote,Anayepiganiwa, Asiye na Mshirika, Asiye na mwana, Lakini YEHOVA wetu anafanana na mwanadam aliemuumba, ana mshirika ambae ni YESU KRISTO na ROHO MTAKATIFU, anae mwana wake pekee YESU, na anajipigania mwenyewe, Wala Allah sio YEHOVA, Mnae mungu wenu na Wakristo tuna MUNGU wetu. Bwana Yesu asifiweee!

Wachaa weee, Yehova aliacha mwanae wa pekee ( mungu mwana ) atundikwe msalabani na watu aliowaumba yeye mwenyewe ? Hakuna mahali kwenye Injili ambako pameandikwa Yesu ni kristo wala Mkristo utafungua mpaka unyeee

Ushuzi mtupuu
 
Back
Top Bottom