mwanza noma....

Kwanza Bishanga mwenyewe nimepata tetesi kafikia Igombe nje ya mji , kule guest room buku 3!
Sina hakika kama ntakutana nae, kwa kua si rahisi mi kufika kule, barabara mbovu na mie gari yangu iko chini sana, sijaiwekea specer za kuinyanyua.

Acha hizo bana,mimi nilikuwa ryan hotel,lunch tilapia dinner malaika,chezeiya bilionea wewe?
 
we bepari la kihaya, vp mbona umetokomea? ama ndo umefichwa na wadada wa makoroboi???
chezeiya mwanza weye!!!!!![/QUOTE.

Ulijuaje,leo ndo nimeibukia eapoti napanda ndege kurudi dar,nilibanwa nikabanika,ukinipima oil litatoka povu tu.
 
Bishanga kuna club inaitwa The Kiss ukiwa unaingia lazima upigwe kiss na mwanamke mmoja kajazia mfupi yuko mlangoni anakaribisha wageni. Ulipita pale?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom