CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Ndiyo kusema kijana ufike Mwz, then usiwasiliane na sie vigogo wa Mwz ?
Unaogopa nini ? Ama umekuja kumalizia kuuza mzigo wa zile Arv fake ?
N'shakutilia shaka ujue ?
Judgement hata me nashanga, hili bepari la kihaya kuvamia jiji. hajui kama jiji lina wenyewe?????
Last edited by a moderator: