Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Ukiona hivyo ujue asilimia kubwa ya watu wako healthy hawana haja ya kucontrol sugar wanayokula as brown bread ni kwa ajili ya special diet ila kula kawaida ule mkate hapana kwakweli mana hauna tofauti na pumba za kuku ladha yake!
Una ujinga mwingi sana, Arusha hapa kuna.mikate inauzwa hadi 7000 unaweza nunua? Yaani ule ujinga wa kwenye siasa huwa tuna uhamishia kwenye vitu vya msingi
 
Origin sio original yake. Arusha na dar ni vitu vya kawaida hawajaanza kutumia baada ya kfc kuja. Mwanza ndio wanadhani ni maajabu mpaka uende rock city mall.
Hebu tutolee ushamba wako,so unaona wewe ndiyo mjanja sana,si ajabu umeijua Capuccino baada ya kuwa mpagazi wa mizigo ya watalii wanaopanda mlima Kilimanjaro?
 
Elulimu inakusmbua sana mimi.mfano siumwi ila sinywi Soda, situmii.mikate meupe wala product yoyote ya ngano nyeupe, wali mweupe labda nikiwa safarini, Sukari nisha sahau kabisa, Elimu za afya ni shida weww ngojea uandikiwe
Wewe anza kwanza na elimu ya kuandika,kisha tutakupeleka kwa Proffesional dietician na Mwanza wapo wa kutosha tu.Sasa wewe hata kuandika tu ni mtihani ndiyo utueleweshe maswala ya ulaji salama
 
Una ujinga mwingi sana, Arusha hapa kuna.mikate inauzwa hadi 7000 unaweza nunua? Yaani ule ujinga wa kwenye siasa huwa tuna uhamishia kwenye vitu vya msingi
Hebu toa kwanza ujinga kwa kujifunza kuandika hata kabla hatujaja kwa mada husika
 
Ukiongelea miji ya kisasa huwezi kuitaja mwanza. Mwanza inabebwa na population ila ukisasa, kama modern city huwezi kufananisha na Arusha. Arusha jiji proper ni kubwa kuliko mwanza jiji/ilemela. Watu hawaelewi. Arusha ni mji upo exposed kimataifa. Huwa nachekaga sana watu wa mwanza wakishindana na Arusha. Majiji ya kisasa ni mawili tu Tanzania. Arusha na Dar es Salaam.
Ukileta mambo ya majiji ya kisasa kwa tanzania hakuna weka kichwani hilo, majiji ya kisasa yapo wewe tembea ughaibuni usifike nenda tu south ushuudie majiji yalivyo utasema kumbe majiji yetu ni uchafu mtupu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.

Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.

Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.

Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.

Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Hiko kijiji wanakula sana Manumbu
 
Hebu tutolee ushamba wako,so unaona wewe ndiyo mjanja sana,si ajabu umeijua Capuccino baada ya kuwa mpagazi wa mizigo ya watalii wanaopanda mlima Kilimanjaro?
Mshamba mimi? 🤣 Samahani sana sijatokea Mwanza. Washamba mpo kwa kiwango cha juu huko. Yani what is Mwanza? Kuna vibe gani! Labda?
 
Pizeria mikata yao 90% ni brown! Jirani na Mwanza hotel kama unaelekea mataa.
Tatizo watu wa Dar wana mentality flani kwamba wakitoka nje ya Dar hawawezi kupata kabisa huduma flani mikoani.
 
Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.

Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.

Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.

Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.

Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Ukija usukumani kama huku uwe unajitahidi kutafuta connection kwanza, lasivyo watu wakisha kula ugali wa udaga wamesahau kilakitu. Piga simu next time uandaliwe. Tumesha zoea tunafanya yetu wenyewe. Next time ukija niwhatsapp nikupe mtu wa kukutengenezea chap!!
 
Mwanza kuna wapika vitumbua wengi sana kuliko mkoa wowote Tanzania,Mwanza kuna mbwa koko wengi sana wanaozurura ovyo kuliko mkoa wowote Tanzania mpaka mjini Kati mfano Posta au kariakoo upishane na mbwa koko hii imenishangaza sana.

Chapati ni adimu sana mtaani inasemekana wanawake wa Mwanza kuchoma chapati ni kipengele ila hayo ya mkate wa brown ni mambo ya kizungu.
 
Endelea kujitekenya na kujifariji lakini ukweli mchungu ni kwamba Arusha mpaka Yesu anarudi haitakuja kuifikia Mwanza kamwe. Pole sana mwenye meno ya rangi kama kashata.
Kwani Arusha wanataka Ziwa Au Idadi ya Watu? Viko vitu vya msingi
 
Mshamba mimi? Samahani sana sijatokea Mwanza. Washamba mpo kwa kiwango cha juu huko. Yani what is Mwanza? Kuna vibe gani! Labda?
Eti kuna vibe gani? Si ndiyo ushamba wenyewe sasa huo.Watu wanaangalia mzunguko wa uchumi wewe unakuja na ujanja wako wa Form Six wa kuulizia vibe gani?
 
Huko watu wengi sana kula vitu asili,wewe umeenda huko na vyakula vyako vya DSM

Huko ulizia natural good kama mihogo ya kuchemsha,maboga,viazi,magimbi,karabga na njugu mawe ndio watu wanatumia kama vifungua kinywa.
Acha kuishi kwenye ujinga
 
Mpuuzi huyu, badala aulize brown bread anapata wapi, anakalia lalama tu kwenye mtandao.

Hapo Royal Oven Brown Bread zipo za kutosha, na Royal Oven wana branch 3 Mwanza, kama hazijaongezekq bado, sasa yeye sijui anatafutia brown bread wapi.

Brown bread zenyewe hata hapa Dar ni changamoto.
Pizeria mikata yao 90% ni brown! Jirani na Mwanza hotel kama unaelekea mataa.
Tatizo watu wa Dar wana mentality flani kwamba wakitoka nje ya Dar hawawezi kupata kabisa huduma flani mikoani.
 
Back
Top Bottom