Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,738
- 11,643
Sio lazima uumwe au usubiri mpaka upate ugonjwa ndio uanze kufuata masharti, wakati mwingine ni njia ya kujikinga.Kumbe mleta mada ana diabet mellitus ndo maana anabagu misosi
Sio lazima uumwe au usubiri mpaka upate ugonjwa ndio uanze kufuata masharti, wakati mwingine ni njia ya kujikinga.Kumbe mleta mada ana diabet mellitus ndo maana anabagu misosi
Kwahiyo kuanzisha bakery ya brown 🍞 bread Chalinze kutaifanya kuwa jiji??Lakini mkate ni kitu kidogo sana...upatikanaji wake au ukosefu wake hauongezi chochote kwenye ukuaji wa mji.... Au?
Kwa hiyo uumwe wewe kisukali afu uwalalamikie watu wa Mwanza? 😜😜Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Siper Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata sataff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ni nunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana hiwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Nenda Bakery ya Royal OvenJuzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Siper Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata sataff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ni nunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana hiwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Kinachonishangaza ni jinsi gani hamuheshimu "culture "ya sehemu husika, Huwezi kuondoa culture ya kimasai Arusha Kama ambavyo, Huwezi kuiondoa culture ya kisukuma mwanza.Kwa hiyo uumwe wewe kisukali afu uwalalamikie watu wa Mwanza? 😜😜
Ila kiukweli Ni Jiji la kishamba Sana
Jamaa kapiga Utosini 😂😂😂😂Endelea kujitekenya na kujifariji lakini ukweli mchungu ni kwamba Arusha mpaka Yesu anarudi haitakuja kuifikia Mwanza kamwe. Pole sana mwenye meno ya rangi kama kashata.
Kwa hiyo Ndio mshindie udaga? 😆😆Kinachonishangaza ni jinsi gani hamuheshimu "culture "ya sehemu husika, Huwezi kuondoa culture ya kimasai Arusha Kama ambavyo, Huwezi kuiondoa culture ya kisukuma mwanza.
Hata Dubai kuna culture ya waarabu haiwafanyi kuwa washamba.
Aheshimu utamaduni wa sehemu husika. Ukitafuta Sato pemba utakuwa unawaonea mkuuMwanaume wa mkoani akilia Lia khs mkate,acha wanaume wa mwanza tugonge ugali na Sato mkubwa.
Kusini Kuna Miji ya Kijanja Tena inaokwa na wwnyejiHUU MKATE UNAWAFAA WENYE KISUKARI IRINGA IPO SANA SUPERMARKETS
Mimi ni mchaga biashara zangu nafanyia mwanza kusema ukweli hii bidhaa hipo tena ni nyingi tu na auwezi linganisha mwanza na arusha hata kidogo mwanza ni baada ya dar, wingi wa watu, ukubwa wa city centre, mzunguko wa hela nk.Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Siper Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata sataff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ni nunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana hiwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Shida ikowapi, unataka tule Chips? Is this a joke to you?Kwa hiyo Ndio mshindie udaga? 😆😆
Hapa ni elimu duni, na uelewa finyu wa mambo ya msingi kama afya zetu na vyakula gani ni vizuri zaidi ya vingine.Haya mambo sijui ya brown bread, brown sugar, low fat milk etc Tanzania bado sana. Wengi tumeyajua tulipoenda majuu hivyo wengi ambao hawatoka yanawatesa. Kwa mfano ukienda dukani unasema nipe sukari na unapewa sukari yoyote.
MnoMji mzuri ila niwakienyeji mno
Hio hawaijui kabisaHahahaha,,
hata mayoneiz usikute hamna..
Ndio maana nikazunguka sasa kote kule unako weza pata, wanao oka.mikate hawana, migajawa hawana, Super market hawana, sasa pengine unazani nilipaswa kwenda wapi?Kuto kujua kwao, haimaanishi bidhaa hiyo hamna, wao huenda Dukani kununua mkate, lakini hawajaulizia mkate wa namna hiyo.
Mimi nipo Dar, ukiniuliza swali la wapi utapata mkate wa namna hiyo, sina jibu, kwa sababu haijawahi kuwa hitaji langu.
Sawa ila nenda kama Arusha uliza Mkate wa Brown,ni sawa sema kwa jiji kama Mwanza linapaswa kuwa nayo, ukianimbia Kigoma huko tutakuwa tuna waonea bure ila sio MwanzaHaya mambo sijui ya brown bread, brown sugar, low fat milk etc Tanzania bado sana. Wengi tumeyajua tulipoenda majuu hivyo wengi ambao hawatoka yanawatesa. Kwa mfano ukienda dukani unasema nipe sukari na unapewa sukari yoyote.