Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Ndiyo maana hiyo mikoa watoto wanaongoza kwa utapiamlo na baadae wanakuwa na udumavu wa akili. Sasa ukishakuwa na vijana wengi wenye udumavu wa akili basi tegemea kukosa ubunifu, utegemezi wa maamuzi muhimu (yaani wanategemea watu wengine wawafanyie maamuzi) etc
Kama huwezi kujua watoto wanaokula samaki tena fresh kwa wingi ndiyo wanakuwa na akili zaidi.Ninachelewa hata kuhoji uelewa wako katika sayansi ya vyakula.Au unaona kula chips zege,tomato na pepsi baridi ndiyo kula chakula bora.
 
Acha masimngo na ulimbukeni usiokuwa na maana kijana,kila sehemu inautamaduni wake wa vyakula,kama ambavyo hauwezi kupata furu wa kubanika Washington ndio hivyo hivyo ulikosa brown bread Mwanza,uku kwetu asubui tunagonga chai ya maziwa na mahidi ya kuchemsha kwa raha zetu,hayo si jui ma brown bread peleke huko ule na wahidi wenzako,usirudie tena kulidhililisha jiji letu
 
Attachments

  • FB_IMG_1668071027284.jpg
    FB_IMG_1668071027284.jpg
    41.2 KB · Views: 13
Kuna kule Kiseke jamani hupigi hatua 2 bila kukutana na mbwa koko 15. Yaani nahisi kiseke mbwa koko ni wengi kuliko watu wanaoishi. Jioni pale mjini wapika vitumbuka kila baada ya hatua moja.

All in all mwanza ni mji mzuri sana kuishi hata kama unaanza maisha kila kitu kipo affordable kuanzia vyakula, usafiri mpaka nyumba za kupanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa ni patamu sana hasa mjini.
 
Nilipoenda Mara ya kwanza Mwanza, nilishangazwa sana na uwingi wa Mbwa
Mbwa ni kumwaga halafu hawana makali ukijikuna tu wanasepa....sema katika viumbe sipendi wanisogelee ni mbwa huwa napata tabu nikikutana na mbwa.

Asubuhi unakuta mbwa wanaongozana na watu kwenda makazini hiyo ni Rockdog city!!
 
Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.

Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.

Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.

Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.

Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
nenda KULEANA ipo mingi tu
 
Kuna kule Kiseke jamani hupigi hatua 2 bila kukutana na mbwa koko 15. Yaani nahisi kiseke mbwa koko ni wengi kuliko watu wanaoishi. Jioni pale mjini wapika vitumbuka kila baada ya hatua moja.

All in all mwanza ni mji mzuri sana kuishi hata kama unaanza maisha kila kitu kipo affordable kuanzia vyakula, usafiri mpaka nyumba za kupanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona husemi wa Arusha? Au mmesahau kwenye kati2003na 2004 waliwahi kuua mtu Tena katikati ya Mji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.

Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.

Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.

Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.

Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Ni vyema uwe na mtazamo mpana kuhusu vyakula visivyokobolewa, hata ngano yenyewe ukitengeneza bulgur ni chakula kizuri na kitamu kinachotokana na ngano isiyokobolewa, pia kuna pilau ya mtama usiokobolewa, au unaweza kupikwa kama wali ni chakula kizuri sana na bora mwilini kinaliwa sana maeneo ya India, bangladesh,pakistan na maeneo ya yote ya ukanda huo.
 
Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.

Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.

Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.

Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.

Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Una matatizo ya Akili
 
Mwanza walibebwabebwa na mwendazake wakajikuta eti na wao wanajua. Takataka kabisa.
 
Back
Top Bottom