Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Nyasaka watu wanajenga balaa.

TBH Mwanza ni pazuri compared na Arusha..hata town yao ni kubwa na inapendeza.
Ndiyo tunamshangaa huyu aliyeleta ze Comedy yake ya kukosa Brown Bread Mwanza.Nyasaka ni Ununio au Mbweni ya Dar,nyumba za kishua na mitaa imepangika balaa
 
Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.

Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.

Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.

Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.

Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Ukiongelea miji ya kisasa huwezi kuitaja mwanza. Mwanza inabebwa na population ila ukisasa, kama modern city huwezi kufananisha na Arusha. Arusha jiji proper ni kubwa kuliko mwanza jiji/ilemela. Watu hawaelewi. Arusha ni mji upo exposed kimataifa. Huwa nachekaga sana watu wa mwanza wakishindana na Arusha. Majiji ya kisasa ni mawili tu Tanzania. Arusha na Dar es Salaam.
 
Nenda Royal Oven ipo Igoma Bekary Victoria food hata ile mikate ya united kutokea Kenya ipo brown bread kwenye vijisupermarket vingi tu huko Mwanza
 
Ukiongelea miji ya kisasa huwezi kuitaja mwanza. Mwanza inabebwa na population ila ukisasa, kama modern city huwezi kufananisha na Arusha. Arusha jiji proper ni kubwa kuliko mwanza jiji/ilemela. Watu hawaelewi. Arusha ni mji upo exposed kimataifa. Huwa nachekaga sana watu wa mwanza wakishindana na Arusha. Majiji ya kisasa ni mawili tu Tanzania. Arusha na Dar es Salaam.
Unapotumia assumption bila logic .hoja yako inakuwa ya kipuuzi
 
Hebu tupumuzisheni yaani Nutella??? Ninauhakika hata ukienda kule kazulamimba-Kigoma hii unaikuta.
Wasukuma hatupo nyuma kiivo
Nutella tena ya 2,500 tu.aah hebu watupumzishe basi.Lakini mdau alikuwa anachangamsha tu kijiwe Depal
 
Ni kijijini lakini mbona vitu vya kawaida tu lakini gharama zipo juu sana kuzidi hata sehemu zenye machimbo
Yani tofauti ya shs 100 unaona vitu viko juu? Je ulizunguka kote au ni hapo tu ulitaka kuuziwa hayo maji? Je kama hapo ulipoenda ndiyo kijiwe cha wanene wa Misungwi?
 
Endelea kujitekenya na kujifariji lakini ukweli mchungu ni kwamba Arusha mpaka Yesu anarudi haitakuja kuifikia Mwanza kamwe. Pole sana mwenye meno ya rangi kama kashata.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Meno kama njugumawe. Ila ww una matusi sana ww🙆🙆🙆
 
Watu wana dili na bidhaa yenye wahitaji wengi, hivyo huenda Mwanza uhitaji ni mdogo kwa Mfanyabiashara au Mzalishaji kuzalisha...maana kumbuka hata kwa bei ipo juu tofuti na mikate iliyozoeleka.

Kwa Arusha naona ni advantage ya kuwa jiji la Kitalii maana hata Wahitaji wengi wa hiyo bidhaa ni wanaotoka nje (wageni) kuliko Wenyeji..na sio kweli kwamba inapatikana kirahisi Mtaani, ni mitaa michache sana...zaidi ni kwenye SuperMarket.

Kiwanda cha Sunkist Arusha wanazalisha huenda wakifungua tawi na huko itakuwepo....wakati mwingine ni suala la kuitambulisha tu na baada ya muda Watu wataizoea.
 
Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.

Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.

Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.

Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.

Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Yani SHUKURU MUNGU nmeandika nmefuta nmeandika nmefuta hicho kipara chako na uhakika kingetoa cheche
 
Assumptions kivipi wakati naifaham Mwanza?
Ndo ungetuambia namna unavyoifahamu na mwanza na facts za kuwa ni ndogo kuliko mwanza . wakati metropolitan area ya mwanza Ina wilaya mbili zenye hadhi ya manispaa na jiji wakti Arusha Ina wilaya Moja yenye hadhi ya jiji...
 
Hiyo ni mitaa ya kishua nyumbani kwao na Lau Masha hiyo kwa Dar ongelea Oysterbay au Masaki.Pia kuna Bwiru Uzunguni na Isamilo.Kuna maeneo ya Nyasaka kule ni kama Mbweni au Bunju A kwa hapa Dar na maeneo mengi sana,sijaongelea hapo Nyakato,Nyegezi,Mwananchi huko kuna maeneo ya kishua zaidi pia.
Bila kusahau Nyamhongolo
 
Back
Top Bottom