Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.

Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.

Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.

Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.

Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Sahih kbsaa umesema vyemaa Arusha Ni Arusha tu
 
Mie huwa natumia whole bread pia brown zipo za kutosha sema wadau wachache. Wengi mno wanapenda white bread ambayo ndio iko easily available jamii nyingi za blacks Ni masikini kielimu na kipesa hawajui ichi wanakula kwa Nini Bali wao wajaze tumbo livimbe ndio wanajisikia kushiba.

Binafsi situmii white breads hata unipe bure. Ukitaka iyo mikate yako nenda pizzeria utaipata. Pembeni ya mwanza hotel Kuna juisi ya karoti,unasagiwa hapohapo,hizo kahawa,juisi ya tikiti,pizza pia ipo,kichuri usisahau najua hutokitumia Mana sio Cha wazungu Ila black anajisikia ufahari kula chakula Cha nguruwe nayeye anajisikia kuwa sehemu ya manguruwe jamani.
Mwanza Kuna ugali mwekundu wa mtama na mihogo/udaga unakula na nyama choma pamoja na kichuri jamani hichi ndio chakula Ni kitamu wasiokijua wanasema kuwa Ni mavi ya ng'ombe Ila siku wakila wakirudi wanasema tuwekee mboga Kama ya siku ile. Yaani kichuri huniambii Ni kitamu balaa. Huwa already digested food so majani yote yamo humo na huwa Ni Cha pure green, so kabla hakijaingia kwa mishipa ya damu ama kufyonzwa na mwili husika ndipo kinachukuliwa. Kondoa pia wanayo hii chakula wanakila.
 
Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.

Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.

Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.

Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.

Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Jaribu Pizzeria.
 
Sio lazima uumwe au usubiri mpaka upate ugonjwa ndio uanze kufuata masharti, wakati mwingine ni njia ya kujikinga.
Hata mie nakulaga chakula sio nipate maelekezo ya afya. Yaani kula yangu ama philosophy yangu Ni kuwa Ni Bora Nile chakula Kama dawa kuliko Kuja dawa Kama chakula. Watu hawako educated na kuwa ichi chakula kinafanya Nini mwili or outcome yake Ni Nini Bali wanakula kwa mazoea ama kwa kukufuata ladha ya mdomoni ambayo huwa Ni instant gratification Ila for long gratification kitamu mdomoni Ni kibaya mwilini, na kichungu mdomoni I kitamu mdomoni.

Mfano Mie mboga ya majani huwa Ni chukuchuku mafuta ya mbegu hayana nafasi kwangu like alizeti,soybean,maize,pamba,ana huwa naulizaga mtu kuwa umeshawahi kusikia mtu akaumwa akashauriwa kuwa atumie mafuta ya kula mengi ama sukari ama chumvi. Na hivi vitu vitatu ndivyo vinatumaliza.

Na magonjwa huwa hayaji siku moja Bali huwa Ni accumulations of many years of our eating habits.

Tangawizi chemsha ama tafuna na usiweke sukari Mana sukari ukinywa uji wa ulezi una sukari pia mafuta yapo.

Tafuna kitunguu swaumu najua hapa hatuwezi wengi Ila twapenda soda na chips.
Mie chips inakatika miaka na miaka ama soda sijawahi tia mdomoni.

Breakfast uji wa ulezi sugarless,viazi vilichomchemshwa nakula na maganda yake na za majani ama tangawizi.

Ugali dagaa wabichi wale wa ziwani asubuhi kabisa na za majani
Ndizi ama ubwabwa na njugu mawe na juisi ya kiasi kitamu ama kitunguu ndio menu zangu hizo.
 
Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.

Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.

Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.

Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.

Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Brown bread Ni nini
 
Mie huwa natumia whole bread pia brown zipo za kutosha sema wadau wachache. Wengi mno wanapenda white bread ambayo ndio iko easily available jamii nyingi za blacks Ni masikini kielimu na kipesa hawajui ichi wanakula kwa Nini Bali wao wajaze tumbo livimbe ndio wanajisikia kushiba.

Binafsi situmii white breads hata unipe bure. Ukitaka iyo mikate yako nenda pizzeria utaipata. Pembeni ya mwanza hotel Kuna juisi ya karoti,unasagiwa hapohapo,hizo kahawa,juisi ya tikiti,pizza pia

Mpaka hapa tu imebidi nicheke na kujua kumbe tuna safari ndefu sana.Yani wewe kula Brown Bread tena ambayo siyo real unawaona wengine hawana pesa na ni maskini na wewe una pesa,haya tuambie wewe uliye na pesa huo mkate na hiyo juice unanunua kwa dola ngapi kwa siku? Don't tell me unanunua kwa hizi 3,500 tena madafu ya Mama Samia.
 
Mwanza ukisema hayo wanakuitia immigration police.
Unaijua hata hiyo Capuccino yenyewe original yake ? Have u ever been in Venice,Rome or Sicily? Au ndiyo ulimbukeni wa Capuccino ya KFC ya Dar?
 
Origin sio original yake. Arusha na dar ni vitu vya kawaida hawajaanza kutumia baada ya kfc kuja. Mwanza ndio wanadhani ni maajabu mpaka uende rock city mall. 🤣
 
Hata mie nakulaga chakula sio nipate maelekezo ya afya. Yaani kula yangu ama philosophy yangu Ni kuwa Ni Bora Nile chakula Kama dawa kuliko Kuja dawa Kama chakula. Watu hawako educated na kuwa ichi chakula kinafanya Nini mwili or outcome yake Ni Nini Bali wanakula kwa mazoea ama kwa kukufuata ladha ya mdomoni ambayo huwa Ni instant gratification Ila for long gratification kitamu mdomoni Ni kibaya mwilini, na kichungu mdomoni I kitamu mdomoni.

Mfano Mie mboga ya majani huwa Ni chukuchuku mafuta ya mbegu hayana nafasi kwangu like alizeti,soybean,maize,pamba,ana huwa naulizaga mtu kuwa umeshawahi kusikia mtu akaumwa akashauriwa kuwa atumie mafuta ya kula mengi ama sukari ama chumvi. Na hivi vitu vitatu ndivyo vinatumaliza.

Na magonjwa huwa hayaji siku moja Bali huwa Ni accumulations of many years of our eating habits.

Tangawizi chemsha ama tafuna na usiweke sukari Mana sukari ukinywa uji wa ulezi una sukari pia mafuta yapo.

Tafuna kitunguu swaumu najua hapa hatuwezi wengi Ila twapenda soda na chips.
Mie chips inakatika miaka na miaka ama soda sijawahi tia mdomoni.

Breakfast uji wa ulezi sugarless,viazi vilichomchemshwa nakula na maganda yake na za majani ama tangawizi.

Ugali dagaa wabichi wale wa ziwani asubuhi kabisa na za majani
Ndizi ama ubwabwa na njugu mawe na juisi ya kiasi kitamu ama kitunguu ndio menu zangu hizo.
Life nzuri sana, mim kwenye soda nimeweza, bado Sukari na chumvi, na mafuta
 
Anakuja hapa na afya yake ya mgogoro inayochagua hata vyakula halafu anatutambia kabisa amekosa brown bread.
Elulimu inakusmbua sana mimi.mfano siumwi ila sinywi Soda, situmii.mikate meupe wala product yoyote ya ngano nyeupe, wali mweupe labda nikiwa safarini, Sukari nisha sahau kabisa, Elimu za afya ni shida weww ngojea uandikiwe
 
Hata mie nakulaga chakula sio nipate maelekezo ya afya. Yaani kula yangu ama philosophy yangu Ni kuwa Ni Bora Nile chakula Kama dawa kuliko Kuja dawa Kama chakula. Watu hawako educated na kuwa ichi chakula kinafanya Nini mwili or outcome yake Ni Nini Bali wanakula kwa mazoea ama kwa kukufuata ladha ya mdomoni ambayo huwa Ni instant gratification Ila for long gratification kitamu mdomoni Ni kibaya mwilini, na kichungu mdomoni I kitamu mdomoni.

Mfano Mie mboga ya majani huwa Ni chukuchuku mafuta ya mbegu hayana nafasi kwangu like alizeti,soybean,maize,pamba,ana huwa naulizaga mtu kuwa umeshawahi kusikia mtu akaumwa akashauriwa kuwa atumie mafuta ya kula mengi ama sukari ama chumvi. Na hivi vitu vitatu ndivyo vinatumaliza.

Na magonjwa huwa hayaji siku moja Bali huwa Ni accumulations of many years of our eating habits.

Tangawizi chemsha ama tafuna na usiweke sukari Mana sukari ukinywa uji wa ulezi una sukari pia mafuta yapo.

Tafuna kitunguu swaumu najua hapa hatuwezi wengi Ila twapenda soda na chips.
Mie chips inakatika miaka na miaka ama soda sijawahi tia mdomoni.

Breakfast uji wa ulezi sugarless,viazi vilichomchemshwa nakula na maganda yake na za majani ama tangawizi.

Ugali dagaa wabichi wale wa ziwani asubuhi kabisa na za majani
Ndizi ama ubwabwa na njugu mawe na juisi ya kiasi kitamu ama kitunguu ndio menu zangu hizo.
Chief mbona unajitesa namna hiyo...?? Dahhh aisee.... ubinadamu kazi kwel kwel
 
Back
Top Bottom