Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.

Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Siper Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata sataff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.

Ikabidi ni nunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.

Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.

Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana hiwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Umeamua kufurahisha genge, mikate hiyo ipo kibao mwanza.
 
Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.

Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.

Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.

Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.

Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Mkuu ujatafta tu ila ipo kibao mimi mzee wngu anaumwa kisukari na kila siku anatumia brown au hujatafta mwanza mjini
 
Upatikanaji wa bidhaa ni kulingana na uhitaji wake/matumizi. Kwa Mwanza mikate hiyo haina soka kabisa na inauzwa bei ndogo kulinganisha na white bread. Sasa ukizingatia na kua mikate haina shelf life kubwa kwanini wafanya biashara wahangaike nayo?

Ukweli ni kua mikate hiyo ipo lakini haipatikani kila mahali sana sana kwenye supermarkets za wahindi utakuta tele.
ni kweli kbsa mkuu ipo sana tu
 
Ndio maana nikazunguka sasa kote kule unako weza pata, wanao oka.mikate hawana, migajawa hawana, Super market hawana, sasa pengine unazani nilipaswa kwenda wapi?
Kwanza sipajui Mwanza, hivyo siwezi kukushauri, uende wapi.

Ila kwa maelezo yako, kumbe mwanza ni kamji kadogo sana, kama umepazunguka, na kuimaliza kisa mkate tu, huo ni mji mdogo.
 
Mi nahisi mwaka 2016 ndo mwisho wa kula mikate ...Kama nilikula hapo kati ndani ya miaka 6 haiwezi kuzidi mara 3.
 
Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.

Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.

Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.

Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.

Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.

Imebidi nicheke tu,unapata wapi courage ya kusema uwongo? Au ulitaka tujue huwa unakula Brown Bread utadhani ni kitu cha maana sana
 
Back
Top Bottom