Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
Hamna wapika Mabumunda huko?

Mwanza tunakula mahindi ya kuchoma tena bila chumvi pilipili na ndimu kama wa Dar.Hamna wapika Mabumunda huko?

Mwanza tunakula mahindi ya kuchoma tena bila chumvi pilipili na ndimu kama wa Dar.Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na
Kuna bakery kwa nyuma ya gold crest imeangaliana na club galaxy huwezi kukosa brown breadJuzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
H baba akisoma hii comment atakuzawadia gari mkuu. Umepiga kwenye mshonoNa mimi nimetafuta shoga mwanza nzima sijapata kweli mwanza jiji la kishamba aisee wanazidiwa hadi na Arusha. Arusha mashoga kibao kama dar.
Mwanza acheni ushamba bana kuweni kama Arusha BASI jiji kubwa kama mwanza mnakosaje mashoga bana
Haha... watu hawajui brown bread? You kept asking wrong people. R.C mall mbona nanunua sana tu brown bread. Royal bakery tu zipo kila siku as long as ukipakuta wazi. Halafu upatikanaji wa aina ya mikate haimaanishi ndo mji mbaya. Nimekaa arusha, mwanza na dar. Ila mwanza maeneo mingi ya mjini hawakati maji wala umeme kama ilivo ars na dar.Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Namshangaa sana huyo mwamba. Et mwanza nzima hamnaWewe ni mshamba tu huna lolote mama yangu ana Kisukari na Mara kwa Mara huwa naenda kumnunulia Mkate wa Brown.
Ukiwa Nata hapo kwenye Msikiti mkubwa mweupe. Upande wa pili wa barabara kuna Supermarket mikate ya Brown ipo mingi tu. Mimi huwa nanunua mara nyingi sana. Hata unga wa ngano wa Brown unapatina pia.

Hiyo mikate Jijini Mwanza ni ya kumwaga sijui alishindwaje kuipata !Lakini mkate ni kitu kidogo sana...upatikanaji wake au ukosefu wake hauongezi chochote kwenye ukuaji wa mji.... Au?
Hapo sasa shangaa na weweJe maendeleo ya mji yanapimwa kwa kukosa Aina fulani ya chakula? Unataka kusema kila chakula kinachopatikana Dar ni lazima kipatikane Mwanza?
HahahahahahaaaKwahiyo kuanzisha bakery ya brownbread Chalinze kutaifanya kuwa jiji??
Wala sishangai kwa comment hiyo wewe nakuju. Habari za Sumbawanga ?Kwa hiyo uumwe wewe kisukali afu uwalalamikie watu wa Mwanza?
Ila kiukweli Ni Jiji la kishamba Sana
Maendeleo kwake ni upatikanaji wa Brown Bread.Hata NY,Paris,Rome,London na kwingineko akikosa anachokitafuta basi hiyo miji inakuwa haina maendeleoswali kwa mleta mada. kwa mfano upo zako katikati ya jiji miami,USA.
halafu ukazunguka kwenye migahawa yote maarufu ya miami kutafuta ugali, ukakosa. ni ishara kwamba miami ipo nyuma kimaendeleo?.
Hapa ndipo tumejua huyu alikuwa Mwanza ya mitaa ya Bugarika,Mabatini au Igogo,hata hizo supermarket ndogo ndogo tu hakukanyaga.Vi super market vya Wahindi kibao vina Browm breads,hapo hujawaweka wakongwe kina U Turn Supermarket wanaouza hadi Whysky or Brand kwa zaidi ya 1M kwa chupa aging over 25yrs,ndiyo ije kuwa Brown Breads.Hoja ni kuwa, mwanza hakuna mikate ya namna hiyo, ili kukazia hoja yake, akaandika hata super Markets za mwanza hawaijui bidhaa hiyo.
Wapo wanao ijua na wapo wasio ijua hata dar ni hivyo hivyo wapo wengi mno wasio juwa aina hii ya chakula kibichi.Hahahaha,,
hata mayoneiz usikute hamna..