Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Yani mizunguko yote umezunguka kutafuta mkate tu! 

Kule ni pure uswazi,kwa Dar ni sawa na TandikaDu!... Kumbe Bugarika nako ni noma?😳
Nilikuwa nimekaa sehemu local sana mkuu....misungwi unapafahamu mkuu, kale kamji kamji nilikaona ni ka kifara kuliko hata geita mjiniSasa wewe unalalamika kwakuwa ulienda sehemu si yako,ulipaswa kwenda sehemu inayoendana na bajeti yako Mkuu.Hata Dar beer local inauzwa 1500-2000 lakini kuna sehemu inauzwa 9,000.Ni wewe tu unataka kwenda wapi.Wallet yako ndiyo ilipaswa ikuongoze.
Kumbe@Elungata uko Mwanza pia?.👍Ungeenda Uturn pale mtaa w mviringo ipo supermarket ya maana
Ndiyo ujue Mkoa wa Mwanza una pesa.Yes Misungwi napafahamu kuliko unavyodhania.Naijua Mwanza na wilaya zake zote kama kiganja cha Mkono wangu.Unalinganishaje Misungwi na Geita ambayo ni Makao Makuu ya Mkoa?Nilikuwa nimekaa sehemu local sana mkuu....misungwi unapafahamu mkuu, kale kamji kamji nilikaona ni ka kifara kuliko hata geita mjini
Nimepata elimu hapa!.Kule ni pure uswazi,kwa Dar ni sawa na Tandika
Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Hiyo mikate ipo hapo Pizzeria na RoyalJuzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Yote hiyo mitaa yanguKumbe@Elungata uko Mwanza pia?.👍
Lakini Ni washambaMimi ni mchaga nineishi mwanza kwakweli mwanza wanakula vyakula vya asiri sana ndio mana ni marijali na wenye nguvu nyingi za mwili tofaufi na arusha palipojaa mashoga.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Uswazi ya Mwanza ni Mabatini,Igogo na Bugarika hiyo ni kama kwa Dar,Tandika,Manzese,Tandale.Pia kuna mitaa ya Uhuru,Nyamanoro,Pasiansi na Kirumba hii ni kama Mwananyamala au Kinondoni hii ya Manyanya au Mkwajuni.Halafu sasa kuna maeneo ya kishua ya wenye pesa zaoNimepata elimu hapa!.
Jamaa ni muongo sana huyuUliuliza watu gani?
Hii hapa ni nn?View attachment 2435517View attachment 2435518View attachment 2435519
Nenda town ilipo bank ya EQUITY kuna Duka kwa ndani zipo
Mkuu Pizzeria ule mgahawa bado unafanya kazi?.Nilikuwa napenda sana kwenda pale nikiwa MwanzaHiyo mikate ipo hapo Pizzeria na Royal
Yaani wabongo hua mna ujinga mkubwa sana, ukiwa ugenini eti unatengeneza maneno ya dharau dhidi ya mji uliopo, ni kama ushamba ushamba tu unawasimbua
😂 Nitakuja Mwanza kumaliza mwaka,nitakutafuta.Yote hiyo mitaa yangu
Capri point nadhani, naisikia sana sifa zake.Uswazi ya Mwanza ni Mabatini,Igogo na Bugarika hiyo ni kama kwa Dar,Tandika,Manzese,Tandale.Pia kuna mitaa ya Uhuru,Nyamanoro,Pasiansi na Kirumba hii ni kama Mwananyamala au Kinondoni hii ya Manyanya au Mkwajuni.Halafu sasa kuna maeneo ya kishua ya wenye pesa zao
Hiyo ni mitaa ya kishua nyumbani kwao na Lau Masha hiyo kwa Dar ongelea Oysterbay au Masaki.Pia kuna Bwiru Uzunguni na Isamilo.Kuna maeneo ya Nyasaka kule ni kama Mbweni au Bunju A kwa hapa Dar na maeneo mengi sana,sijaongelea hapo Nyakato,Nyegezi,Mwananchi huko kuna maeneo ya kishua zaidi pia.Capri point nadhani, naisikia sana sifa zake.
Mkuu mbona sampuli yako ndogo sana alafu ume confirm jibu pasipo kushirikisha wadau hasa Great thinkers? Umefeli sana mkuuJuzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Huo ni miaka nendaMkuu Pizzeria ule mgahawa bado unafanya kazi?.Nilikuwa napenda sana kwenda pale nikiwa Mwanza