Lengo la mada halijafikiwa
Tumetanguliza mapenzi ya maeneo yetu kuliko uhalisia.
Mada ilikuwa kulinganisha kasi ya ukuaji wa majiji mawili ya Mwanza na Arusha.
Watu kwa mapenzi yao wanaanza kuzungumzia mikoa wakati sio Lengo la mada.
Ukweli ni kuwa jiji la arusha ni dogo kulinganisha na jiji la mwanza
Kimiundombinu jiji la Mwanza ni bora na limejengeka kuliko arusha
Centre za majiji arusha ni ndogo
Matajiri wanaomiliki maeneo ya biashara jijini arusha ni wachache kulinganisha na wa Mwanza.
Nb:jiji la arusha linaanzia daraja kubwa mbele kidogo ya kimandolu kama unaenda moshi na kuishia karibu na kisongo.
Tajiri mmoja wa arusha anaweza akawa anamiliki vitega uchumi kama kumi tofauti lakini kwa Mwanza ni watu kumi wanamiliki vitega uchumi kumi