Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

70% ya wakazi wa Mwanza haya ndiyo maisha yao.... 70% wako kwenye umaskini wa kutupa.. Ndio maana kwenye zile takwimu za UN Mwanza ni miungoni mwa mikoa ya mwisho kabisa kwa watu wake kuishi makazi duni...

Mwanzaaaa Mwanzaaaa
mwanza.gif
 
Nimeweka nyumba za watu kwenye makazi tofauti kuanzia Njiro, Uzunguni, Sakina, Sanawari, Burka, Moshono mpaka USA River...

Wewe weka hizo za Ngulelo na Kijenge alafu ufananishe na nyie 70% ya maskini mnaoishi na mawe kama kima huko milimani... Vyoo hamna mnakunya ziwani, maji hakuna mnafulia maji mnayonyea ziwani.. Mtu akiumwa mnapiga filimbi watu waje kumbeba maana ambulance haifiki huko maskini 70% wanakoishi..

Hakuna mji usio na makazi ya watu wa hali ya chini... Dar kuna Tandale, Mbagala, Manzese, Temeke, Buguruni, Kigogo, Mburahati lakini Dar ndio Capital City yako... Huko unakosema tuweke picha weka wewe alafu ulinganishe na huko maskini mnakoishi huko milimani..
Kwa hiyo hayo Makazi uliyoyaweka unataka utuambie ndio asilimia ya watu wengi Arusha wanaishi hivyo...?!

yaani unasema Mwanza ina tatizo la maji na asilimia 70 hawana vyoo...?! Ndio maana mi nimebaki kimya tu, sababu wewe unapiga ligi na kuchangamsha kijiwe tu, ndio maana nakuchukulia kama ze komedi tu...

Kama tukiongelea Halmashauri ya jiji, hizo Burka, Tengeru na hata kule Ngurdoto hadi USA River kule hazipo ndani ya jiji, zipo chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru, zipo Meru...

Sema kwasababu umebaki kuchekesha jukwaa ndio maana nimebaki naangalia tu, ukiwaita watu Sokwe na Kima...

Lakini labda ujiulize Halmashauri ya jiji la Arusha ina Manispaa ngapi...?!
 
hahahahahahaha airport hiyo... hahahaha Mwanzaaa Mwanzaaa
Mwanza waeipiku arusha population yao kubwa afu manisipaa mbili ndo zinaunda jiji,huwa kuna vgezo vinaangaliwa ili sehemu iwe manispaa first ni population..so ata arusha ingekuwa populated pia ingekuwa the same..ishu nyngne mji kuwa mkubwa haina maana kuna kila kitu au ndo umejengeka sana..
 
Hadi tunatoka mitamboni mda huu Mwanza 55% na arusha 45%.
Mpambano ni mkali kweli.
Muwe na subira ndugu watazamaji,
Kwani naona kuna dalili mbaya hapa uwanjani.
 
Kwa hiyo hayo Makazi uliyoyaweka unataka utuambie ndio asilimia ya watu wengi Arusha wanaishi hivyo...?!

yaani unasema Mwanza ina tatizo la maji na asilimia 70 hawana vyoo...?! Ndio maana mi nimebaki kimya tu, sababu wewe unapiga ligi na kuchangamsha kijiwe tu, ndio maana nakuchukulia kama ze komedi tu...

Kama tukiongelea Halmashauri ya jiji, hizo Burka, Tengeru na hata kule Ngurdoto hadi USA River kule hazipo ndani ya jiji, zipo chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru, zipo Meru...

Sema kwasababu umebaki kuchekesha jukwaa ndio maana nimebaki naangalia tu, ukiwaita watu Sokwe na Kima...

Lakini labda ujiulize Halmashauri ya jiji la Arusha ina Manispaa ngapi...?!
Haha burka ni arumeru ee asante mkuu
 
Akina ngosha wameshindwa kujitetea au? Ngoja niwasaidie,kila mji una mandhari yake ya asili,mandhari ya mwanza ni mawe ya viliman na ziwa,walichokosea ni kuacha watu wajenge kwenye virima tena maskini imeharibu sana taswira ya jiji.Mwanza ni mji wa mawe na mchanga naturally hakuna haja ya pavements wala garden kule milimani.Lakini kuna maeneo ya tambarare kiasi kule buhongwa,igoma,nanenane,SAUT etc waweke picha za maeneo hayo mbona yako vizuri ili kunogesha ligi
Ukibishana na mtu asiyejua anachobishia ni kupoteza mda bure. Am in Arusha maeneo ya maji ya chai naifahamu Arusha vizuri mno. Usione tupo kimya, tushajua huu ubishi wenu ni karama si bure, jaribuni kutembea mjigunze.Tukichua tu nyegezi, luchelele na mkolani tukaonyesha hapa makazi ya raia mtatii amri. Bado bwiru na kitangri na nyakato pia. We can't achieve the soln.
 
Weka picha mkuu
 
Kwa hiyo hayo Makazi uliyoyaweka unataka utuambie ndio asilimia ya watu wengi Arusha wanaishi hivyo...?!

yaani unasema Mwanza ina tatizo la maji na asilimia 70 hawana vyoo...?! Ndio maana mi nimebaki kimya tu, sababu wewe unapiga ligi na kuchangamsha kijiwe tu, ndio maana nakuchukulia kama ze komedi tu...

Kama tukiongelea Halmashauri ya jiji, hizo Burka, Tengeru na hata kule Ngurdoto hadi USA River kule hazipo ndani ya jiji, zipo chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru, zipo Meru...

Sema kwasababu umebaki kuchekesha jukwaa ndio maana nimebaki naangalia tu, ukiwaita watu Sokwe na Kima...

Lakini labda ujiulize Halmashauri ya jiji la Arusha ina Manispaa ngapi...?!
Kima unayeishi milimani povu linakutoka kisawa sawa... Hapa tunaongelea Arusha wewe kima usiweke mipaka.. Uzi unaongelea Mwanza na Arusha sasa wewe unaanza kuweka mipaka sijui huko siko we nyambafuuu kweli...

Maisha ya WanaArusha wengi yako hivyo na data za UN zimesema hivyo.. Hapa si porojo hapa tunaenda kwa data tu... UN inasema Tanzania hii mikoa yenye maendeleo ya kweli ni Arusha, Kilimanjaro na Dar.. TRA inasema Arusha yenye watu laki 8 inakusanya kodi mara 2 ya Mwanza yenye watu million 3... NBS inasema Arusha per capita imeiacha kwa mbali Mwanza.. Wewe unaishia kupiga porojo mara halmashauri ngapi, hiyo inahusu nini?? Hizi Halmashauri mbona hazisaidii maskini wa kutupa kule milimani kuweka hata zahanati?? Hizo halmashauri mbona hazijengi vyoo maskini wasinye ovyo ovyo ziwani???

Angalie jiwe lisikuangukie wewe hahahahahahahahahahahaha
 
Sipo mwanza ila naahidi siku nikienda nitatupia maeneo yote ya kujidai yaliyopo mwanza.
 
Mwanza waeipiku arusha population yao kubwa afu manisipaa mbili ndo zinaunda jiji,huwa kuna vgezo vinaangaliwa ili sehemu iwe manispaa first ni population..so ata arusha ingekuwa populated pia ingekuwa the same..ishu nyngne mji kuwa mkubwa haina maana kuna kila kitu au ndo umejengeka sana..
Wanadhani kuwa na halmashauri mbili ni maendeleo kumbe yanazaana ovyo... Sasa watu hapo mjini tu wako 1.4 Million wakati Arusha ni laki 3 tu wanataka Arusha ipewe halmashauri mbili za nini???
 
Mpango wa satellite cities mwanza pia upo. Tena maeneo matatu.
hahahahahahahahaha weka picha... Alafu weka picha na hayo maeneo mabovu ya Arusha uliyosema sio unaongea bila picha mzee..

10275446_10152542126448775_1728166926340721020_o.jpg
 
Daraja lipi ilo?
Hapa tunaongelea Arusha ila huyo boya anaanza kuweka mipaka hahahahahahahahahaha... Si wanasema Arusha imejengwa eneo dogo sana sasa tukigusa huko USA wanakimbilia kusema huko sio Arusha ati tunaongelea Jiji la Arusha.. Hapa tunaongelea Arusha vs Mwanza hatutaki mtuwekee mipaka..
 
Back
Top Bottom