Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

[emoji81][emoji81][emoji81]nimecheka sana nme tumia dk 20 tu kui maliza arusha town yote ....kuliko fata ni mashamba ya bangi tu na kukutana na watu wame weka dhahabu mdomoni

[emoji81]ila A town kuna watoto wazuri full white..Tatizo menooo yao[emoji81][emoji81][emoji81]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana JF

Sina lengo la kupambanisha Mwanza Vs Arusha ila kiukweli nashindwa kuelewa nini kimeisibu Mwanza.

Mwaka 2002 Nikiwa shuleni Mwanza nilijiona kama nipo Dar ndogo. Mwanza ilikuwa moto. Mambo yalikwenda faster mji ulikua unakua kwa kasi sana

Nilikuwa nikiamini kufikia 2015 jiji la Mwanza litakuwa la mfano kwa ukuaji wake cha ajabu na kushangaza Arusha ndio inakuja faster huku Mwanza ikidorora kama mtoto mwenye utapiamlo, kulikoni?

Tatizo nini Mwanza? Kama kuongozwa imeongozwa na CDM muda mzuri tu kwanini haipai kwa kasi ilee!?

Nashindwa hata kulinganisha Mwanza VS Arusha maana Arusha kwa sasa ipo moto vibaya kama hali itaendelea kuwa hivi tutegemee Arusha kuwa ndio jiji la pili kwa ukubwa Mwanza inakuja kupitwa na Dodoma itanikera sana.
Ni 2025 miaka karibu 10 tangu ulipoandika thread yako.na naona walikupinga mdogo mdogo inakua kweli😀 hata makusanyo ya kodi yanaiweka Arusha nyuma ya Dar tu
1.Dar
2.Arusha
3.Dodoma
4.Mwanza
NB; Ni kweli dodoma inaipita mwanza sasa hivi watakataa tu ila ndio ukweli
 
Behind Dar is Dodoma
 
Behind Dar is Dodoma
Unaelewa kwenye kodi ya pili ni arusha Acha kukaza fuvu 😄
Au unachanganya kodi vs makusanyo ya halmashauri braza
NB: Ukiongelea kodi nchi hii ni Dar + Arusha full stop nyie wengine ni wachumba tu
 
Unaelewa kwenye kodi ya pili ni arusha Acha kukaza fuvu 😄
Au unachanganya kodi vs makusanyo ya halmashauri braza
NB: Ukiongelea kodi nchi hii ni Dar + Arusha full stop nyie wengine ni wachumba tu
Serengeti Airport ikikamilika kwishney habari yenu.
 
Back
Top Bottom