Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mi nachukizwa na watu ambao ktk comment zao lazima wawadiss wasukuma, they are trying to brin tribalism in the thread and spoil our minds. Tuzungumzie arusha jiji na mwanza jiji na siyo kutukanana
Nikweli mkuu
Hili limekuwa kama ugonjwa vile
 
Alafu hiz data cjui umezitoa wapi. Wastan ya kod inaypkusanya TZ ni around 1trion pa month sasa kma dar tu unasema ni zaidi ya I.T izo data umetoa wap?

Bongo wanakusanya zaidi ya Trillion 2 kwa mwaka... Nenda hapa ukajisomee mwenyewe www.tra.go.tz alafu nenda kwenye tax collection utaona kodi inayokusanywa mikoa yote
 
Mwanza hakuna maisha wala hakuna pesa.. Huwezi kuwa na population ya million 3 alafu unakusanya kodi billion 117 wakati Dar ina population ya Million 5 inakusanya Trillion kadhaa... Wakati Kilimanjaro yenye 1.5 Million inakusanya Billion 101.. Hapo ndio mjue Mwanza hakuna pesa hapo
Fact..
 
Huo ni uwendawazimu uliokithiri kusema eti mwanza hakuna maisha na watu wake ni washamba wakati wamasai wapo kila kona wanadhurura na kulala nje magetini, halafu unadai eti ni matajiri,. Empty set!!

Maskini wa kutupa yanaishi milimani pale Mwanza... Watu Million 3 70% ni useless maskini wa kutupa
 
Acha urongo wewe...
60+50=110%
Ndugu watazamaji naona ndugu moto chini nae kaingia katika huu mpambano, kwa hiyo umekuwa na ushindani wa hali ya juu sana.
Hadi tunatoka mitamboni Mwanza 67.9% na arusha 32.1%.
Tunawaomba muendelee kuwa na subira tutaendelea kuwapa matokeo kila baada ya mda mfupi.
Asanteni
 
Mi nachukizwa na watu ambao ktk comment zao lazima wawadiss wasukuma, they are trying to brin tribalism in the thread and spoil our minds. Tuzungumzie arusha jiji na mwanza jiji na siyo kutukanana

70% ya wasukuma hapo Mwanza ni useless.. Hahahahaha povu halikusaidii kuondoa hii fact
 
(6).jpg
Rock city
 
Back
Top Bottom