Tiny but the view is dope.. USA River
![]()
Saiv waekee za matejoo na ngarenaro[emoji1]Njiroo.. Neighborhood..
![]()
Kote huko tutawawekea... Sasa twende Haile SelassieSaiv waekee za matejoo na ngarenaro[emoji1]
hahahahahaha atakuwa anatoa lecture ya jumapili...Mkuu wa chuo kaenda wap?
Uzunguni ukoKote huko tutawawekea... Sasa twende Haile Selassie
![]()
Yeah maana wanasema Arusha ni Njiro tu... hahahahahaUzunguni uko
Ata sakina ya juu pako vzurYeah maana wanasema Arusha ni Njiro tu... hahahahaha
Wanadharau majengo akati skuiz kuna lami aseeAta sakina ya juu pako vzur
Kwani kule milimani kwao kuna lami mkuu??? Arusha huwezi kuifananisha na Mwanza hata kidogo.. Mwanza imezidiwa kila kituWanadharau majengo akati skuiz kuna lami asee