Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Najua hampendi tuweke hii maana mwanza hakuna...ila kwa wale ambao hawafaham huu ndo ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICCView attachment 347866View attachment 347867View attachment 347868View attachment 347869View attachment 347870
Hivi mkuu @mchomejr unajua AICC wanaanza ujenzi wa Ukumbi mkubwa Africa Mashari na kati wa mikutano utakaoitwa The Kilimanjaro International Conference Centre....?? Utagharimu karibu billion 210 za Kitanzania maeneo ya Njiro..??
 
Hapana hata kidogo nilikuwa naangalia yupi mwenye maisha kati ya msukuma na mmasai, kwa mujibu ya maelezo ya jamaa mmoja humu alivyodai ktk cmnt yake.

Wamasai laki 8 wanasaidia serikali kodi ya Billion 242, Wasukuma Million 3 wanatoa Billion 117... Sasa sema mwenyewe nani ni useless hapo hahahahaha
 
Hivi mkuu @mchomejr unajua AICC wanaanza ujenzi wa Ukumbi mkubwa Africa Mashari na kati wa mikutano utakaoitwa The Kilimanjaro International Conference Centre....?? Utagharimu karibu billion 210 za Kitanzania maeneo ya Njiro..??
Nafahamu mpaka eneo la ujenzi lilipo mkuu maana huku ndo home....huo ndo utafunika kila kitu...hahahaha..
 
Acha upunguani wewe..

Arusha 95%..... Mwanza 5%
Upunguani manake nini mdau,
Hizi mada zina vigezo na masharti sio wingi wa matusi na kejeli ndio ushindi.
Hadi tunaenda mitamboni Mwanza 67.9% na arusha 32.2%.
Tutaendelea kuwapa matokeo kila baada ya mda.
Asanteni
 
10903441_812924112108351_1442879596_n.jpeg
Karuta street mwanza
 
Ndugu watazamaji naona ndugu moto chini nae kaingia katika huu mpambano, kwa hiyo umekuwa na ushindani wa hali ya juu sana.
Hadi tunatoka mitamboni Mwanza 67.9% na arusha 32.1%.
Tunawaomba muendelee kuwa na subira tutaendelea kuwapa matokeo kila baada ya mda mfupi.
Asanteni
Mkuu hii tabia ya kujitekenya mwenyewe na kucheka umeinza lini..

Arusha 95%.... Mwanza 5%
 
Kuwa mpole kijana tunatoa mwelekeo wa mpambano, mbona unafosi ushindi?
Mwanza 67.9% na arusha 32.2%.
Note:
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Wamasai laki 8 wanasaidia serikali kodi ya Billion 242, Wasukuma Million 3 wanatoa Billion 117... Sasa sema mwenyewe nani ni useless hapo hahahahaha
Hehehe kweli umepanic
 
hizi mada zinagawa watu kikanda na kikabila, kuna mada nyingine ya moshi vs dodoma, hazina tija...

Hawa ni watu wa kilimanjaro na wakiwa na makabila 8 k.v wamachame wasiha wakibosho wamarangu warombo wa old moshi kwa pamoja wakijiita wachaga ndo wanapenda sana haya mambo ya kutaka kujionyesha kuwa wao ni bora na zaidi kuliko watu wengine hapa Tz.

Wana ukabila na wapo tofauti kabisa na makabila mengine ya kitanzania .

Wao ni wa kenya asilia mana ndo tabia zao zinarandana nao.
Mana kenya ukabila ndo kwako na mtu mwiko kuitwa majina yote mawili ya kikristo.
Lazima moja la kikabila ni wanafahamiana kwa muonekano ni kamaa umuonavyo mchaga lazima umtambue.

Hawa jamaaa walikuwa Tanzania bahati mbaya pale Nyerere alipompa Kenyata bandari ya Mombasa na yeye akakubali Mt Kilimanjaro kuwa Tanzania ndo wachaga wakawa hapa kwetu.

Makabila yote Tz yana utu ila wachaga hawana utu kwako ni pesa mbele.

Kama hauna pesa afu upo mbali kwenu kilio kikitokea haupati taarifa.

Ukiwa mkubwa nyumbani hauna hela mdogo wako akija na ndo mwenye hela ww mkubwa utaambiwa ukamate kuku kaka yako achinjiwe
 
Back
Top Bottom