Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,626
- 5,346
Ukipita kwa Mrefu mbele kidogo...Daraja lipi ilo?
Ukipita kwa Mrefu mbele kidogo...Daraja lipi ilo?
Acha kujidai unaijua arusha man eti ukipita kwa mrefu kdgo haha kumbee nabishana na hewaUkipita kwa Mrefu mbele kidogo...
Wewe acha urongo.. 70% Mwanza ni maskini wa kutupa.. hahahahahahhaa hizo starehe mtaziwezea wapiSipo mwanza ila naahidi siku nikienda nitatupia maeneo yote ya kujidai yaliyopo mwanza.
Mi naishi Arusha... sibishani tu kwa ligi...Acha kujidai unaijua arusha man eti ukipita kwa mrefu kdgo haha kumbee nabishana na hewa
Mwambie aweke picha za Kijenge maana anasema huko ndio uswahiliniAcha kujidai unaijua arusha man eti ukipita kwa mrefu kdgo haha kumbee nabishana na hewa
Arusha ipi unayoishi kama hujui mbele ya kwa mrefu peleka ufara uko..Mi naishi Arusha... sibishani tu kwa ligi...
Kwanini unanitukana, nimekukosea nini...?!Arusha ipi unayoishi kama hujui mbele ya kwa mrefu peleka ufara uko..
Skia naomba ukiona reply yangu usini quote huu ni mtandao tu stak matatzo na tcra mm...Kwanini unanitukana, nimekukosea nini...?!
hahahahahahahahaha Mwanza 70% ni maskini wakutupa wasio hata na vyooTukitoka apa ni dar vs mwanza