Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Hadi tunakwenda mitamboni kwa mara ya pili Mwanza 60% arusha 50%.
Ngoja tuendelee kuona matokeo.
 
hahahahahaha matajiri wa Mwanza haoo.. Eti ndio wanafananisha Njiro na Capri Point.. Mnakaa na mawe kama kima..
IMG-20130412-WA0000.jpg
 
Iyo mimawe inazngua asee
Hivi ukipata emergency ambulance itawahi huko??? Tukisema maisha ya Mwanza ni duni ndio hii tunamaanisha.. Jiji lenye watu Million 3 kasoro kidogo sana linazidiwa kodi na Jiji lenye watu laki 8.. Alafu hapohapo wanadanganya mzunguko wa pesa mkubwa.. Yaani watu millioni 3 kodi inakusanywa Billion 117 wakati Arusha watu laki 8 kodi inakusanywa Billion 242
 
Sioni sababu ya kuwaita wanamwanza makima na washamba ihali wamasai ndo walinzi wao magetini. This is a nice match but u want to spoil it.
 
Tatizo ni samaki wameisha ziwa victoria. Vwanda vya samak vimekufa hta vya pamba pia vimekufa vimebaki vya bia na viroba.
Wale Samaki wanaouzwa soko kuu la Arusha wametokea Ziwa Duluti unataka kutuambia ama...?
 
Back
Top Bottom