Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Nataka kuwaonyesha sifa mnazojipa ni maneno mengi tu na kuonyesha uwezo wa kupayuka lakini haziendani na uhalisia...

Kuna mwingine naona ana post picha eti makazi ya watu, analeta picha za PPF Olerien na maeneo mengine ya apartment usikute yeye mwenyewe anayepost hizo picha yupo Chekereni au Mwanama Relini, halafu analeta mbwembwe nyingi...
Hv kwan mwanama watu hawajajenga na huko chekereni pia afu kwa taarifa yako mji ndo unapokimbilia boy
 
Vitu kama hivi Mwanza maskini wengi huwezi kuwekewa, kule wanavua samaki tu.. Club D Arusha

DJ-instruments-4.jpg
DSC05314.JPG
 
Uliwahi kuona wapi mji wowote mkubwa stendi ya mabasi yakwenda mikoani na inch za jiran inakaa ktk ya mji?hiyo tu niashara yakwamba mji bado nimdoja sana yaana haujapanuka bado
Stendi inahamia kwa mromboo kama hujui iyo ndo city plan
 
Hv kwan mwanama watu hawajajenga na huko chekereni pia afu kwa taarifa yako mji ndo unapokimbilia boy
Wamejenga lakini sio majengo kama ya huyo mzee wa mbwembwe nyingi anayepost picha, eti club D halafu anawatukana watu wa Mwanza ni maskini hawawezi kuwa na sehemu kama hiyo mi hapa nilipo nacheka sana, hivi mtu sehemu hujawahi kufika halafu unaanza kuponda namna hiyo utakuwa lazima una matatizo...

Ndio maana nimebaki namuangalia namuona ze komedi tu...
 
Kweli wewe inaonekana kidogo kutembea utakuwa mzembe ulishawahi kufika maraika beach? Au nikutajie nasehem nyingine kibao ndan mwanza
 
Haha umenkumbusha mtaa apo silent inn ukipanda juu maskan kabsa
Mwanza hakuna mtaa unaofikia Sakina kwa mijengo... Watu wanaishi kwenye mawe hawana vyoo alafu wanatupigia kelele hapa hahahahaha
 
hahahahahaha matajiri wa Mwanza... Huko ndio Capri Point wanakoishi matajiri hahahahahahaha.. Sema Mwanza Mwanza
Vacation+123.jpg
 
Back
Top Bottom