samyz
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 589
- 311
Wamesepa aseeHave your Spanish Home at Arusha..
![]()
Wamesepa aseeHave your Spanish Home at Arusha..
![]()
Ulidhani wataacha kukimbia?? Waliweka vile vinyumba viwili vya kwenye mawe wakamaliza.. hahahahahaWamesepa asee
Basi Urban ya Arusha pia ina watu laki 3 tu... Still Mwanza is 4 times populated than Arusha..Alafu sio sahihi kusema eti urban area ya mwanza ina wakaazi 3million,hapana ina about 1.4 milion people
Duh....hii kali.Mwanza Mwanza.... hahahahahahaha Airport hapo
![]()
Mangosha yamelala mbele hahahahahahaDuh....hii kali.
Hahahaha...wakija arusha waombe tuwatembeze sio wanaishia mianzini alaf wanakuja kupiga kelele huku.Mangosha yamelala mbele hahahahahaha
Nipo tu naangalia jamaa yako anaweka Makazi ya watu sijui ni watu wa type gani anawaongelea, mi nilidhani ataweka makazi ya watu Mianzini, Ngulelo, Mbauda, Kimandolu, Kijenge au Majengo huko...Mkuu wa chuo kaenda wap?
Eti mtu yuko busy kuponda Sekei alafu anakaa Mwanza hahahahaha.. Yeye kule Milimani haoni hali ilivyo mbaya mpaka mawe yanawaporomokea wanapoteza maishaHahahaha...wakija arusha waombe tuwatembeze sio wanaishia mianzini alaf wanakuja kupiga kelele huku.
Haha io ni airpot au bandari?Mwanza Mwanza.... hahahahahahaha Airport hapo
![]()
Nimeweka nyumba za watu kwenye makazi tofauti kuanzia Njiro, Uzunguni, Sakina, Sanawari, Burka, Moshono mpaka USA River...Nipo tu naangalia jamaa yako anaweka Makazi ya watu sijui ni watu wa type gani anawaongelea, mi nilidhani ataweka makazi ya watu Mianzini, Ngulelo, Mbauda, Kimandolu, Kijenge au Majengo huko...
Anaweka apartments halafu anasema hayo ndio makazi ya watu wote huku...
Sasa mi nabaki kucheka tu...