Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,626
- 5,346
Mi naongelea GDP hiyo uliyoweka ipo ukurasa wa ngapi...?! Kwenye ile report niliyokutumia...?!Mkuu wangu umeleta Argument nzuri sana na mwishowe umeingia kingi mwenyewe.. Ile mikoa ambayo ilitajwa kwenye Human Development Index ikiongoza kwa Per Capita Income ndio hata hapa imetajwa pia.. Ile mikoa iliyotajwa kuwa inaongoza kwenye ile report iliyotolewa na UNDP pia inadhibitishwa hapa...
Soma vizuri wakati Arusha per capita ikiwa 2.1 million Mwanza ni 1.7 million... Mikoa inayoongoza hapa ni Dar, Arusha, Kilimanjaro, Iringa, Ruvuma na Mbeya ndio ina Million 2 na kuendelea... Hii PDF umeitoa mwenyewe mkuu...
View attachment 347279
Umeangalia ule ukurasa wa 45 niliokwambia mi siongelei HDI, mi naongelea katika kuchangia pato la Taifa...
Anzia ukurasa wa 45 ndio uende mpaka huko 52 ambapo ndionaona hilo jedwali...