Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,806
Ukiondoa ofisi za kimataifa, kuna umaarufu gani mwingine?
Ndio umaarufu wenyewe huo, kwani Mwanza ukiondoa Ziwa Victoria kungekuwa na nini cha màana?? Probably ingekuwa kama Bariadi tu.
Ukiondoa ofisi za kimataifa, kuna umaarufu gani mwingine?
Haiwezi kuifikia Arusha kivipi!?
Chukulia mfano
Dar iliachwa mbali na Nairobi
Lakini kwa sasa ni vitu vichache sana tumebakiza kuipindua Nairobi
Tuache mzaha Arusha itaipindua Mwanza kwa kasi hii
Mi nawashangaa wengne wametembea arusha juu kwa juu hawajajua plan za mji..uku kuna adi viwanda vya kumodify magariIipindue mara ngapi??? Arusha imejengeka zaidi kuliko Mwanza. Zaidi ni beach tu,hakuna lingine
Mtu anakuja anaishia stand halafu anakumbia arusha hamna sehemu za kupumzikia hawa jamaa wa ajabu sanaMi nawashangaa wengne wametembea arusha juu kwa juu hawajajua plan za mji..uku kuna adi viwanda vya kumodify magari
Acheni kufurahisha kijiwe kama Kilimanjaro anampita Mwanza kwa GDP tena hata Shinyanga tu mi nakula ndala...Haha hii ripoti nmeipitia mkuu asa apo ndo kuna ukweli hadi gdp mwanza inapitwa na kilimanjaoro sembuse arusha wanakataa ukweli ee huku level nynge afu hao ni according to un.
Acheni kufurahisha kijiwe kama Kilimanjaro anampita Mwanza kwa GDP tena hata Shinyanga tu mi nakula ndala...
Arusha pia akimzidi Shinyanga kwa GDP kwa data zilizopo mi natafuna kobazi...
Nataka data za GDP zile za BOT kama yupo hata juu ya Shinyanga mi nakula Ndala na kutafuna Kobazi...Data umeshawekewa huko juu wewe endelea kujifurahisha au bishana na data
Sasa unabishana na ripoti ya human development aya tupe yako ss tuangalie sio unabisha bisha na data proof.Acheni kufurahisha kijiwe kama Kilimanjaro anampita Mwanza kwa GDP tena hata Shinyanga tu mi nakula ndala...
Arusha pia akimzidi Shinyanga kwa GDP kwa data zilizopo mi natafuna kobazi...
Mi naongelea GDP siongelei HDI, katika kuchangia pato la Taifa, sasa leteni report inayoonyesha Arusha ipo juu hata ya Shinyanga...Sasa unabishana na ripoti ya human development aya tupe yako ss tuangalie sio unabisha bisha na data proof.
Rejea juu kuna rpot ya traMi naongelea GDP siongelei HDI, katika kuchangia pato la Taifa, sasa leteni report inayoonyesha Arusha ipo juu hata ya Shinyanga...
Naona hatuelewani, hivi unaelewa GDP kweli...?!Rejea juu kuna rpot ya tra
Naelewa mkuu kama unayo eka apa kwa faida ya wote sio tunabishana vtu havipo mezanNaona hatuelewani, hivi unaelewa GDP kweli...?!
Niliona mtu ameiweka tena ndani ya huu uzi, pia akaweka na post ile ya Zitto akikosoa ile report mnayoifagilia...Naelewa mkuu kama unayo eka apa kwa faida ya wote sio tunabishana vtu havipo mezan
Hata kama imeshindwa hapa mnajifurahisha tu,katika data za Serikali ndio second largest...Hahaaa Mwanza imeshindwa noma sana. Arachuga all time.
Jiongezee mkuuNiliona mtu ameiweka tena ndani ya huu uzi, pia akaweka na post ile ya Zitto akikosoa ile report mnayoifagilia...
Akawa anashangaa Shinyanga ni mkoa ambao upo kwenye ile kumi za mwisho maana hiyo report mnayoifagilia ilitoa mikoa kumi ya kwanza na ya mwisho, Kilimanjaro ilionyesha ni mkoa wa pili baada ya Dar katika hiyo report yenu pendwa...
Sasa Zitto akawa anashangaa inakuwa vipi Shinyanga anayemwacha Kilimanjaro mbali katika GDP anakuwa wa mwisho katika hiyo report katika list ile ya mikoa ya mwisho...
Report ya GDP imewekwa humu, au kama vipi check BoT...