Zuwenna
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,203
- 4,111
Nawe jaribu kutembea ArushaMwanza ilikuwa zamani
Jaribu kutenbea
Wacha kuangalia picha moja moja ya majengo
Arusha ni kama minispaa tu hakuna cha jiji pale
Nawe jaribu kutembea ArushaMwanza ilikuwa zamani
Jaribu kutenbea
Kwa hyo rocyt mmewekewa hapo ndo useme jj nenda arusha utaona jiji co hicho kimji mnaita jjArusha kuna mjigani wewe
Unaisikia Mwanza wewe
Rock city ndio jiji la pili kwa ukubwa Tanzania
Hehehe haya mkuuWewe mtoa mada inaonekana umeingia leo mwanza yaani mwanza ya miaka ile 2002 ulinganishe na mwanza ya 2016 acha utani mwanza imepiga hatua sana ninachokushauri nenda kwenu kigoma mkajenge dubai mliyoahidiwa na jk mwanza yetu tuachie wenyewe
Hapa Arusha hamna Mall yoyote..ni visupermarket vya wahindi tu...Bora hata Moshi ina Nakumatt alianzia kule kabla hajaja hapa.Mwanza oooooh mwanza mwanza mji mzuri oooooh ndani ya mwanza eeeeeh
kwa hiyo arusha hakuna Nakumat wala shoprite?Hapa Arusha hamna Mall yoyote..ni visupermarket vya wahindi tu...Bora hata Moshi ina Nakumatt alianzia kule kabla hajaja hapa.
Nilijua tu utakuja kwenye mall maana hicho ndo sasahivi mwanza kimekuwa gumzo...ile mall ni nzuri kwa kweli...ila arusha kuna hii ambayo soon inafunguliwa..Hapa Arusha hamna Mall yoyote..ni visupermarket vya wahindi tu...Bora hata Moshi ina Nakumatt alianzia kule kabla hajaja hapa.
Hapo unawazungumzia wenyeji wanaokunya ziwani kisa hawana vyoo, miundombinu hafifu kiasi kwamba mvua ikinyesha ni majanga tupu, maji shida japokuwa wapo karibu na ziwa, wavuta bangi wanaodeki lamiAcheni kuifananisha Mwanza na upuuzi,Arusha bado ni Manispaa tu...hakuna cha maana japo taasisi kubwa za kiserikali Kama TANAPA,TAEC,AICC zina makao Makuu...ila Mwanza inajengwa na wanamwanza wenyewe...Kutoka Igoma mpaka Buhongwa ni Route ndeefu ila.bado uko ndani ya jiji na hamna uswahili...Mwanza ni kubwa imepanuka na huduma kubwa kubwa za kibiashara na si Arusha...
Niko Arusha mwaka wa Sita sasa ila nikifika Mwanza najisikia raha...hasa nikiwa Kenyatta road kuelekea Airport ukiona mwambao wa Victoria ni Raha hasa...Huku Arusha ni viroba na bangi tu...sehem ambayo iko vzuri ndo inaendelea kwa sasa ni Njiro,tena Mwisho ni hapa Njiro kwa Msola...ila maeneo mangi ni uswahili afu kamji ni kadogo mno.
Mwanza ndo jiji la pili kwa ukubwa,wingi wa watu na kiuchumi...Jamani mnapoandika vitu mfikrie vzuri.MWANZA ipo Top five ya majiji Afrika Mashariki..na si Manispaa ya Arusha