Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,626
- 5,346
Nijiongezee nini tena...?!Jiongezee mkuu
Nijiongezee nini tena...?!Jiongezee mkuu
Niliona mtu ameiweka tena ndani ya huu uzi, pia akaweka na post ile ya Zitto akikosoa ile report mnayoifagilia...
Akawa anashangaa Shinyanga ni mkoa ambao upo kwenye ile kumi za mwisho maana hiyo report mnayoifagilia ilitoa mikoa kumi ya kwanza na ya mwisho, Kilimanjaro ilionyesha ni mkoa wa pili baada ya Dar katika hiyo report yenu pendwa...
Sasa Zitto akawa anashangaa inakuwa vipi Shinyanga anayemwacha Kilimanjaro mbali katika GDP anakuwa wa mwisho katika hiyo report katika list ile ya mikoa ya mwisho...
Report ya GDP imewekwa humu, au kama vipi check BoT...
Niliona mtu ameiweka tena ndani ya huu uzi, pia akaweka na post ile ya Zitto akikosoa ile report mnayoifagilia...
Akawa anashangaa Shinyanga ni mkoa ambao upo kwenye ile kumi za mwisho maana hiyo report mnayoifagilia ilitoa mikoa kumi ya kwanza na ya mwisho, Kilimanjaro ilionyesha ni mkoa wa pili baada ya Dar katika hiyo report yenu pendwa...
Sasa Zitto akawa anashangaa inakuwa vipi Shinyanga anayemwacha Kilimanjaro mbali katika GDP anakuwa wa mwisho katika hiyo report katika list ile ya mikoa ya mwisho...
Report ya GDP imewekwa humu, au kama vipi check BoT...
Dar tops wealth list, Arusha 7th despite tourist charmNaomba utuwekee hizo data kutoka official page ya taasis yeyote ya serikali sio mabandiko ya magazeti ya udaku... Sisi tumekuwekea vyanzo kama TRA pamoja na Research iliyofanywa na UNDP ikishirikiana na GoT.. Wewe tuwekee link ya BOT inayosema hayo unayosema
Sasa iyo citizen m nmeeka arusha times apo mmekataa
www.nbs.go.tz/.../TzMainland_NA_2000...Tuwekee hapa link ya BOT sio vimagazeti.. Official data kama hizo lazima ziwepo kwenye taasis ya kiserikali.. Sisi tumewawekea ukusanyaji wa kodi kutoka www.tra.go.tz
Mm naishi mwanza aiwezi kufikia arusha hotel zote za mwanza azifikii nusu ya hotel ngurudotomwsnza ina manispaa mbili...huku arusha kapo ka manispaa kamoja tu..
in short mji wetu wa arusha bado mdogo sana. ...compare na MWANZA
Kuna pdf ninayo nimeshindwa kuituma sababu na simu natumia na hiyo link niliyotuma hapo juu ya National Bureau of Statistics haijakamilika lakini ina report katika pdf ukurasa wa 45 ukionyesha GDP katika kila mkoaTuwekee hapa link ya BOT sio vimagazeti.. Official data kama hizo lazima ziwepo kwenye taasis ya kiserikali.. Sisi tumewawekea ukusanyaji wa kodi kutoka www.tra.go.tz
Yap nikweli haijakamilika sababu kuna pdf hapo nimeshindwa kuituma sababu natumia simu ungeenda kusoma ukurasa wa 45 ngojea nijaribu kuingia nbs kabisa nikupatie link...Hiyo link inajibu not found...
Kuna pdf ninayo nimeshindwa kuituma sababu na simu natumia na hiyo link niliyotuma hapo juu ya National Bureau of Statistics haijakamilika lakini ina report katika pdf ukurasa wa 45 ukionyesha GDP katika kila mkoa
Lakini pia unaweza ukaingia katika hii link ya website ya Arusha uone GDP kwa kila mkoa
Regional GDP Per Capita - Page 3
Ngojea nikuletee za karibuni sijui utasingizia nini tena...?!Kabla hujatuwekea data humu mkuu angalia na mwaka.. Hizo ni data za 2007...
Mm naishi mwanza aiwezi kufikia arusha hotel zote za mwanza azifikii nusu ya hotel ngurudoto
Ingia kwenye hii link ya nbs kwenye national accounts of Tanzania mainland kutoka mwaka 2007 hadi 2014 u download ile pdf uende ukurasa wa 45 uangalie kwa miaka yote hiyo mtiririko ulivyokuwa , Arusha anaachwa mbali na mikoa kama sita hivi, lakini hapo hapo Mwanza ikiwa ya pili baada ya Dar es salaam, ingia pale kwenye latest news kwenye hii link uangalie nilichokuelekeza hapo juu...Kabla hujatuwekea data humu mkuu angalia na mwaka.. Hizo ni data za 2007...
Mkuu wangu umeleta Argument nzuri sana na mwishowe umeingia kingi mwenyewe.. Ile mikoa ambayo ilitajwa kwenye Human Development Index ikiongoza kwa Per Capita Income ndio hata hapa imetajwa pia.. Ile mikoa iliyotajwa kuwa inaongoza kwenye ile report iliyotolewa na UNDP pia inadhibitishwa hapa...Ingia kwenye hii link ya nbs kwenye national accounts of Tanzania mainland kutoka mwaka 2007 hadi 2014 u download ile pdf uende ukurasa wa 45 uangalie kwa miaka yote hiyo mtiririko ulivyokuwa , Arusha anaachwa mbali na mikoa kama sita hivi, lakini hapo hapo Mwanza ikiwa ya pili baada ya Dar es salaam, ingia pale kwenye latest news kwenye hii link uangalie nilichokuelekeza hapo juu...
National Bureau of Statistics | Statistics for Development