Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Haha mbuzi kafia kwa muuza supu
Jamaa analeta vitu ambavyo hivyo hivyo vinamuumbua... Tatizo kuu la Watanzania ni kutokusoma kitu mpaka mwisho akakielewa... Soma post yangu #455 utaelewa vizuri kwamba data huwa hazipingani hata zikikusanywa na mashirika kumi tofauti yenye weledi..
 
Mkuu hivi vitu ni uchumi sio tupige porojo zisizo na Msingi... Hakuna Data yeyote ambayo imeiweka Mwanza mbele ya Arusha hata sehemu moja kwenye makabrasha ya serikali... Mwanza bado sana kwa Arusha.. Data ambazo umeleta wewe mwenyewe hapa zimekuumbua pia sababu hata mambo ya kiuchumi sidhani kama unayafahamu kwa undani...

Ile ambayo wewe umeikomalia inasema Per Capita ya Dar 13 M, Mwanza 7 M na mikoa yote iko juu ya 2 M pale hawakutumia current prices kutafuta hizo GDP... Average GDP ya Tanzania ni Tshs. 1.7 M kwa mwaka 2014 na bandiko lako linasema pia; ngoja nikuwekee ni ukurasa wa 44

View attachment 347284

Sasa kwa akili ya kawaida tu unaweza ukachukua hilo jedwali ambalo wewe unaling'ang'ania ukajumlisha zile GDP za mikoa yote ukagawanya kwa idadi ya mikoa ikaleta hiyo 1.7 M???? Jibu ni kwamba haiwezekani... Sasa chukua hili jedwali, jumlisha mikoa yote alafu gawanya kwa idadi uone kama haitakuletea 1.7 M ambayo ndiyo GDP ya kila Mtanzania..

View attachment 347285

Hapo Arusha iko mbele sana ya Mwanza, na Kilimanjaro pia iko mbele ya Mwanza... Hizi data umeleta wewe mwenyewe mkuu sijazileta mimi. Ila nikushauri tu, kabla hujaleta mabandiko humu inakupasa kwanza uwe na uelewa nayo lakini pia uyasome kwa makini usikurupuke...

Sasa ukitaka uone haya mambo ni kweli; pitia hii hapa chini ambayo niliiweka kutoka kwenye utafiti wa UNDP kushirikiana na GoT... Linganisha hiyo mikoa iliyotajwa kuwa na GDP per capita kubwa na hiyo mikoa ambayo imetajwa na hiyo uliyoileta utaona mikoa ni ile ile ambayo ni Dar, Iringa, Kilimanjaro, Mbeya na Ruvuma...

View attachment 347287

HADI HAPA UKIENDELEA KUBISHA BASI UTAKUWA NA MATATIZO YAKO TU.. ILA DATA ZOTE ZIMEIWEKA ARUSHA MBELE YA MWANZA...
Zile title za yale majedwali kwani zinasemaje...?! Nimekuletea habari kutoka citizen na website ya Arusha zikielezea kama mimi nilivyokuelezea lakini wewe unakuja na maelezo tofauti inamaana wewe ni mchumi na unaelewa zaidi kupita wote...

Lile bandiko la facebook la Zitto Kabwe ameelezea kwa uzuri zaidi na Zitto ni mchumi kuzidi wewe, bado unakataa tu...

Labda nikuulize swali hivi walioipa Mwanza hadhi ya jiji mwaka 2000 walikuwa ni wehu...?! Kwanini ilianza Mwanza na sio Arusha ambapo kwa mujibu wako inaipita kila kitu Mwanza...
 
Jamaa analeta vitu ambavyo hivyo hivyo vinamuumbua... Tatizo kuu la Watanzania ni kutokusoma kitu mpaka mwisho akakielewa... Soma post yangu #455 utaelewa vizuri kwamba data huwa hazipingani hata zikikusanywa na mashirika kumi tofauti yenye weledi..
Sjui kasomea wap hesabu asee
 
Zile title za yale majedwali kwani zinasemaje...?! Nimekuletea habari kutoka citizen na website ya Arusha zikielezea kama mimi nilivyokuelezea lakini wewe unakuja na maelezo tofauti inamaana wewe ni mchumi na unaelewa zaidi kupita wote...

Lile bandiko la facebook la Zitto Kabwe ameelezea kwa uzuri zaidi na Zitto ni mchumi kuzidi wewe, bado unakataa tu...

Labda nikuulize swali hivi walioipa Mwanza hadhi ya jiji mwaka 2000 walikuwa ni wehu...?! Kwanini ilianza Mwanza na sio Arusha ambapo kwa mujibu wako inaipita kila kitu Mwanza...
Zitto ndio nani mkuu?? Tatizo la watanzania ni kuwaamini wanasiasa kwa kila kitu.. Hivi Zitto mnamwona ana elimu sana?? Mbona humu JF kuna watu wana elimu mara 10 ya huyo Zitto??

Umeleta data humu, tena umeleta mwenyewe na bado hizo data zimekuumbua sasa unakimbilia kwa Zitto tena kapost sijui Facebook, dude are u serious on head?? Nilileta data za UN wakishirikiana na GoT zikisema Arusha iko mbele, ukakataa.. Umeleta za kwako kutoka NBS bado nazo zinasema Arusha iko mbele lakini bado unabisha... Sasa unataka tukuelewaje mkuu??

DATA ZA UN ZINASEMA ARUSHA MWAKA 2012 GDP PER CAPITA NI SHILLING 1,300,000 NA MWANZA SHILLING 900,000.... DATA ZA NBS ZINASEMA ARUSHA 2014 NI SHILLING 2,108,357 NA MWANZA NI SHILLING 1,790,731... PINGANA NA HIZO DATA MOJA NILILETA MIMI NA NYINGINE UMELETA WEWE MWENYEWE..
 
Ni shida sana mtu nimemuwekea na takwimu mikoa inayoongoza kuchangia pato la Taifa, anakuja kunipigia hesabu gani hata sijui...
Huna akili na tunaomba ubadilishe hilo jina unalojiita...

Huwezi kujiita mkuu wa chuo wakati kichwani ni mweupe..
 
Zitto ndio nani mkuu?? Tatizo la watanzania ni kuwaamini wanasiasa kwa kila kitu.. Hivi Zitto mnamwona ana elimu sana?? Mbona humu JF kuna watu wana elimu mara 10 ya huyo Zitto??

Umeleta data humu, tena umeleta mwenyewe na bado hizo data zimekuumbua sasa unakimbilia kwa Zitto tena kapost sijui Facebook, dude are u serious on head?? Nilileta data za UN wakishirikiana na GoT zikisema Arusha iko mbele, ukakataa.. Umeleta za kwako kutoka NBS bado nazo zinasema Arusha iko mbele lakini bado unabisha... Sasa unataka tukuelewaje mkuu??

DATA ZA UN ZINASEMA ARUSHA MWAKA 2012 GDP PER CAPITA NI SHILLING 1,300,000 NA MWANZA SHILLING 900,000.... DATA ZA NBS ZINASEMA ARUSHA 2014 NI SHILLING 2,108,357 NA MWANZA NI SHILLING 1,790,731... PINGANA NA HIZO DATA MOJA NILILETA MIMI NA NYINGINE UMELETA WEWE MWENYEWE..
Labda nikuulize swali hizo data ulizoweka ndio zinaonyesha kuchangia pato la Taifa...?!

Walioipa Mwanza hadhi ya jiji mwaka 2000 hawakuelewa na wala hawakuona silolote si chochote...?!
Mbele ya Arusha ambayo imeizidi Mwanza kila kitu kwa mujibu wako...
 
Sjui kasomea wap hesabu asee
Kasoma wapi... si unaona wanabishana na data wanakimbilia kusema Zitto kasema... teh teh teh teh yaani mtu analeta data mwenyewe alafu anazikataa... Kama uchumi hukusoma ni bora ukae kimya.. Hata GDP inavyotafutwa hujui ila kelele nyingi..
 
Labda nikuulize swali hizo data ulizoweka ndio zinaonyesha kuchangia pato la Taifa...?!

Walioipa Mwanza hadhi ya jiji mwaka 2000 hawakuelewa na wala hawakuona silolote si chochote...?!
Mbele ya Arusha ambayo imeizidi Mwanza kila kitu kwa mujibu wako...
Hivi wewe si ndiye ulisema Mkapa ndiye alipendelea huko?? Sasa kama na hiyo hadhi mlipewa tu kwa upendeleo unataka tuhoji??

Bishana na data... Acha porojo sijui jiji sijui nini.. Ruvuma sio jiji ila linachangia pato kubwa kuliko Jiji la Tanga na watu wa Ruvuma wanaishi vizuri kuliko hata wa huko jijini Tanga...

Nakushauri kwa argument hizi za kitoto acha kutumia hilo jina.. Honestly nilikuwa naheshimu sana ID hii nikijua ni ya PhD holder mmoja kumbe hakuna kitu kabisa...
 
Huna akili na tunaomba ubadilishe hilo jina unalojiita...

Huwezi kujiita mkuu wa chuo wakati kichwani ni mweupe..
Sina haja ya kuendelea kubishana na wewe ambaye umekalia kuniambia sina akili unawaita watu hawana akili...
 
Ni kweli huna akili na kama unazo basi umeshindwa hoja ila hutaki kukubali... Data ulizoleta wewe mwenyewe zimekuambia wazi Arusha iko mbele ya Mwanza, data nilizoleta zinasema hivyo hivyo.. Hizi data ni za Serikali ila wewe umekimbia unasema Zitto kawaambia sijui Mwanza, sijui Shinyanga... Huyo Zitto yeye ni serikali?? Huo utafiti wa Zitto umetoka wapi??

Yaani wewe uko hapa kubishana na TRA, NBS, UN kwa sababu eti Zitto aliwaambia... Hivi hapo nikikwambia huna akili unakasirika nini??
 
Hivi wewe si ndiye ulisema Mkapa ndiye alipendelea huko?? Sasa kama na hiyo hadhi mlipewa tu kwa upendeleo unataka tuhoji??

Bishana na data... Acha porojo sijui jiji sijui nini.. Ruvuma sio jiji ila linachangia pato kubwa kuliko Jiji la Tanga na watu wa Ruvuma wanaishi vizuri kuliko hata wa huko jijini Tanga...

Nakushauri kwa argument hizi za kitoto acha kutumia hilo jina.. Honestly nilikuwa naheshimu sana ID hii nikijua ni ya PhD holder mmoja kumbe hakuna kitu kabisa...
Sikusema Mkapa alipendelea huko ila katika awamu yake ya pili alipakumbuka huko aliweka lami akaweka na miundombinu alijitahidi...

Na kipindi hicho ndio ikaanza kukua sasa kwa kasi...

Lakini hapa tunajadiliana tu, sioni haja ya kuanza kutukanana, kama vipi mi nakutema tu...
 
Very true ...serikali iweke Mtwara bila kusahau kwetu Bukoba ...
Bukoba tangia ile vita mlianguka sana... Ila naona sasa mnaanza kustawi tena.. Kila la heri huko, chapeni kazi, ongezeni na base ya viwanda kutoka Kagera Sugar mkifungua vingine vichache mtapiga hatua sana...

Tatizo lenu ni moja tu, vigogo wenu tunakunywa nao bia huku mijini tu nyumbani wamekusahau..
 
Back
Top Bottom