Acheni kuifananisha Mwanza na upuuzi,Arusha bado ni Manispaa tu...hakuna cha maana japo taasisi kubwa za kiserikali Kama TANAPA,TAEC,AICC zina makao Makuu...ila Mwanza inajengwa na wanamwanza wenyewe...Kutoka Igoma mpaka Buhongwa ni Route ndeefu ila.bado uko ndani ya jiji na hamna uswahili...Mwanza ni kubwa imepanuka na huduma kubwa kubwa za kibiashara na si Arusha...
Niko Arusha mwaka wa Sita sasa ila nikifika Mwanza najisikia raha...hasa nikiwa Kenyatta road kuelekea Airport ukiona mwambao wa Victoria ni Raha hasa...Huku Arusha ni viroba na bangi tu...sehem ambayo iko vzuri ndo inaendelea kwa sasa ni Njiro,tena Mwisho ni hapa Njiro kwa Msola...ila maeneo mangi ni uswahili afu kamji ni kadogo mno.
Mwanza ndo jiji la pili kwa ukubwa,wingi wa watu na kiuchumi...Jamani mnapoandika vitu mfikrie vzuri.MWANZA ipo Top five ya majiji Afrika Mashariki..na si Manispaa ya Arusha