Kuna mahali naona mikoa yenye maendeleo ni kilimanjaro,arusha,dar ila facebook sidhani kama ni ya kuaminika anyway leta data za mwanza mi nakusanya data za mapato ya arusha sasa hivi nasubiri kujibu.
Usiangalie FbKuna mahali naona mikoa yenye maendeleo ni kilimanjaro,arusha,dar ila facebook sidhani kama ni ya kuaminika anyway leta data za mwanza mi nakusanya data za mapato ya arusha sasa hivi nasubiri kujibu.
Teh!.Wee chalii vipi kwani mashindano lazima ushinde ujue naumia jiji langu nalolipenda linakuwa nyuma kuchangia uchumi wa taifa.Ila sikubali nimegoogle sijaridhika naenda kusaka data benki kuu hapa arusha usintanie kabisa.Usiangalie Fb
Angalia alie leta habari Fb
Na chanzo cha habari
Mwaka 2013 umeikataa
Nimekupa ya 2015
Bado unabisha
Hebu lete zako
Hahaha kumbeee [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh!.Wee chalii vipi kwani mashindano lazima ushinde ujue naumia jiji langu nalolipenda linakuwa nyuma kuchangia uchumi wa taifa.Ila sikubali nimegoogle sijaridhika naenda kusaka data benki kuu hapa arusha usintanie kabisa.
Kingine ni Viwanda vingi Mwanza kupwayaKinachoifanya Mwanza ishuke sasa ivi. Mwanza biashara nyingi zimeamia Kahama. Mizigo mingi iliyokuwa inakuja na Treni kwenda Bukoba, Uganda na baadhi Kenya aifiki tena mwanza. Meli ya MV Victoria aifanyi kazi vizuri kila siku ni mbovu. Kwa iyo wafanyabiashara wengi wanahamia Kahama. Wafanyabiashara wengi wamehamishia biashara zao kalibia na migodi kwy mizunguko ya pesa.
Nashukulu kwa kunikumbusha apo bwana motochini.Kingine ni Viwanda vingi Mwanza kupwaya
Samaki Ziwani hakuna maana mnavua hadi vitoto na mayai
Wana JF
Sina lengo laku pambanisha Mwanza Vs Arusha ila kiukweli nashindwa kuelewa nini kimeisibu Mwanza.
Mwaka 2002 Nikiwa shuleni Mwanza nilijiona kama nipo Dar ndogo.Mwanza ilikuwa motoMambo yalikwenda faster mji ulikua unakua kwa kasi sana
Nilikuwa nikiamini kufikia 2015 jiji la Mwanza litakuwa la mfano kwa ukuaji wake cha ajabu na kushangaza Arusha ndio inakuja faster huku Mwanza ikidorola kama mtoto mwenye utapia mlo kulikoni.
Tatizo nini Mwanza?Kama kuongozwa imeongozwa na CDM muda mzuri tu kwanini Haipai kwa kasi ilee!?
Nashindwa hata kulinganisha Mwanza VS Arusha maana Arusha kwasasa ipo moto vibaya kama hali itaendelea kuwa hivi tutegemee Arusha kuwa ndio jiji la pili kwa ukubwa Mwanza inakuja kupitwa na Dodoma itanikera sana.
Kumbe wakati mwingine huwa una akili eeeh.