Duuu umenifuraisha na nikweli alisema yeye ndiyo kidume mwanza nzima anaebisha nikaona wasukuma wote kimyahapo Mwanza mwanaume ni mtu mmoja tu 'RC Mongella' wengine wote kaeni mtulie.
Ha hahahaha hahahahahahmwanza ina manispaa mbili mameya wawili, au mnafikiri waliweka urembo tu ee!!
Sipendi kuingilia elimu za watu lakini kwa hili unisamehe. Kilomita 1 za mraba???Kwani kuna lipi Arusha
Mpaka kuidharau Mwanza!?
Arusha hakuna lolote mji wenyewe kilometa 1 za mraba
Mwanza level nyingine bwana
Bora hata wewe umeeleza ukweli.Paka sasa naishi mwanza ila mwanza aina uzuri wa arusha mwanza ni kubwa sawa ila ina uswazi nyingi sana kirumba mabatini igogo igoma uhuru etc
Sio kweli labda upambanishe Arusha na Tanga. Mwanza inakua kila siku.
Kwani za arusha hatuzijui?ziko umbali wa 1.5km from CBD.eg mianziniPaka sasa naishi mwanza ila mwanza aina uzuri wa arusha mwanza ni kubwa sawa ila ina uswazi nyingi sana kirumba mabatini igogo igoma uhuru etc
Fast jet inaenda Mwanza mara 5 kwa siku kutoka Dar es salaam..
Asubuhi saa 12
Saa 5
Saa 8
Saa 11
Saa 2 usiku
Je ni mkoa gani Tanzania ndege kubwaa zaidi inafanya safari zake mara 5 kwa siku alafu ndege inajaa? shkamoo Mwanza
Kwani za arusha hatuzijui?ziko umbali wa 1.5km from CBD.eg mianzini
Kwa record zipi hizo...ingia website ya tra angalia tax collection statistics utajionea mwenyew nani yupo juu.Nahisi Mwanza inakusanya kodi zaidi ya Arusha