Unajua ukibishana na mtu asiye na elimu unampa data tu abishane nazo...Hahahaha...hapo umemaliza nadhani kelele zitapungua sasa.
Teh Teh Teh jamaa gani huyo?
Utanipaje takwimu za mwaka juzi. Leta za 2014/2015 angalua.
Sasa apo ndo umetembea arusha yote?Tatizo hamjaitembelea vizuri hii miji.kwa Mara ya kwanza nafika arusha niliiona ni kubwa kuliko mwz.ila nilipouzoea mji nikakata mitaa kutoka chekelen mpaka town.kutoka pale leopard round about kwenda njiro.kutoka town kwenda uwanja wa ndege na kutoka town kwenda usa river.arusha inakuwa ndogo sana kwa mwanza.arusha sehem ya uzungun ni njiro.na majengo yake nikama isamilo mwz.hawana sehem kama capripoint ya mwz.mwenye udhibitisho aseme.mwanza pande zote ni uzunguni njoo bwiru.nendà busweru.nenda Nyamongoro nenda ilemela upande wa malaika beach.nenda mwananchi huko kote ni sehem za kishefa tu.sio arusha.pili idadi ya watu.3 ni mzunguko wa pesa wa mwz ni mkubwa.4 ni kimagorofa tunagorofa ndefu kuliko arusha .Ghorofa 18 lipo capripoint.5 tuna mill kubwa east Africa nzima.6 tunamasoko makubwa kuliko arusha.kina changanya watu ni ukubwa wa center ya mji arusha ni tambalale na kubwa na inamagholofa mengi ila mwanza center ya mji ni ndogo kulingana na kubanwa na milima na maghorofa in machache..HK Ndio kinachowasumbua wengi.mwanza kieneo in kubwa sana sehem za makazi kuliko arusha na hatuna mashamba mjin.ila arusha ina misitu na mashamba yanayoiongezea kuitanua arusha bila watu kujua.mwz ni majumba kuanzia unapoingia mpaka unatoka.karibun sana mwz
kilimanjaro inaongoza kwa kuwa na watoto mazezeta na tanga kuongoza kwa uchawi huo utafiti umefanywa na nani? ni maneno ya kipuuzi tu ya kuwapaka matope watu na kuwagawaWasiwasi wako tu, wala haziwagawi watu kikanda. Labda tukisema, zamani Tanga kulikuwa na ushirikina sana, lakini leo Kilimanjaro mkoa wa wasomi ndiyo unaongoza kwa ushirikina na kuwa na watoto mazezeta. Ni nini kimeisibu Kilimanjaro? Hivi maneno haya yana nguvu gani ya kuwagawa watu kikanda wakati nd'o ukweli.
mkuu naona unawapa taarifa documented na verified, sio picha , matusi na blah blahMwanza tafuteni size yenu mbishane... Huo mji wenyewe mmejengewa na Mkapa kama wenyewe mlivyosema.. Arusha imejengwa na inajengwa na wazawa... Someni hapo ili iwaume zaidi..
View attachment 347236
Hahahaha...unataka tulete majengo yote yatakayoanza kujengwa si mtakimbia weka picha za vitu vilivopo na ambavyo ujenzi unaendelea sahivi hayo mengine tukisema tuanze league hapa mtakimbia.kilimanjaro inaongoza kwa kuwa na watoto mazezeta na tanga kuongoza kwa uchawi huo utafiti umefanywa na nani? ni maneno ya kipuuzi tu ya kuwapaka matope watu na kuwagawa
mkuu naona unawapa taarifa documented na verified, sio picha , matusi na blah blah
Haha hii ripoti nmeipitia mkuu asa apo ndo kuna ukweli hadi gdp mwanza inapitwa na kilimanjaoro sembuse arusha wanakataa ukweli ee huku level nynge afu hao ni according to un.mkuu naona unawapa taarifa documented na verified, sio picha , matusi na blah blah
wanabishana kwa mihemko zaidi kuliko reason, hawa wana ego kubwa inawasumbuaHaha hii ripoti nmeipitia mkuu asa apo ndo kuna ukweli hadi gdp mwanza inapitwa na kilimanjaoro sembuse arusha wanakataa ukweli ee huku level nynge afu hao ni according to un.
nahisi umekosea kuni quote mkuuHahahaha...unataka tulete majengo yote yatakayoanza kujengwa si mtakimbia weka picha za vitu vilivopo na ambavyo ujenzi unaendelea sahivi hayo mengine tukisema tuanze league hapa mtakimbia.
Wako overated wanafikiri maendeleo ni kuwa na mall tu hawajui kuna vtu vngne..wanabishana kwa mihemko zaidi kuliko reason, hawa wana ego kubwa inawasumbua
Sorry mkuu...naona nimekosea lengo lilikuwa ni kumquote kungongosha.nahisi umekosea kuni quote mkuu
mall zenyewe za wahindi, wao wafagiaji tuWako overated wanafikiri maendeleo ni kuwa na mall tu hawajui kuna vtu vngne..
Mall yenyewe wamejengewa hakuna wateja wanapita tu nje kupiga picha..hahahaha..Wako overated wanafikiri maendeleo ni kuwa na mall tu hawajui kuna vtu vngne..
Mall nairobi uko kdgo watu wanunua vitu asa uku n kwnda kuuza sura tuMall yenyewe wamejengewa hakuna wateja wanapita tu nje kupiga picha..hahahaha..