samyz
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 589
- 311
Tumeni na picha za mwanza tuone izo barabara za 4 lane..Weka picha ya hizo zinazofunguliwa soon...rock city mall ndo mall ya maana hapo mwanza.
Tumeni na picha za mwanza tuone izo barabara za 4 lane..Weka picha ya hizo zinazofunguliwa soon...rock city mall ndo mall ya maana hapo mwanza.
Kumbe na siasa n kgezoUtasikia Lindi haimo kwakuwa ni ccm
Ebu ekeni evidence apo leoNi kweli japo watu wa Mwanza hupinga hilo
Nahisi Mwanza inakusanya kodi zaidi ya Arusha
Acha ije fasta mkuu lakini haiwezi kufikia Mwanza.
Lema anahusika vp na ukuaji wa mji?
Haiwezi kuifikia Arusha kivipi!?
Chukulia mfano
Dar iliachwa mbali na Nairobi
Lakini kwa sasa ni vitu vichache sana tumebakiza kuipindua Nairobi
Tuache mzaha Arusha itaipindua Mwanza kwa kasi hii
Mwanza miaka ya 2002 ilikuwa ni vumbi tupu, pamoja na kuwa jiji, sasa hivi ni fresh, we unasema kasi imepungua imepungua kiaje...?!
Mkapa aliiinua sana...
Za Arusha umeshaweka...?!
Hivi arusha gani inayosifiwa hapa? Sijaona jiji lenye miundo mbinu mibovu kuzidi arusha, mji hauna hata stand ya maana, Pale mjini stand ya daladala ya hovyo mno hata lami tu wameshindwa kuweka, nenda njia za mitaani sasa huko, ngusero, sombetini, daraja 2,majengo, mbauda, mitaa iko hovyo kama una gari ni speed 10 mwisho ukienda zaidi unavunja gari kama biscuit,mji wa arusha ni mji wa hovyo mno, Arusha Jina ni kubwa kuzidi mji ulivyo
Mbeya usiingize huku maana hamna kitu...eti watu wa arusha ni washamba...unataka uwalinganishe watu wa arusha na mbeya unaanzia wapi..arusha utalii arusha kuna muingiliano wa watu wa mataifa mbalimbali huo ushamba utoke wapi..kwanza hujawahi kufika arusha so ni vema upige kimya.
Arusha inakusanya Billion 246 wakati Mwanza inakusanya Billion 117... Nenda web ya TRA kwenye Tax collection data utakuta hapo
Tunaongelea jijj la arusha hatuongelei mkoa wa arusha...nani amakuambia hapa mjini ni wamasai na wa arusha pekee ndo wanaishi apa...apa kuna muingiliano wa makabila sio ya tz tu hadi ya nchi nyingine kutokana na utalii,usilete ubishi wa mambo ambayo yapo wazini kweli huwezi mfananisha Masai au muarusha na Mnyakyusa , ni sawa na mbingu na ardhi. Hata saivi naandika nipo Arusha ilihali wewe utakuwa umekimbilia mataa ya Dar
pia hilo swali muulize Mlumumba mwenzio chadema wanahusika vipi kudumaa Kwa mji wa Mwanza kama anavyosema
Ingia www.tra.go.tz angalia tax collection statistics za mikoa mbali mbali uone.mhhhhh hapo tango pori mkuu!