Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Wana JF

Sina lengo laku pambanisha Mwanza Vs Arusha ila kiukweli nashindwa kuelewa nini kimeisibu Mwanza.

Mwaka 2002 Nikiwa shuleni Mwanza nilijiona kama nipo Dar ndogo.Mwanza ilikuwa motoMambo yalikwenda faster mji ulikua unakua kwa kasi sana

Nilikuwa nikiamini kufikia 2015 jiji la Mwanza litakuwa la mfano kwa ukuaji wake cha ajabu na kushangaza Arusha ndio inakuja faster huku Mwanza ikidorola kama mtoto mwenye utapia mlo kulikoni.

Tatizo nini Mwanza?Kama kuongozwa imeongozwa na CDM muda mzuri tu kwanini Haipai kwa kasi ilee!?

Nashindwa hata kulinganisha Mwanza VS Arusha maana Arusha kwasasa ipo moto vibaya kama hali itaendelea kuwa hivi tutegemee Arusha kuwa ndio jiji la pili kwa ukubwa Mwanza inakuja kupitwa na Dodoma itanikera sana.

Ukuaji upi unajaribu kuelezea, toa vigezo.

kama ni milungi na cha arusha ofcoz mko juu, jingine lipi.

Eti nilikuwa shuleni 2002, shule ipi, uliyo pata muda wa kuzurula kutafuta takwimu za ukuaji wa mji wa Miamba (Mwanza), kwaza nakosa imani na ufaulu wako na nahisi ulikuwa Kayenze primary school wewe acha hizo. watu husema >"ya mwanamke mwachie mwanamke, na ya mwanamumme ayajua mwanamume".
 
Poa umemlaza ya moyoni!?
 
Tungekuwa tunashindana maendeleo kwa familia zetu ambako tunatoa mchango 100% ingekuwa poa zaidi na ingesaidia kuboresha maisha yetu kakini saivi jemba imekomaa hadi misuli usoni inasimama eti Arusha ni kubwa zaidi ya Mwanza, mara jiji la Mbeya kama kijiji wakati yeye analala kwenye mbavu za mbwa.
Pia hujui kuwa hata mimi wa Matalawe nina haki ya kujivuania Arusha, Mwanza, Dodoma n.k. maana ni sehem ya nchi yangu?
Huruhusiwi kujivunia arusha jivunie matalawe! Wewe una mchango gani arusha zaidi ya kwenye familia yako.Tunaochangia ndo tujivunie huna hata msaada wakati tunanangwa na watu wa mwanza pita hivi!
 
Mwanza night clubs maarufu fusion,rock bottom, villa. Mwanza wala Bata usiku ni wachache sana,Eti club ili ijae mpk wanafunzi wawe wamepata boom. Ukienda kipindi hakuna boom kwa wanafunzi aisee club zote hazizidi watu hata 20 atleast villa kidogo ina afadhali sababu pale live band ma dingi wanakuepo kidogo. Mwz hadi wauza maduka ya nguo hapo town, TV, simu, radio wote wanategemea boom la wanafunzi. Uchumi wa kutegemea boom la wanafunzi ni shiida
 
Huko ambapo jengo lenye lift mmeanza kupanda juzi juzi tu eeeh

kwahiyo lift ndo kipimo cha kukua Kwa jiji? kuna miji kibao Ulaya majengo mwisho ghorofa tatu au nne na imepangika vizuri.....Arusha bado sana halafu watu pia bado ni washamba kweli huwezi tofautisha yupi mmasai na yupi si mmasai ndo maana mnakimbia mji wenu tofauti na watu wa Mbeya na mwanza . Yaani watu wa Arusha wanashobokea Dar kama Paris vile
 
Ukweli ni kwamba kasi ya ukuaji wa arusha in terms of magorofa ya biashara,biznesses,viwanda,mahoteli etc ni kubwa kwa sasa kuliko mwanza.Ukweli mchungu wa ngosha mezeni boom imekata,mji umerejea enzi zake za kujikongoja kama mbeya..Tunakoelekea tutakua tunalinganisha dodoma,arusha na mtwara ila kuzaa mwanza mtakua juu
 
Wana JF

Sina lengo laku pambanisha Mwanza Vs Arusha ila kiukweli nashindwa kuelewa nini kimeisibu Mwanza.

Mwaka 2002 Nikiwa shuleni Mwanza nilijiona kama nipo Dar ndogo.Mwanza ilikuwa motoMambo yalikwenda faster mji ulikua unakua kwa kasi sana

Nilikuwa nikiamini kufikia 2015 jiji la Mwanza litakuwa la mfano kwa ukuaji wake cha ajabu na kushangaza Arusha ndio inakuja faster huku Mwanza ikidorola kama mtoto mwenye utapia mlo kulikoni.

Tatizo nini Mwanza?Kama kuongozwa imeongozwa na CDM muda mzuri tu kwanini Haipai kwa kasi ilee!?

Nashindwa hata kulinganisha Mwanza VS Arusha maana Arusha kwasasa ipo moto vibaya kama hali itaendelea kuwa hivi tutegemee Arusha kuwa ndio jiji la pili kwa ukubwa Mwanza inakuja kupitwa na Dodoma itanikera sana.
Mwanza imeanza kurudi kwenye Mstari baada ya kupiga mark time kwa miaka MITANO.... Niliamia MWANZA mwaka 2005..kwa ukweli mambo yalikuwa MPWITO MPWITO.... kama mnakumbuka miaka hiyo Arusha na Tanga Zilipokwa hadhi ya kuitwa jiji...TZ kukawa na MAJIJI MAWILI ...Dar and Rocky CITY..... katika kasi ya ukuaji na kuanza kumalizika majengo mazuri pale mjini....NSSF na PPF pamoja na miradi Mikubwa kama ya KISEKE ESTATE...Shetani akawaingia wana Mwanza....wakafanya mabadiliko....wakalikabidhi JIJI kwa Wachumia MATUMBO kutoka Kaskazini na yule jamaa mwingine WANJA....Duuh retardation kubwa ikafanyika kuanzia 2010 mpaka 2014....Kuanzia 2015 mambo yameanza kuwa MPITWO MPITWO.... ROCKY CITY imeanza kurudi kwenye ubora wake....asante sana CHAMA KUBWA kwa kazi mlioianza..... WANANZENGO hawatarudia TENA MAKOSA!
 
Shida ya MOTOCHINI ni ukereketwa wa kujaribu kuiangalia CDM wamefanya nini. Uwezo mdogo wa kufikiri
 
Huruhusiwi kujivunia arusha jivunie matalawe! Wewe una mchango gani arusha zaidi ya kwenye familia yako.Tunaochangia ndo tujivunie huna hata msaada wakati tunanangwa na watu wa mwanza pita hivi!
Mbona unapaniki kijana?
 
kwahiyo lift ndo kipimo cha kukua Kwa jiji? kuna miji kibao Ulaya majengo mwisho ghorofa tatu au nne na imepangika vizuri.....Arusha bado sana halafu watu pia bado ni washamba kweli huwezi tofautisha yupi mmasai na yupi si mmasai ndo maana mnakimbia mji wenu tofauti na watu wa Mbeya na mwanza . Yaani watu wa Arusha wanashobokea Dar kama Paris vile
Mbeya usiingize huku maana hamna kitu...eti watu wa arusha ni washamba...unataka uwalinganishe watu wa arusha na mbeya unaanzia wapi..arusha utalii arusha kuna muingiliano wa watu wa mataifa mbalimbali huo ushamba utoke wapi..kwanza hujawahi kufika arusha so ni vema upige kimya.
 
Huruhusiwi kujivunia arusha jivunie matalawe! Wewe una mchango gani arusha zaidi ya kwenye familia yako.Tunaochangia ndo tujivunie huna hata msaada wakati tunanangwa na watu wa mwanza pita hivi!
Hahaha !!!
 
Tungekuwa tunashindana maendeleo kwa familia zetu ambako tunatoa mchango 100% ingekuwa poa zaidi na ingesaidia kuboresha maisha yetu kakini saivi jemba imekomaa hadi misuli usoni inasimama eti Arusha ni kubwa zaidi ya Mwanza, mara jiji la Mbeya kama kijiji wakati yeye analala kwenye mbavu za mbwa.
Pia hujui kuwa hata mimi wa Matalawe nina haki ya kujivuania Arusha, Mwanza, Dodoma n.k. maana ni sehem ya nchi yangu?
Sasa humu jf anakujua nani mpaka ushindane nae!Kama unapenda ushindani wafate wapangaji wenzako muwe mnashindana nani atatupa sana maganda ya mayai na mabox ya maziwa kila siku kwenye shimo lenu la taka
 
Mwanza night clubs maarufu fusion,rock bottom, villa. Mwanza wala Bata usiku ni wachache sana,Eti club ili ijae mpk wanafunzi wawe wamepata boom. Ukienda kipindi hakuna boom kwa wanafunzi aisee club zote hazizidi watu hata 20 atleast villa kidogo ina afadhali sababu pale live band ma dingi wanakuepo kidogo. Mwz hadi wauza maduka ya nguo hapo town, TV, simu, radio wote wanategemea boom la wanafunzi. Uchumi wa kutegemea boom la wanafunzi ni shiida
Wewe home wapi?
 
Back
Top Bottom