Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Wana bahati mbaya ya kupata viongozi wa kuendesha mkoa. Kama mkuu wa mkoa ana mentality ya kuwa hakuna kidume yeyote hapo mkoani zaidi yake, unategemea nini? Si inamaana mtu akionekana nyota yake inang'aa wataizima kwa ukandamizaji, ili kidume abakie mmoja tu?
 
Sasa KIA IPO mpakani mwa arusha na Kilimanjaro kama sikosei ni km chache sana so isingewezekana kuwepo na viwanja viliwi vikubwa ndani ya kilomita 50 itakuwa in misuse of resources, ndo kelele inayopigwa kuhusu bandari ya bagamoyo na dar es salaam, hiyo ya fast jet weeks kapuni kwanza,
 
Haiwezi kuifikia Arusha kivipi!?
Chukulia mfano
Dar iliachwa mbali na Nairobi
Lakini kwa sasa ni vitu vichache sana tumebakiza kuipindua Nairobi

Tuache mzaha Arusha itaipindua Mwanza kwa kasi hii
Kwani ni ipi ambayo ilikuja kasi...?!
 
Kwani kuna lipi Arusha
Mpaka kuidharau Mwanza!?

Arusha hakuna lolote mji wenyewe kilometa 1 za mraba

Mwanza level nyingine bwana
Mwoneni huja jamani! Tatizo siyo udogo nadhani umesha nielewa!
 
Ukiondoa ofisi za kimataifa, kuna umaarufu gani mwingine?
We jamaa naona unatumia nguvu nyingi sana kupigana na ukweli! wew umesema kama wakiondoa ofisi za kimataifa! je na mim nikipendekeza baadhi ya vitu viondolewe Mwanza si itabaki kama gofu au kakijiji?!
 
Back
Top Bottom